Kama huyu Professor Nkunya ndio mhusika wa kutatua hili tatizo basi tumekwisha! Mzee haelewi tatizo.
Anasema Watanzania wanakuwa "trapped" na wauza shahada. Yani anamaanisha hawa walimu wa Mzumbe na mawaziri wenye u-professor Maji Majeru walikuwa hawajui kwamba nia yako ni kupata hivyo vyeti feki! Nkunya anaogopa kusema ukweli, au ni kilaza mwingine huyu?
Halafu, kukuonyesha zaidi kwamba Professor Nkyunya hajui kinachoendelea au si msema kweli, anatamka "wale wanaotaka kusoma nje ya nchi wawasiliane na sisi kwanza kwa ushauri..."
Mtu ambae anataka kupata shahada ya uongo uongo mtandaoni utategemeaje aje kwako kwa ushauri, au sijui ajipekele ubalozini, kwani ye mjinga akanyakwe? Yani Prof. Nkunya haelewi kwamba haya matatizo ni usanii wa kunuia, intentional chicaneries. Huyu Professor Nkunya ndio yuko in charge wa hili tatizo?
Alitakiwa aseme wazi wazi kwamba ukijipenyeza kwenye kazi ya mtu kwa vyeti feki feki hiyo inaweza kuwa ni fraud! Hakuna kubembelezana eti wamekuwa "trapped"! Bongo tumebarikiwa viongozi jamani jamani!
...not so fast hapo,kuna tofauti kubwa kati ya forgery na unaccredited,sio kama natetea substandard yeyote katika credential za mtu lakini huwezi kushtaki mtu au kumwita ameghushi vyeti kwa sababu vimetolewa na unaccredited school,swala la kihiyo ni tofauti na hawa...najua politically kuna some price to pay kwa issue kama hizi,solution ni kuwaondolea doctorate zao tuu na kuwaambia hazitambuliki!
Hakika kwa hali kama hii J.K ANATAKIWA kuact upon.Kinyume na hilo watu hawatakaa wakamuelewa.Tutaongea na kuongea na kuongea mpaka sauti zetu zisikike.Tumesoma kwa shida sana vibachelor vyetu.Na wadogo zetu wanasoma kw shida kubwa mno sasa hivi,Wakati huo huo kuna watu waliotemper na shulw wameshhika mpini.Inawezekaana mazingira magumu ya elimu tanzania yanatengenezwa na watu kama hawa.
SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU!
Huyu angenyamaza tu maana atazidi kujichoresha mwenyewe kadri atakavyofungua mdomo wake....attention span ya wabongo ni fupi mno kiasi kwamba hii ishu ingesahaulika in no time....
Pia ingemshauri mheshimiwa waziri achukue darasa la Kiingereza na Public speech. He is lacking in both.
Pia ingemshauri mheshimiwa waziri achukue darasa la Kiingereza na Public speech. He is lacking in both.