Mawaziri na Wafanyakazi wanaodumu kazini ni wale wanaomsoma Rais yukoje na siyo wale wanaoisoma Katiba na Sheria

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,868
2,000
Rais Samia amesema kwa muda wa miezi sita amekuwa akiwasooma mawaziri na wateuke wake wote na wao pia wakimsoma.

Hii maana yake nini.

Maana yake ukiwa kaxini usihangaike kusoma sheria za kazi na za nchi zinasemaje hangaika kujua bosi wako anatakaje.

Ukiteuliwa na yeyote hangaika kujua anatakaje usihangaike kujua professìon yako au sheria inasemaje au katiba ya nchi inasemaje.

Ukiwa chini ya Magufuli hangaika kushangili kujifukiza na nyungu lakini Magufuli akifariki hangaika kuhimiza chanjo ya corona.
This might be among best the thread of 2021! Umeamaliza mchezo wote. Tanzania kiongozi akitaka kubaki madarakani amjue kufuata matakwa ya rais aliyepo na siyo katiba wala sheria za nchi. Kwa kifupi hata kama rais atakosea namna gani basi vingozi wengine hawatakiwi kwenda kinyume naye.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom