Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

Itakuwa ni ya siri hakuna ajuae nani ni nani. Ilishafanywa kitu kama hii duniani wafatiliaji wa mambo wananielewa nazungumzia nini.

Mheshimiwa ni vyema kuangalia mambo ya duniani lakini unapotaka kuyaleta hapa kwetu ni vyema ukaangalia mazingira yetu, utamaduni wetu na aina ya watu tulio nao kwenye vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo ndiyo hasa vinatarajiwa kufanya haya unayopendekeza.

Kama vyombo vyote vya ulinzi na usalama na hata mahakama vimetekwa na hili wimbi la ufisadi ni wapi utawapata watu watakaofanya hayo unayoyasema bila kurubuniwa na mafisadi au bila siri za hicho wanachofanya kujulikana na walengwa kabla ya kutekelezwa?

Mimi nachukulia wazo lako kama jibu rahisi mno kwenye swali linalohitaji tafakuri ya kina ili kupata suluhu.
 
Suzie

Avatar yako!!!!!!!!! mmmmmmmh

wanaume vicheche wata- mind
 
Wale mawaziri waliofikishwa mahakamani miaka ya nyuma akina yona na mramba mpaka leo kesi zao ziko mahakamani hawajahukumiwa... hawa wengine wako wengi mno na nina uhakika itachukua miaka 10 mpaka kesi zao kukamilika, tutazidi kupoteza hela za walipa kodi kuendesha hizi kesi alafu mwisho wa siku watapatikana hawana hatia....waste of money and waste of time

Na kuna wengine wako kwenye hizi kashfa na bado ni mawaziri..mheshimiwa hajawatimua wote so hao aliowabakiza tuwafanyeje!!??

Rais wetu kapangua mawaziri, Mkuu wa Polisi nae kapangua safu yake ya makamanda wa polisi...Je Nani atapangua safu ya mahakimu/Majaji wanaoendesha kesi zetu za hapa nchini? maana huko mahakamani nako kunanuka rushwa na ufisadi nani atafanya hivyo na ni lini tutegemee hilo bwana Malecela??!!

Mkuu mimi naona Mh.Raisi achague majaji wadilifu wahanzishe special COURT ya ku-fast track WAHUJUMU uchumi hawa, tujaribu kuwaiga wenzetu wa RWANDA wanao tumia mahakama zijulikanazo kama GACHACHA, hii itasaidia SANA kuokoa muda.

Bila kuwafikisha mahakamani mawaziri/manaibu/makatibu wakuu/watendaji wa kuu wizarani na kuwafunguliwa mashitaka na wale watakao patikana na hatia wafungwe na kufilisiwa mali zao hili iwe fundisho kwa wengine, lakini Mh.Raisi akisita sita kutekeleza hilo atakuwa ameshindwa kumaliza kansa hii ya utafunaji wa fedha za walipa kodi.
 
Hv mramba na d.yona issue yao imefikia wapi?minja je,ntafarijika km mkapa jk na familia zao wakifikishwa the heag.
 
Kuna mambo tofauti manne yanayoweza kumpelekea mtu kuwajibika, lakini si yote yanayomfanya afikishwe mahakamani

1. Uwajibikaji wa kisiasa ( Kuwajibika kutokana na mambo yaliyotokea kwe idara/Wizara anayosimamia hata kama hahusiki moja kwa moja),
2. Uwajibikaji unaotokana na makosa ya kiutendaji (Kufanya makosa ktk maamuzi/utekelezaji japo nia ya ilikuwa njema).
3 Uwajibikaji unaotokana na makosa ya jinai kama rushwa, ubadhirifu nk
4. Kuvunja Katiba ya nchi

Hapa mawaziri hawakutajwa moja kwa moja kuwa wameiba au kufanya ubadhirifu, ila wizara zao ndio zilikuwa na ubadhirifu. Mf serikali za mitaa wakurugenzi na wahasibu ndio wahusika ila waziri anawajibika kisiasa maana yeye ndio mkuu wa wizara. kwa aina hii ya uwajibikaji huwezi kumfungulia mashtaka.

Mfano PM alitakiwa kuwajibishwa kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri, kwa hili hata kama akiwajibishwa atapoteza tu cheo chake lakini hakuna kesi maana hakuna ushahidi wa kisheria unaomhusisha na Tuhuma.
Kwa hiyo baada ya baraza hili jipya tusubiri tuone kama wakurugenzi na maofisa waliotajwa watafikishwa mahakamani.
 
Waanze na kikwete mwenyewe kwani ndiye aliyewachagua na hakuwa makini nao, ni kama aliwaruhusu kuiba na isingekuwa ripoti iliyotolewa asingewafanya chochote na asingejua kwani yuko busy kwenye misiba na safarini kila siku hakai ofisini wala hafuatilii mambo ya nchi anayoiongoza kawaachia watu wafanye watakalo.
 
Mkuu mimi naona Mh.Raisi achague majaji wadilifu wahanzishe special COURT ya ku-fast track WAHUJUMU uchumi hawa, tujaribu kuwaiga wenzetu wa RWANDA wanao tumia mahakama zijulikanazo kama GACHACHA, hii itasaidia SANA kuokoa muda.

Bila kuwafikisha mahakamani mawaziri/manaibu/makatibu wakuu/watendaji wa kuu wizarani na kuwafunguliwa mashitaka na wale watakao patikana na hatia wafungwe na kufilisiwa mali zao hili iwe fundisho kwa wengine, lakini Mh.Raisi akisita sita kutekeleza hilo atakuwa ameshindwa kumaliza kansa hii ya utafunaji wa fedha za walipa kodi.

Hivi hufaham kuwa yeye mtoto wake ni majambazi N0 1 nchini. anatuzuga 2 ili tusahau yeye anavyotunyonya.
 
Wakuu JF heshima mbele sana,

- Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na upotevu wa hela za wananchi na ripoti ya CAG, kina maana moja tu kwamba hata na yeye ameridhika kwamba kuna ukweli au FACTS katika tuhuma walizokuwa wakituhumiwa nazo, ninasema great second day kwa Taifa, kwanza ilikuwa kuweka ripoti wazi to the public na kuruhusu mjadala wa public!

- Sasa ifike mahali pa kufanya kweli, yaani Watuhumiwa wote kufikishwa kwenye mkondo wa Sheria, haki itakua imetendeka na sio otherwise, kwanza haki kwao mawaziri maana wanahitaji kuwa wasafi mbele ya public na pili Serikali kulinda heshima yake kwamba sasa ipo serious, ama sivyo kuitoa ripoti ya CAG to the public itakuwa ni kazi ya bure, I mean mawaziri na viongozi wetu wakijua kwamba madhara ya kuiba ni kujiuzulu tu na kuachiwa ukale mihela ya wananchi tutakua tunajenga taifa la kusadikika, na itakuwa kazi kubwa kumpitisha Rais wa CCM 2015!

- MHESHIMIWA RAIS, UBARIKIWE KWA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI, SASA TWENDE MBELE ZAIDI TUFIKE KWENYE SHERIA NA WOTE WENGINE HAO MAKATIBU NA WAKURUGENZI ULIOSEMA KWENYE HOTUBA YAKO KUWA WANAHUSIKA NA WAO PIA UWE MWENDO WA KUELEKEA KWENYE SHERIA!, NI SHERIA TU NDIO INAWEZA KUTUSAFISHA WOTE, SERIKALI NA MAWAZIRI WALIOACHWA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William @DSM CITY!

Mnasahau TAKUKURU na skendo ya RICHMOND walisema mkataba ni safi na makampuni yapo, Dr HOSEA akiwa kwenye TV akisoma ripoti ya uchunguzi.
Kama CAG AMEISHAONA WAPELEKWE MAHAKAMANI USHAHIDI WA NYARAKA UPO.
 
- Tanzania tuna tatizo moja kubwa sana, nalo ni wananchi wenye maneno mengi sana bila FACTS wala EVIDENCE, for some reasons tumekuwa waridhikaji sana wa mambo madogo madogo, we don't care about details even small ones, no courage, siku zote tunasubiri wengine watufanyie!

- I mean nimekusikia sana mkuu, one thing ni kwamba nina nia kubwa sana mbele ya safari kuandika kitabu on my experience na EAC run, na mengine mengi sana ninayoyajua kuhusu siasa ya bongo na utawala wa Sheria, wananchi tunaonekana tume kata tamaa sana hivyo kuwapa watawala nafasi ya kutuchezea, we need to stand up tena kwa pamoja bila kujali vyama vyetu hasa tunapodai utawala wa Sheria!

William.

ccm ni kikwazo!!!!
tuiue kwanza ccm, hapo ndipo tutapata ujasiri wa kusimamia utawala wa sheria.
 
Wakuu JF heshima mbele sana,

- Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na upotevu wa hela za wananchi na ripoti ya CAG, kina maana moja tu kwamba hata na yeye ameridhika kwamba kuna ukweli au FACTS katika tuhuma walizokuwa wakituhumiwa nazo, ninasema great second day kwa Taifa, kwanza ilikuwa kuweka ripoti wazi to the public na kuruhusu mjadala wa public!

- Sasa ifike mahali pa kufanya kweli, yaani Watuhumiwa wote kufikishwa kwenye mkondo wa Sheria, haki itakua imetendeka na sio otherwise, kwanza haki kwao mawaziri maana wanahitaji kuwa wasafi mbele ya public na pili Serikali kulinda heshima yake kwamba sasa ipo serious, ama sivyo kuitoa ripoti ya CAG to the public itakuwa ni kazi ya bure, I mean mawaziri na viongozi wetu wakijua kwamba madhara ya kuiba ni kujiuzulu tu na kuachiwa ukale mihela ya wananchi tutakua tunajenga taifa la kusadikika, na itakuwa kazi kubwa kumpitisha Rais wa CCM 2015!

- MHESHIMIWA RAIS, UBARIKIWE KWA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI, SASA TWENDE MBELE ZAIDI TUFIKE KWENYE SHERIA NA WOTE WENGINE HAO MAKATIBU NA WAKURUGENZI ULIOSEMA KWENYE HOTUBA YAKO KUWA WANAHUSIKA NA WAO PIA UWE MWENDO WA KUELEKEA KWENYE SHERIA!, NI SHERIA TU NDIO INAWEZA KUTUSAFISHA WOTE, SERIKALI NA MAWAZIRI WALIOACHWA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William @DSM CITY![/QUOTE hili nalo litapita
 
Kuna mambo tofauti manne yanayoweza kumpelekea mtu kuwajibika, lakini si yote yanayomfanya afikishwe mahakamani

1. Uwajibikaji wa kisiasa ( Kuwajibika kutokana na mambo yaliyotokea kwe idara/Wizara anayosimamia hata kama hahusiki moja kwa moja),
2. Uwajibikaji unaotokana na makosa ya kiutendaji (Kufanya makosa ktk maamuzi/utekelezaji japo nia ya ilikuwa njema).
3 Uwajibikaji unaotokana na makosa ya jinai kama rushwa, ubadhirifu nk
4. Kuvunja Katiba ya nchi

Hapa mawaziri hawakutajwa moja kwa moja kuwa wameiba au kufanya ubadhirifu, ila wizara zao ndio zilikuwa na ubadhirifu. Mf serikali za mitaa wakurugenzi na wahasibu ndio wahusika ila waziri anawajibika kisiasa maana yeye ndio mkuu wa wizara. kwa aina hii ya uwajibikaji huwezi kumfungulia mashtaka.

Mfano PM alitakiwa kuwajibishwa kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri, kwa hili hata kama akiwajibishwa atapoteza tu cheo chake lakini hakuna kesi maana hakuna ushahidi wa kisheria unaomhusisha na Tuhuma.
Kwa hiyo baada ya baraza hili jipya tusubiri tuone kama wakurugenzi na maofisa waliotajwa watafikishwa mahakamani.

hao wote hawaruki shitaka la kutumia madaraka vibaya, haponi kwenda jela hata mmoja wao. kwa kuwa walipaswa kwa nyadhifa zao kusimamia na kulinda fedha za wananchi, jambo ambalo hawakufanya.
 
Iundwe independent elimination squad.

Inachunguza, inahukumu, ina eliminate kila afanyae madudu awe ni waziri au tarishi. Siku anayokuwa eliminated, anawekewa na hukumu yake na ushahidi kamili wa madudu aliyofanya.

Wakifika watano tu! ukimpa mtu hata soda atakataa! wacha "takrima" na "ten percent".

I like this!!!!
 
Mnasahau TAKUKURU na skendo ya RICHMOND walisema mkataba ni safi na makampuni yapo, Dr HOSEA akiwa kwenye TV akisoma ripoti ya uchunguzi.
Kama CAG AMEISHAONA WAPELEKWE MAHAKAMANI USHAHIDI WA NYARAKA UPO.
CAG kitengo chake wapewe powers za ku investigate na ku prosecute kama FBI, achana na TAKUKURU HAWANA LOLOTE WALE!!!!

Wakuu JF heshima mbele sana,

- Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na upotevu wa hela za wananchi na ripoti ya CAG, kina maana moja tu kwamba hata na yeye ameridhika kwamba kuna ukweli au FACTS katika tuhuma walizokuwa wakituhumiwa nazo, ninasema great second day kwa Taifa, kwanza ilikuwa kuweka ripoti wazi to the public na kuruhusu mjadala wa public!

- Sasa ifike mahali pa kufanya kweli, yaani Watuhumiwa wote kufikishwa kwenye mkondo wa Sheria, haki itakua imetendeka na sio otherwise, kwanza haki kwao mawaziri maana wanahitaji kuwa wasafi mbele ya public na pili Serikali kulinda heshima yake kwamba sasa ipo serious, ama sivyo kuitoa ripoti ya CAG to the public itakuwa ni kazi ya bure, I mean mawaziri na viongozi wetu wakijua kwamba madhara ya kuiba ni kujiuzulu tu na kuachiwa ukale mihela ya wananchi tutakua tunajenga taifa la kusadikika, na itakuwa kazi kubwa kumpitisha Rais wa CCM 2015!

- MHESHIMIWA RAIS, UBARIKIWE KWA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI, SASA TWENDE MBELE ZAIDI TUFIKE KWENYE SHERIA NA WOTE WENGINE HAO MAKATIBU NA WAKURUGENZI ULIOSEMA KWENYE HOTUBA YAKO KUWA WANAHUSIKA NA WAO PIA UWE MWENDO WA KUELEKEA KWENYE SHERIA!, NI SHERIA TU NDIO INAWEZA KUTUSAFISHA WOTE, SERIKALI NA MAWAZIRI WALIOACHWA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William @DSM CITY!

Hivi ni kwamba CAG hatakiwi kumchunguza raisi
au raisi ni msafi sana?
Maana kila taarifa ya uchunguzi anayo toa sioni Ikulu ikiguswa
hata kidogo,lakini tunaona jinsi wanavo kula kodi kwa kutalii
ulimwenguni kote.
 
wanatafuta umaarafu na hawa wanajuana
SAM_1251.JPG
 
Hivi ni kwamba CAG hatakiwi kumchunguza raisi
au raisi ni msafi sana?
Maana kila taarifa ya uchunguzi anayo toa sioni Ikulu ikiguswa
hata kidogo,lakini tunaona jinsi wanavo kula kodi kwa kutalii
ulimwenguni kote.

kwa hapa bongo na ccm hii hakuna lolote hapo,tunajaza thread tu hapa
 
Back
Top Bottom