Mawasiliano na Mahusiano

Mawasiliano na Mahusiano

halafu wewe ngoja nikutolee uvivu huwa mnacheat na mapaka maana kama ni wanawake siku wakiwanyima vipusi vyao hizo genuine reason mtazitolea wapi ? (nisamehe babu nakahasira kidogo kuna mtu kakataa kulipa deni langu)


Gademu! Nimerudi tena kuja kuipinga hii kauli!

Naipinga kwa sauti kuu!

Hiyo kauli inawahusu wanawake tu!!!

Wanaume wana"Genuine" reason for cheating........... Period!!!

Sitajibu maswali!
 
.................."no what? changamoto mojawapo kubwa kwenye ndoa ni mawasiliano, wanandoa wengi hawana guts za kuambiana ukweli au kuwekana chini kujadili mambo yanayowahusu, matokeo yake mmoja akizidiwa nguvu anaanza tu kujifeel inferior, helpless as a result and create a kind of depression! hali hiyo inakuwa ni ugonjwa mbaya kwenye mapenzi, na pindi akipata mtu anaemjali, anamsikiliza na kumshauri, anajenga tabia ya kumuamini na hata ck ya kuanza katabia ka kucheat ataona kama anamtendea ukarimu mtu wake wa karibu! (hii inawakumba zaidi wanawake)" .............mwisho wa kunukuu.


Kusema kweli communication breakdown haiwezi kusababishwa na mtu mmoja, I will stand for this until the end. Wanawake wana-tendency ya kutaka kuwafanya wanaume ni malaika. Kuwa wanaume watajua yaliyo moyoni mwao then watafanya kama wao wapendavyo.

Tatizo na changamoto kubwa ni kuwa matatizo ya mwanamke yanabadirika kila siku. Mahitaji nayo yanabadirika. Lakini vile vile hata mitazamo inabadirika - ndo maana matatizo ya mawasiliano huanzia ndani ya ndoa.

Communication breakdown ikianza wakati wa uchumba, no chance. Kinachotokea ni kuwa, kwa sababu wanawake wengi wako desperate kuolewa; communication breakdown ikitokea wakati wa uchumba, mwanamke huwa flexible na huchukua view ya mchumba wake (wa kiume) kama authoritative.

Akishaolewa, mwanamke huanza kujiona ni equal partner - hiii ni tatizo la kwanza linalosababisha comm breakdown. Inapotokea argument she no longer give in easily. Sasa hapa mwanaume mara moja ataona mabadiriko. Atajaribu kutumia kila awezalo kurudisha situation kwenye pre-marriege bila mafanikio.

Hapo ndo mwanamke huanza kulalamika ananyanyaswa, sijui nini!! Mambo yale yale alokuwa anavumilia siku za uchumba, kwenye ndoa anaona ananyanyasika - kumbe precedence kaiweka mwenyewe! Mwanaume atamuona kabadirika, naye atamuona mwanaume wake hamjali - hatimaye atakimbilia kwenye cheating.

Akishakimbilia kwenye cheating anahamisha emotional attachment kutoka kwa mme. Mme naye atazidi kuwa more hostile ........... and the vicious circle goies on and on!!!
 
sikatai mbona, lakini mpendwa hivi aibu ya mumeo sio yako?
hapo kwa bluu si atajipa tu moyo labda umepandikiziwa..lol!!!
sasa si unaona eeh....nyumbani hajakwambia umenenepeana, wewe ni mchafu na yeye hapendezwi na hiyo tabia, anaenda kufunguka hukooo nje!! nini sababu sasa? labda hata akisema wewe umegoma kubadilika au wala humpi hiyo nafasi japo ayazungumze yaujazayo moyo?

apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.
 
mwenzio mie nilishajichangisha mpaka kapu limeanza mwagika ..........pete usijali naweza kukuazima yangu lakini usisahau kumtaarifu baada ya muda muirudishe kwa mwenyewe!

Lol!!! Khaaaaa!! Chauro bi harusi atoke wapi tena....dah hata sijui engagement ring inafananaje
 
mwenzio mie nilishajichangisha mpaka kapu limeanza mwagika ..........pete usijali naweza kukuazima yangu lakini usisahau kumtaarifu baada ya muda muirudishe kwa mwenyewe!
Dah!!! Chauro sijui na mimi niende Jukwaa la love connect nikatangaze nia....lol!!!
 
kha nyamayao mpenzi safari bado ipo ndefu .........si ilimradi anarudi home na anatimiza majukumu ngoja nikupe mfano kuna baba namfahamu nafikiri amebakiza kutongoza kuku na ukimkuta na mamaaa huwezi amini lakini jipe time mama asogeze macho pembeni au ainame hata anafukuza mbu miguuni tayari mzee kashakonyeza wanaomvutia karibu nae .

apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.
 
Mi nasema hivi..walio wasafi na waendelee kuwa wasafi na wanaocheat na waendelee hivyo hivyo. Mwisho wa siku you have yourself to blame not others.
Dah! carmel hebu fafanua kidogo, hapa unamaanisha hata yule ambae hacheat atajiblame au hiyo blame inamuhusu cheater tu?

Mood: nimeshtuka
 
kha nyamayao mpenzi safari bado ipo ndefu .........si ilimradi anarudi home na anatimiza majukumu ngoja nikupe mfano kuna baba namfahamu nafikiri amebakiza kutongoza kuku na ukimkuta na mamaaa huwezi amini lakini jipe time mama asogeze macho pembeni au ainame hata anafukuza mbu miguuni tayari mzee kashakonyeza wanaomvutia karibu nae .
wanaume bwana wanajua kupretend kweli kweli
 
kha nyamayao mpenzi safari bado ipo ndefu .........si ilimradi anarudi home na anatimiza majukumu ngoja nikupe mfano kuna baba namfahamu nafikiri amebakiza kutongoza kuku na ukimkuta na mamaaa huwezi amini lakini jipe time mama asogeze macho pembeni au ainame hata anafukuza mbu miguuni tayari mzee kashakonyeza wanaomvutia karibu nae .

kazi 2nayo mackini....wangekuwa mbuzi hawa wangu ningemfunga chini ya mwembe na mnyororo kabisa, haendi machungani milele.
 
Nyamayao namfeel sana amepinda mbaya sipati picha hapo nyumbani league yake..............Halafu mbona kwenye list ya Mamods kule kwenye sredi ya Invisible haupo?Dah sitaki kuamini wamekuchakachua na promo yote ile
heheeh nyamayao anapandisha mzuka hata kwenye keyboard aisee mi mwenyewe kama nitalazimika kumsaliti waifu basi nadhani nitamsaliti kupitia nyamayao (Eee Muumba nisamehe mie sijui nilisemalo)

kuhusu mods mimi niko category ya undercover mods, majina yetu hayawekwi hazarani.

Bek to topik: Msione kimya, naufatilia mjadala kwa makini sana
 
Back
Top Bottom