Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,659
- Ni kwa sababu tunalia lia sana bila vitendo na kusubiri wengine na kuanza kuwatukana tu, lakini matendo hakuna! Tumedai waondoke wameondoka, sasa tudai Sheria maneno mengi off course ndicho watwala wanachokitaka kwenye maneno haya mengi watapitisha agenda zao na kubadili subject, kama wanavyojaribu sana kwa kukomalia Mbowe aeme majina by kesho media nzima itakuwa kwenye hiyo ishu, huku la mawaziri na Sheria hakuna!
- Haya tunayataka wenyewe, kwa sababu ni very clear kwamba Rais aemwaondoa kwa sababu ya CAG, sasa kwa nini tusidaai aende mbele zaidi? No wengi tunafurahia kuwaona wapo nje tu as if watapanda dala dala na sisi hata siku moja, never!
William.
Tumepiga kelele sawa. Matokeo yamekuwa si 100 per, wengi tulitegemea Rais angesimamia dhana ya uwajibikaji fully, aidha wote waliokuwa implicated katika ripoti ya CAG wavuliwe madaraka pending further investigation au wenyewe wangejiudhuru lakini naona kama Rais kafunika kombe mwanaharam apite.
Madai yako ya sheria kuchukua mkondo hayaleti maana kama tuhuma nzima hazikuchukuliwa kwa uzito stahiki tokea mwanzo.
Mimi naona kelele zetu ziendelee kupigwa kuhusu hii scam nzima. Sheria ichukue nafasi kuanzia wale waliochaguliwa tena na waliotolewa....