Mawaziri 6 sasa mikononi mwa TAKUKURU!

Ni wale walioshutumiwa na CAG...

Wanatakiwa kueleza walikotoa mipesa yao...kisha mahakamani.

Chanzo: Nipashe
 
I am impresed na Hoja za William,Takini wile hapa unadhani hata wakipelekwa mahakamani kuna kitu gani kitafanyika dhidi ya Kushinda Kesi,Huenda kwa kua muda mwingi uko nje ya nchi na kutojua what is going on ndani ya nchi yetu,Luhanjo yulo wapi, Msabaha, na wote waliotajwa katika report teule ya bunge kuchunguza richimondi, Lakini kwa kua kwa sasa upo nchini Mahakama zetu zimetekwa mazima, ona Keshi ya Mpendozoe na mahanga, Wanasahau kua watanzania wanafuatilia kesi hizi kwa umakini wa hali ya juu, Hata angeambiwa hakimu wa mahakama ya mwanzo angelitoa hukumu stahiki.

Lazima tukubali the whole system ya nchi imefeli na kinachotakiwa ni kubadilisha system nyingine, Vema kama kweli unahitaji hizi change Lazima ukubali kuja katika upande mwingine kwa ajili ya ukombozi wa pili wa taifa letu.Hakika kimtanzamo you are defenetely right lakini get out there and pigana nje and not changing a monkey into another tree, thus will not help our nation. But it has come to the end of trying to fool all people all the time, watanzania wamebadilika.Tunahitaji uwepo wako katika M4C why you will prove the public the realistic ukichukulia wewe ni miongoni mwa watu waliofaidi matunda ya taifa hili hasa chama cha mapinduzi, I defenetely believe your dady will give you support kwa kua hata yeye anajua fika You cant change the same monkey into onother tree
 
Hakuna lolote, labda yy Jk ajipeleke mahakamani kwanza ! Mbona bado kaweka walaji wengine kulinda maslahi yake ktk sekta flan flan ? Katibu mkuu km yule Komba alimpa zawadi ya ubalozi Uganda baada ya kufanikisha kuuza wale wanyama sasa kama kweli yy hausiki basi amtimue yule haraka na kumrudisha ajibu mashtaka !

What about Jahiro ? Blandina Nyoni anajulikana tangu zamani, hao akina Mapunjo wanajulikana madili yao na yy mwenyewe tangu wakiwa wizara kibao mpaka alipmvuta Ikulu, na then kumpeleka viwanda na biashara ambako yy ni mmoja wa hao wenye makampuni feki na JK anajua siku nyingi.

WTF, mnampa sifa kuwa yy ndiyo aliamua report ijadiliwe, kwani hii ni report ya CAG ya kwanza ? Ni upinzani ndiyo umesababisha haya yote na baadhi ya wabunge wa CCM baada ya kufuatilia wakagundua ni kweli wenzao wanakomba bila huruma na JK anajua na kuhusika thru mtandao plus RZ1. Mbona yule DED aliyetafuna mahela akiwa Bagamoyo, rafiki yake mkubwa ndiyo kampa u RC Arusha ?

So wewe acha hizi sifa hewa unless sasa unavizia nafasi iliyobaki ya kuteuliwa ubunge !! Vp anakuja lini kufungua tawi lako la CCM...lol

- Hakuna lislowezekana kama wamesoma ripoti kwa taifa na yanayofuata wananchi tukiyataka tayafuata, ila kama wananchi wamekata tamaa hivi then inakuwa ni kazi sana, ila ninaamini wananchi tukidai itafanyika kama wananchi walivyodai waondolewe!

William.
 
tusubiri mwaka 2015, tofauti na hapo tunapoteza muda na kodi za walalahoi bure! hukumu tutatoa sisi wenyewe! kama kawaida napita njia tu wakuu!
 
I am impresed na Hoja za William,Takini wile hapa unadhani hata wakipelekwa mahakamani kuna kitu gani kitafanyika dhidi ya Kushinda Kesi,Huenda kwa kua nuda mwingi uko nje ya nchi na kutojua what is going on ndani ya nchi yetu,Luhanjo yulo wapi, Msabaha, na wote waliotajwa katika report teule ya bunge kuchunguza richimondi, Lakini kwa kua kwa sasa upo nchini Mahakama zetu zimetekwa mazima, ona Keshi ya Mpendozoe na mahanga, Wanasahau kua watanzania wanafuatilia kesi hizi kwa umakini wa hali ya juu, Hata angeambiwa hakimu wa mahakama ya mwanzo angelitoa hukumu stahiki.

Lazima tukubali the whole system ya nchi imefeli na kinachotakiwa ni kubadilisha system nyingine, Vema kama kweli unahitaji hizi change Lazima ukubali kuja katika upande mwingine kwa ajili ya ukombozi wa pili wa taifa letu.Kwa kua kimtanzamo you are defenetely right lakini get out there and pigana nje and not changing a monkey into another tree, thus will not help our nation. But it has come to the end of trying to fool all people all the time, watanzania wamebadilika.

- Kuja upande wa pili ni lazima nipaamini huko, so far bado sijafikia hilo kutokana na kujua mengi sana yanayoendelea within na hizi siasa, lakini mimi nimesema hivi na wakati wote kwamba siwezi hata siku moja kukosa kuweka wazi msimamo wangu on any ishus hapa bongo, kwenye hili la mawaziri ninasema sasa tumewaondoa kwenye nafasi kwa sababu ya kuamini sio wasafi, basi wakasafishwe na Sheria!

- Upande wa pili bado sijaamini kwamba huku niliko kumeshindwa, siku nitakapoaamini hivyo utaniona nikiwa wa kwanza kuja huko, sio sasa!

William.
 
Le Bahari Ebu tusaidie kuelewa Hivi Wazo la Kuwepo kwa Waziri asiyekuwa na Wizara Maalumu(Minister without Portifolio)Lilitolewa na CC au ni aloud thinking ya Mukulu mwenye? Hii Cheo kilikuwepo some years back then kikaondolewa,kimerudishwa tena Je,Kina Tija kwa Taifa lenye uchumi wa kama wetu?

Heshima mbele kama Tai Mkuu!

- Zamani kilikuwa ni cheo cha Waziri wa Usalama wa Taifa, well mimi ni binadam kama wengine ninaheshimu sana utumishi wa Waziri Mwandosya, ningempa the same position ili kumpa nafasi ya kuendelea kutibiwa na Taifa.

William.
 
Iundwe mahakama maalumu ya kushugulikia kesi za ufisadi na uhujumu wa uchumi ili process iende haraka!!
 
Kwa Tz huo ni mchezo wa kujificha. Wapi Daniel Yoma, Mramba na Chenge, heshima itarudi ili lichama lao likitoka madarakani maana nyuma yao wapo viongozi wao wote
 
Wakuu JF heshima mbele sana,

- Well, kitendo cha Rais kuwabadili mawaziri waliokuwa wakituhumiwa kuhusika na upotevu wa hela za wananchi na ripoti ya CAG, kina maana moja tu kwamba hata na yeye ameridhika kwamba kuna ukweli au FACTS katika tuhuma walizokuwa wakituhumiwa nazo, ninasema great second day kwa Taifa, kwanza ilikuwa kuweka ripoti wazi to the public na kuruhusu mjadala wa public!

- Sasa ifike mahali pa kufanya kweli, yaani Watuhumiwa wote kufikishwa kwenye mkondo wa Sheria, haki itakua imetendeka na sio otherwise, kwanza haki kwao mawaziri maana wanahitaji kuwa wasafi mbele ya public na pili Serikali kulinda heshima yake kwamba sasa ipo serious, ama sivyo kuitoa ripoti ya CAG to the public itakuwa ni kazi ya bure, I mean mawaziri na viongozi wetu wakijua kwamba madhara ya kuiba ni kujiuzulu tu na kuachiwa ukale mihela ya wananchi tutakua tunajenga taifa la kusadikika, na itakuwa kazi kubwa kumpitisha Rais wa CCM 2015!

- MHESHIMIWA RAIS, UBARIKIWE KWA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI, SASA TWENDE MBELE ZAIDI TUFIKE KWENYE SHERIA NA WOTE WENGINE HAO MAKATIBU NA WAKURUGENZI ULIOSEMA KWENYE HOTUBA YAKO KUWA WANAHUSIKA NA WAO PIA UWE MWENDO WA KUELEKEA KWENYE SHERIA!, NI SHERIA TU NDIO INAWEZA KUTUSAFISHA WOTE, SERIKALI NA MAWAZIRI WALIOACHWA!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA!



William @DSM CITY!


Ndugu William kwa ufupi kama utamaduni wa kuwapeleka watuhumiwa wa ufisadi mahakamani na kuwafunga/kuwafilisi pale inapodhihirika kuwa wamefisidi nchi yetu ungekuwepo basi leo hii tusingekuwa tunalalama kuhusu ufisadi. Mara nyingi Hata wanapopelekwa watu mahakamani huwa ama ni kwa shinikizo la wafadhili au karata ya kisiasa ili waweke rekodi tu kuwa kuna watu walifikishwa mahakamani.

Kwa mujibu wa Rais mawaziri wameondolewa kwenye nafasi zao kama sehemu ya political responsibility kwa makosa ya watu walioko chini yao. Na alisisitiza kuwa kuanzia sasa waziri akiwajibishwa kisiasa basi walio chini yake nao hawana budi kuwajibika kwa makosa waliyoyafanya. Kwa maneno mengine kilichotokea ikulu ni mchezo wa kisiasa na siyo mwanzo wa mchakato wa kuchunguza na hatimaye kuwachukulia watu hatua kwa makosa ya kijinai. Tunasuburi kuona ni akina nani watawajibishwa kwa kusababisha political responsibility kwa mawaziri na hatua gani zaidi zitachukuliwa dhidi yao.

Kuhusu kujenga taifa la kusadikika "am afraid" tumeshafika huko - yaani Tanzania tayari ni taifa la kusadikika. Tunachotakiwa kujadili hapa ni jinsi gani tutalitoa taifa letu kwenye kusadikika na kulirudisha kwenye njia ya maendeleo tuliyoiacha ambayo itafufua upya matumaini ya wananchi. Kwa mtazamo wangu mjadala wa kitaifa ni muhimu ili tukubaliane ni aina gani ya jamii tunataka kuijenga na hapa suala la katiba mpya linakuna na umuhimu wa kipekee kwenye mchakato wa ku-redefine taifa letu.
 
Hakuna kitu kitafanyika kwa hawa, Takukuru Tanzania? walifanya nini kwenye watuhumiwa wa eppa, rada, richimond na wenginewo, Ni bora ukabidhi shamba lako kwa nyani wenye jaa kuliko wale nyani walioshiba, yule mwenye njaa akakula kila kitu hata gunzi mwisho wa siku ameshiba walau akakuachia kitu kidogo, wale nyani walioshiba watangalia mhindi ulionona na kukanyagakanjaga ilimradi mkulima akose kabisa, engelikua kesi ndogondogo wangefanya hivyo
 
- Zamani kilikuwa ni cheo cha Waziri wa Usalama wa Taifa, well mimi ni binadam kama wengine ninaheshimu sana utumishi wa Waziri Mwandosya, ningempa the same position ili kumpa nafasi ya kuendelea kutibiwa na Taifa.

William.

Kwayo ccm mnapeana vyeo kwa ajili ya kula tu na si kuwatumikia wananchi?
 
Iundwe independent elimination squad.

Inachunguza, inahukumu, ina eliminate kila afanyae madudu awe ni waziri au tarishi. Siku anayokuwa eliminated, anawekewa na hukumu yake na ushahidi kamili wa madudu aliyofanya.

Wakifika watano tu! ukimpa mtu hata soda atakataa! wacha "takrima" na "ten percent".

Tutaidhibiti vipi hii squad nayo isije kutumiwa na mafisadi dhidi ya wale wasafi wachache?.
 
Ingekuwa ni enzi za kina JKN na EMS watu hawa wangepatikana na hatia ya kuhujumu uchumi, lakini kwa tanzania hii ya sasa inayoongozwa na nguvu ya mafisadi watashinda kwa kuonekana kuwa hawana hatia.
 
ingekuwa ni enzi za kina jkn na ems watu hawa wangepatikana na hatia ya kuhujumu uchumi, lakini kwa tanzania hii ya sasa inayoongozwa na nguvu ya mafisadi watashinda kwa kuonekana kuwa hawana hatia.
jkn-julias .k. Nyerere
ems-edward moringe sokoine.
I like it,thank u!
 
Tutaidhibiti vipi hii squad nayo isije kutumiwa na mafisadi dhidi ya wale wasafi wachache?.

Itakuwa ni ya siri hakuna ajuae nani ni nani. Ilishafanywa kitu kama hii duniani wafatiliaji wa mambo wananielewa nazungumzia nini.
 
Back
Top Bottom