Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
mnajidanganya wenyewe mbonasio kupretend ndio unadanganywa hivyo
mnajidanganya wenyewe mbonasio kupretend ndio unadanganywa hivyo
kwa iyo unataka kusema kwanza kina dada tunanyenyekea mahusiano ya awali ili tupate ndoa? Then tunakuja kubadilika?genesis ya mambo yote iko kwenye uchumba! Kina dada mnatoa concessions nyingi sana mnapokuwa kwenye uchumba ... Kuogopa mbuzi asikate kamba.
Mkishaingia kwenye ndoa, zile concesion mnaanza kufuata moja baada ya nyingine! Hapo ndo communication breakdown inapoanzia. Mwanaume akianza tu kuwa mkali katika kuachia concessions, basi ataporomoshewa malawama ya unyanyasaji, kutojali, n.k. Halafu kinachofuata ni kugawa dudu nje!
Halafu mnalalama eti mwanaume ndo kawasababishieni! Mhhhhh, ogopeni mungu nyie! Halafu ukiangalie kule kwa wapima ngoma (akina angaza) kila mwanamke anayekutwa na miwaya atammwagia milawama kibao mme wake. Cha ajabu, katika kila couple 10 zinazopima na kukutwa kuna miwaya, kati ya hizo 4 hadi 5, wanaume hawana miwaya - ila wake zao wanayo! Ni kama couple moja tu utakuta mme ana miwaya mke hana. Zilizobaki wote wanavyo. Sasa hapo utasema watokaji zaidi kina nani?
Hizi takwimu zingine zinafichwa tu kuwalinda kina mama! Wenyewe ukiwauliza watakwambia takwimu hizi hazina maana. Lakini hata kule kwa mkemia mkuu kwenye dna, asilimia kama 60 ya watoto waliokwisha chekiwa pale dna, hawakuwa watoto wa kina baba waliokuwa wakiamini kuwa wale watoto ni wao! Nyie ........ Kina mama waacheni tu; kama hawajakung'ata utawaona malaika!
heheeh nyamayao anapandisha mzuka hata kwenye keyboard aisee mi mwenyewe kama nitalazimika kumsaliti waifu basi nadhani nitamsaliti kupitia nyamayao (Eee Muumba nisamehe mie sijui nilisemalo)
kuhusu mods mimi niko category ya undercover mods, majina yetu hayawekwi hazarani.
Bek to topik: Msione kimya, naufatilia mjadala kwa makini sana
Smiley watu wengi sana wanatumia hiyo strategy...sio wadada tu hata wakaka sema tu kwa sababu tofauti.kwa iyo unataka kusema kwanza kina dada tunanyenyekea mahusiano ya awali ili tupate ndoa? Then tunakuja kubadilika?
Sawa tunabadilika jiulize ni nini kinachowabadilisha wanawake wakishaolewa sasa from there tunaweza tukaendelea
apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.
lol....uuuuuuuuffff!!!
kwanza lizzy mimi ni smile sio smiley -tabasamu naona gongo na dadii za matejoo zinakusumbuasmiley watu wengi sana wanatumia hiyo strategy...sio wadada tu hata wakaka sema tu kwa sababu tofauti.
Ndoa nyingi unazosikia zina vilio sasa hivi zilikua na uchumba mtamu pia mwanzo mtamu...ila baada ya muda yule aliyeficha makucha anaona well nimeshawekwa/muweka mwenzangu ndani sasa kuachana na nini sio rahisi hivyo najiachia na kuonyesha ukweli wangu.
Kama ni mvivu hayaa...kama sex sio muhimu kwake migongo inagongana...kama ni mkorofi nundu zinaonekana and so...so!!
oohh yeah mae...kuna cku 2likuwa mahali na fnds zake msukuma na wake zao, sasa mke wa mmoja wao akawa na yale mashauzi maongezi mengiii,priii nyingi, yeye ndio muongeaji/mjuaji kuliko wake za wengine wote, cjui ile kuongea sana ilimpumbaza hakujua kiwango cha pombe kinaelekeaje, alilewa mpaka akatapika hadharaniii, hahaha wkt 2narudi msukuma akaniambia yaani ingekuwa ni wewe leo ningekulabua haswaaa "huwezi kunipa aibu vile"....hahahah, lakini mume wa yule dada alifanya kumchukua mke wake taratibuuuu kwenye car na alirudi kuja kuendelea na pombe kama hakuna lililotokea......so kuna aibu na aibu ya kujickia vbaya kwa mwenza wako kwa jinc ya wenyewe mlivyo.
Heeheheh...we niache niite Smiley bana nionekane mjanja huku matejo...siunajua tena.kwanza lizzy mimi ni smile sio smiley -tabasamu naona gongo na dadii za matejoo zinakusumbua
back to topic mimi navojua na ukweli ulivo wanaume ni macheaters na ni waongo ndo wanaoharibu mapenzi na ndoa
wanaume ndo kiini cha mabadiliko kwenye mahusiano
mwanaume ndo mwenye uwezo wa kufanya mahusiano yawe mazuri au mabaya
wanawake wanamalizia tu
Nani kakudangaya?????kwanza lizzy mimi ni smile sio smiley -tabasamu naona gongo na dadii za matejoo zinakusumbua
back to topic mimi navojua na ukweli ulivo wanaume ni macheaters na ni waongo ndo wanaoharibu mapenzi na ndoa
wanaume ndo kiini cha mabadiliko kwenye mahusiano
mwanaume ndo mwenye uwezo wa kufanya mahusiano yawe mazuri au mabaya
wanawake wanamalizia tu
Heeheheh...we niache niite Smiley bana nionekane mjanja huku matejo...siunajua tena.
BTT...dearest...dearest...dearest... hamna sehemu uliyokosea kama kusema kwamba ''wanaume ndio wenye uwezo wa kufanya mahusiano yawe mazuri au mabaya....''.Ukweli ni kwamba kila mmoja ana nafasi yake ya kufanya mahusiano yawe mazuri kwake mwenyewe na kwa mwenzake pia na sio mmoja wao. Unless huo uhusiano unaendeshwa na mwanaume na kila anachosema/taka/fanya yeye ndio kinachofsiriwa kama furaha ya mke/mpenzi wake.
Mf. Unakuta msichana wakati wa upenzi/uchumba alikua ana-acta all wifey like , anaenda kwa mwenzake anapika..anasafisha..anafua..anapanga/pamba nyumba na kuondoka zake.Yani pamoja na kwamba haishi pale bado anaonyesha kumjali mwenzake na kujali namna anayoishi. Akishaolewa tu immediately anataka dada wa kazi, before you know it aliyekua mpenzi na sasa mume hapati chakula kilichopikwa na mkewe..nguo zake dada anafua..hata kusogeza viatu mama mwenye nyumba hataki anamwagiza dada wa kazi. Mambo ya chumbani nayo wakati wa uchumba alikua anaruhusu/kubali/taka hata mara nne au tano kwa wiki bila kulalamika/kuombwa wala kulazimishwa ila baada ya ndoa maumivu ya kichwa yanaanza utadhani pete ya ndoa ina sumu..uchovu nao hauishi wakati majukumu hayajaongezeka sana pengine hata kupungua yamepungua.
Mwisho wa siku mume anahisi kutengwa na kujisogeza zake pembeni ili asiendelee kukereka..anajiweka busy na kazi.. muda wa ziada bar/na marafikia etc , mwisho hata kumshika mkewe anakwepa/ogopa kwa sababu anajua matokeo yake tayari. Hapo sasa ndio unaanza kusikia malalamiko toka kwa mke , ohh hanijali..hamu na mie hana na blah blah nyingine wakati matendo yake ya mwanzo yalishaashiria kwamba hataki ukaribu na mume.
Nwy huo ni mfano tu ila ukweli ni kwamba baadhi ya watu ni vigeu geu...wakati wakionyeshwa mapenzi wanajisogeza...mapenzi yakiacha kuonekana wanalalamika wao wao!!So tatizo haliko kwa wanaume au wanawake pekee...lipo kwa wote.
Babu nimekuelewa vizuri sana hapa. Ninaomba tu nijuze kitu kimoja...............katika maisha ya ndoa, kwenye ndoa ambayo kimahusiano iko normal, mwanamke na mwanaume wanaweza kustahmili muda gani pasipo kupeana haki ya ndoa!? Woote wapo pamoja, hakuna ugonjwa wala sababu ya kuzuia tendo hilo lisifanyike.
yaani hapo ndicho kitu ambacho sikiamini kapisa kwenye mahusiano!! tit for tat sasa unakuwa umemkomesha nani haswa hapo kama si wewe mwenyewe???
tabu yote ya kuanza kwenda kujificha ficha kuibia huko pembeni, I would rather use that energy and resources talking to my partner about it. kama ramani haisomeki basi ujue umepotea rudi ukaanze upya!!!
After all najisikia kama vile siuheshimu mwili wangu kujiachia achia 'hovyo' kwa visingizio vya kipuuzi ambapo ningeweza tu kutafuta suluhisho (ofcoz taking into consideration the risks I will be exposing myself into)
Ntaongea tu hata kwa msaada wa wamarekani!!
apate atakacho, akishamwaga yogurt yake anarudi kwa mama hambiliki.....hiyo red, kama hajiheshimu kwa upande wangu aibu yake itabakia kuwa yake, ckum2ma alifanya na akili zake timamu, so inategemea na aina ya aibu.
Yaani, hapo umegonga ikulu, hali inakuwa hivyo kwenye ndoa karibu zote. Wakati wa uchumba mdada anajua principle zote za kuwa mke na anazifuata. Akishaolewa, zile principle zinageuzwa! Mme akiona shida akaanza kuhitaji yale yaliyopotea, milawama ya unnyanyasaji inaanzia hapo na communication breakdown ndo imeshatinga!!
Baada ya hapo cheating ni innevitable! Cheating wakati wa uchumba mbona si common hivyo?
Mtasema weeeeeeeeeee lakini habari ndo hiyo waoaji na waolewa siku hizi ni cheating kwa kwenda mbele,period,with or without justification.
Babu Asprin! Kama kawaida yako hwishi visa! Haya wanaume wana genuine reason ya kucheat? Ipi hiyo? Na kwa vipi haiwahusu wanawake wakati wote tuko sawa, au wengine wako sawa zaidi??
...usinikumbushe uchungu, pamoja na kuombwa msamaha zaidi ya mara saba na serial cheater wangu,
ipo siku nilimsikia kwa masikio yangu akijigamba hajutii!...aiseee....
...anyway, nikisemacho hapa ni kila tunapochimba kutafuta sababu iliyopelekea mtu ku cheat nje, naona kama tunatafuta tu kuhalalisha matendo haya ambayo yamekatazwa kwenye mafunzo ya kiimani na hata kidunia.
Kwa mtazamo na msimamo wangu, na kwakuwa nilishawahi kuishi kwenye mazingira ya kujifanya mume *****
mwenye uwezo wa kuyafikiria yote yanayoweza justify cheating...mwishowe niligundua ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER!
...mwenzio akisha cheat mwanzo kwa sababu yeyote ile hataacha, bora kuachana tu!
hakuna mawasiliano aina yeyote yatayojenga na kurudisha trust iliyokwisha vunjika...
wakatabahu!
MwanajamiiOne..huu uzi wako umenifanya nikumbuke kitu. Mara nyingi sana nimekuwa nikisikia kuwa eti wanawake huwa hawachiti bila "sababu". Ingawa mpaka sasa sijaona mantiki ya hicho kisingizio lakini leo nimejiuliza; hivi wanawake huwa hawana matamanio? Na kama jibu ni ndiyo, je, huwa hawachiti kutokana tu na kumtamani mtu?