Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,355
- 144,975
another golden platinum point.
alokuowa ana bahati
Golden platinum?
another golden platinum point.
alokuowa ana bahati
Naomba gaga ujibu hili suala.hapo nilipobold, natofautiana na wewe, hiyo ya mtu kunitumia jumbe za mapenzi kwenye simu yangu linaweza lisiwe kwenye uwezo wangu kulizuia, BUT I will never intertain!!!
Gaga, cheating ni pana na nakubaliana na wewe sana tu kw auliyoyasema...kama una umejifunga kwenye mahusiano kwa nini uanze ku intertain mawasiliano mengine yenye mwelekeo wa mapenzi? lengo ni nini hasa??
Arifu sikuwezi.........lol!!!!!Teh teh teh....sometimes I wonder who really is eccentric here! OMG SMH *100
Arifu sikuwezi.........lol!!!!!
double status? double negative? double zagga?Golden platinum?
Arifu sikuwezi.........lol!!!!!
double status? double negative? double zagga?
enhee turudi kwenye mada
eeh hapo tatizo ni yeye kwani ni uongo!!!! sasa huko nje ndo atakutana na maushauri kibao ya mpak 'dawa ya huyo ni kidumu/nyumba ndogo'
na ni tabia mbaya na inayotuponza wengi tu ya kuongelea mapungufu ya wenzi wetu nje kabla hata hatujazungumza nao!!! Sijui kwa nini hatuoni ubaya wake ama ni hatujiuliza 'kama ningesikia yeye ndo kaenda kuniongelea huko ningejisikiaje?'
ni utovu wa heshima na upendo wa dhati....kama nyie ni 'mwili mmoja' sasa hayo mapungufu yake unayoanika si ni aibu yako na wewe....
Yaani Tigger sijui anajaribu ku-prove nini... Dah! Nimemiss the original lakini.
:focus:
Ni kama sahani iliyovunjika...unaweza ukaiglue pamoja na kuendelea kuitumia ila kila mara utaona alama ya pale ilipopasuka...na ni rahisi for it to fall apart again.
Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!
NB: There is no "Genuine" reason for cheating
Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!
Naipinga kwa sauti kuu!
Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!
Wanaume wana"Genuine" reason for cheating........... Period!!!
Sitajibu maswali!
Asante......Lizzy we are on the same page
bht...bht...plzzzzz.....khaa! mwili 1 ni kauli ya bible kivitendo kila mmoja na mwili wake, ukickia mwanamke ametoka nje ya ndoa then anamsema mume wake vibaya kwa hawara ujue huyo ubongo wake una kreki, yeye atajifanya ni tamaa za mwili 2 zinampeleka huko but kwake hakunaga matatizo...wanaume ndio wenye hizo tabia chafu, na hawara nao cjui wanapatiaga wapi muda wa kuckiliza huo upuuzi wkt baada ya nusu saa anakwambia ngoja niwahi home, nyamaza niongee na wife, cjui nn na nn, hapo alishamsema wife vibaya weeee...oohh wife mchafu, kanenepeana, hatulali kitanda kimoja , kesho mnakumbana nakumat/mr price mke anasukuma 2mbo akiwa na mr wake, cjui kaipata kwa nguvu za roho mtakatifu...aggrrr ctaki mie!
nayo ni tamaa tuu wanatamani tamani kila mahaligademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!
Naipinga kwa sauti kuu!
Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!
wanaume wana"genuine" reason for cheating........... period!!!
sitajibu maswali!
Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!
Naipinga kwa sauti kuu!
Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!
Wanaume wana"Genuine" reason for cheating........... Period!!!
Sitajibu maswali!
Nina Amarula yako hapa dear.... Chilled.