Mawasiliano na Mahusiano

Mawasiliano na Mahusiano

Nyani Ngabu I salute you men. hakuna wa kusababisha mwenzie atoke nje ya ndoa, kwa nin inapotokea hiyo usichukue jembe ukalime kuonyesha msisitizo wa kukasirishwa na tabia ya mwenzio?

Hiyo ni laana ndiyo maana, hata watoto tunaowazaa wanakuja na laana hiyo hiyo. Kwa maombi inawezakana. Hizo communication skills zenu kasomeeni master na PhD's, kwa hawa matapelii wa mapenzi haiwezekani.

hahahaha.....T.G.I.F
 
Aksante nyamayao, hiki nakijaribu kukiweka vizuri kinanishinda. Ndio ninachotamani kuwasikia kina KipimaPembe wakinipa alternative. Kwa sababu cheating haikubaliki na haina excuse basi watusaidie kuzipunguza kwa kutusaidia alternatives. Na ndio hapo linapokuja swali langu katika situation kama hii, mume ana mchango gani katika kumsukuma huyu mama hata kuwaza kutaka kucheat!

Au ndio kusema mwanamke ameumbwa na hisia, ashki ambazo zinarespond kwa mume wake tu kuwa siku mume akiamua kumkatia line hata miezi sita, mwaka basi na yeye hatopata ashki za mwili kwa kuwa zinakuwa non-functional au ni vipi.

Hivi unafikiri kuna mwanamke anaye-cheat na kukubali kuwa ana-cheat tu kwa sababu anapenda kufanya hivyo na anajisikia raha kufanya hivyo? Huo mfano wa Nyamayao ndo typical case. Hujaongea na huyo mme wake ukajua kwa nini akae kipindi chote hicho bila kumshughulikia mwenzie!!! Kuna sababu hapo!!

Huo ugomvi unaomsababishia mme kukaa miezi mi3 na zaidi bila kuhitaji unafikiri ni mme tu kauanzisha kwa sababu ya kichaa chake? ndo rafiki yako anavyokwambia eeee! Tuna experience siye na hayo mambo hatudanganyiki hata chembe. Hao wengi unakuta wao ndo wanawatolea nje waume zao kwa sababu unakuta ameweka masharti ambayo mmewe akishindwa kuyatimiza hakitoki kitu. Sasa mme akikaa kimya naye hataki kuyatimiza hayo masharti kwa sababu yanaenda nje ya kile anachoamini, mwanamke anang'aka kuwa amekataliwa; wakati in the first place yeye ndo kaweka masharti.

Nooo, kwa mtu ambaye hajaishi na mke ni rahisi kumdanganya, mie haiwezekani. Hapo mnadanganyana na marafiki zenu tu wanaotafuta comfort ya kucheat kutoka kwennu.

Sijaona mtu anayekuja hapa na kusema kuwa aliongea na pande zote mbili (yaani mke na mme) halafu akafanya conclusion kuwa mme ndo mwenye makosa hivyo akamshauri mke kucheat!!! Hakuna, ni always one sided stories mnatoleana hadi machozi katika juhudi za kujustify cheating!!
 
Sababu kuu kwanini wanaume wanatoka nje ya ndoa zao:

1. Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja tu.
Source: Nature, Misahafu ya dini
2. Wanawake ni wengi kuliko wanaume, na wanaume ni watu wenye upendo sana hawapendi kuwaacha wanawake wasio na wanaume wakilala na kiu ya mapenzi
Source: Sensa, Uzoefu.

Ntarudi kuwapeni sababu kwanini wanawake hawapaswi kutoka nje ya ndoa/mahusiano yao.
Source: TGIF
 
Aksante KipimaPembe kwa kunielewesha. Sasa nimekuelewa so kama kuna ugomvi ni vema kujua chanzo chake but kama hakuna ugomvi, na sababu ya mume kutomgusa mke au mke kutomgusa mume ni nyumba ndogo/kiserengeti n.k kuwa mtu ana'choshwa' na kanogewa kiasi kwamba chakula cha nyumbani anakiona makapi?? Au napo kutakuwa na sababu iliyopelekea kama baba kuwa na nyumba ndogo??

Mwe KipimaPembe aksante kwa kuendelea kuunoa huu ubongo ulokwisha lala
 
Hahahah nilijua tu.
Haya ukija uje na alternatives wanazotakiwa kuzifanya inapotokea 'wametelekezwa" na usikimbilie kusema watoe talaka kwa sababu mimi na wewe tunaelewa fika kuwa wapo baadhi ambao kwa sababu zao wanashindwa kufanya hivyo (kutoa talaka)
 
Ni kweli kabisa kipima pembe ni wajibu wangu kuhakikisha ninafikishwa, lakini nitafikishwajwe ndugu yangu ilhali kila siku mtu anakuja late na amelewa. Kwanza ukianza kufikiria kumwomba romance akili inachoka mana hiyo harufu utadhani kitu kimechacha.

Basi mwenyewe unajitutumua hapo kwa kuonyesha kaufundi kako lakini mwenzio ndio kama hasikii wala haoni vile, na smtime unachukua hata mkono wake unauelekeza pale unapotaka ushikwe lakini mwenzio haelewi somo wala darasa sana sana utasikia mie nina usingizi bwana tufanye haraka mie nilale kesho nataka kuwahi kazini.

Kinachofuata hapo ni kuchafuliwa na hizo yorgurt zake then mtu anachapa usingizi kwa kwenda mbele, kwa kuwa bado unampenda sweetie asubuhi utajitahidi kumweleza sweetie siku hizi mbona hivyo hunifikishi kama zamani ?

Jibu utapata ni pombe na uchovu mke wangu mpendwa but usijali nitajitahidi kuacha haya mapombe but usiku akirudi kalewa huyo afadhali hata ya jana!

Huwa najiuliza nakosa jibu kabisa hivi mtu akishaolewa nyege anaziacha kwao au mana mtu waweza lala naye hata mwezi ukimgusa tu unapigwa kikumbo!
 
Mwe haya makombora unayonitolea leo we bi nemic4u, mie ninaumwa na kichwa kabisa!
 
Hahahah nilijua tu.
Haya ukija uje na alternatives wanazotakiwa kuzifanya inapotokea 'wametelekezwa" na usikimbilie kusema watoe talaka kwa sababu mimi na wewe tunaelewa fika kuwa wapo baadhi ambao kwa sababu zao wanashindwa kufanya hivyo (kutoa talaka)
Hebu kuwa specific hapo......kutelekezwa na nani? kutelekezwa ukimaanisha nini?
 
Ikitokea mume kanogewa na penzi la nje kisha aka'hama' nyumbani! kuhama sio lazima afunge mabegi, bali ndo akasusa kula kwa bi mkubwa kwa kuwwa tu alikula kwa bi mdogo akanogewa akaona kwa bi mkubw aya kazzi gani. Mwezi hamgusi mkewe na wala akiguswa anatoa vikumbo.
 
Ni kweli kabisa kipima pembe ni wajibu wangu kuhakikisha ninafikishwa, lakini nitafikishwajwe ndugu yangu ilhali kila siku mtu anakuja late na amelewa. Kwanza ukianza kufikiria kumwomba romance akili inachoka mana hiyo harufu utadhani kitu kimechacha.

Basi mwenyewe unajitutumua hapo kwa kuonyesha kaufundi kako lakini mwenzio ndio kama hasikii wala haoni vile, na smtime unachukua hata mkono wake unauelekeza pale unapotaka ushikwe lakini mwenzio haelewi somo wala darasa sana sana utasikia mie nina usingizi bwana tufanye haraka mie nilale kesho nataka kuwahi kazini.

Kinachofuata hapo ni kuchafuliwa na hizo yorgurt zake then mtu anachapa usingizi kwa kwenda mbele, kwa kuwa bado unampenda sweetie asubuhi utajitahidi kumweleza sweetie siku hizi mbona hivyo hunifikishi kama zamani ?

Jibu utapata ni pombe na uchovu mke wangu mpendwa but usijali nitajitahidi kuacha haya mapombe but usiku akirudi kalewa huyo afadhali hata ya jana!

Huwa najiuliza nakosa jibu kabisa hivi mtu akishaolewa nyege anaziacha kwao au mana mtu waweza lala naye hata mwezi ukimgusa tu unapigwa kikumbo!

Hapo red....... kama mwezi umepita hujamiminiwa protini........Amin amin nakuambia, umeolewa na aliyekutamani, siyo aliyekupenda. Chapa Mwendo!!!!
Source: ODM, Uzoefu.
 
Nakuona kama kawaida yako yaani huwa unaanzia mbali kweli
 
Ni kweli kabisa kipima pembe ni wajibu wangu kuhakikisha ninafikishwa, lakini nitafikishwajwe ndugu yangu ilhali kila siku mtu anakuja late na amelewa. Kwanza ukianza kufikiria kumwomba romance akili inachoka mana hiyo harufu utadhani kitu kimechacha.

Basi mwenyewe unajitutumua hapo kwa kuonyesha kaufundi kako lakini mwenzio ndio kama hasikii wala haoni vile, na smtime unachukua hata mkono wake unauelekeza pale unapotaka ushikwe lakini mwenzio haelewi somo wala darasa sana sana utasikia mie nina usingizi bwana tufanye haraka mie nilale kesho nataka kuwahi kazini.

Kinachofuata hapo ni kuchafuliwa na hizo yorgurt zake then mtu anachapa usingizi kwa kwenda mbele, kwa kuwa bado unampenda sweetie asubuhi utajitahidi kumweleza sweetie siku hizi mbona hivyo hunifikishi kama zamani ?

Jibu utapata ni pombe na uchovu mke wangu mpendwa but usijali nitajitahidi kuacha haya mapombe but usiku akirudi kalewa huyo afadhali hata ya jana!

Huwa najiuliza nakosa jibu kabisa hivi mtu akishaolewa nyege anaziacha kwao au mana mtu waweza lala naye hata mwezi ukimgusa tu unapigwa kikumbo!

OK, hii ni case ya ulevi!! Je huyu mtu hakuwa mlevi wakati walipokuwa wakichumbiana? Kama haya maulevi yamevamia relationship hili ni tatizo. Ila wengi hufanya ulevi kama excuse ya kuepuka matatizo fulani. Inawezekana ana matatizo kazini, nyumbani, kwenye familia, n.k. halafu amekimbilia ulevi kama njia ya kupunguza stress (ingawa si sahihi).

Huyo tiba yake ya kwanza ni kuhakikisha kwa vitendo kuwa huo ulevi anauacha. Asipoacha, inaweza kuwa sababu ya kutengana ...... ila si sababu ya mke kumcheat huyo mlevi. Ukimcheat ndo utamzidishia ulevi na pengine utamkosa kabisa. Ulevi si kitu cha lazima na kinaweza kuachwa.

Kama anaahidi kuacha halafu analewa tena bado, unatakiwa uhakikishe anaacha. Ikishindikana anza mbele, kucheat hakutamfanya aache ulevi wala afanye vile unataka. Ku-cheat kunamuingiza mtu kwenye risk nyingine kibao! Ni afadhali ufanye uamzi mgumu wenye long term benefit wa kulala mbele, kuliko uamzi dhaifu wenye short term benefit kama cheating!
 
Ikitokea mume kanogewa na penzi la nje kisha aka'hama' nyumbani! kuhama sio lazima afunge mabegi, bali ndo akasusa kula kwa bi mkubwa kwa kuwwa tu alikula kwa bi mdogo akanogewa akaona kwa bi mkubw aya kazzi gani. Mwezi hamgusi mkewe na wala akiguswa anatoa vikumbo.
Hili swali nadhani wanapaswa kujibu wanawake..........manake kama mwezi mzima unakaa tu shimo likizibika utamlaumu nani?
 
Hivi unafikiri kuna mwanamke anaye-cheat na kukubali kuwa ana-cheat tu kwa sababu anapenda kufanya hivyo na anajisikia raha kufanya hivyo? Huo mfano wa Nyamayao ndo typical case. Hujaongea na huyo mme wake ukajua kwa nini akae kipindi chote hicho bila kumshughulikia mwenzie!!! Kuna sababu hapo!!

Huo ugomvi unaomsababishia mme kukaa miezi mi3 na zaidi bila kuhitaji unafikiri ni mme tu kauanzisha kwa sababu ya kichaa chake? ndo rafiki yako anavyokwambia eeee! Tuna experience siye na hayo mambo hatudanganyiki hata chembe. Hao wengi unakuta wao ndo wanawatolea nje waume zao kwa sababu unakuta ameweka masharti ambayo mmewe akishindwa kuyatimiza hakitoki kitu. Sasa mme akikaa kimya naye hataki kuyatimiza hayo masharti kwa sababu yanaenda nje ya kile anachoamini, mwanamke anang'aka kuwa amekataliwa; wakati in the first place yeye ndo kaweka masharti.

Nooo, kwa mtu ambaye hajaishi na mke ni rahisi kumdanganya, mie haiwezekani. Hapo mnadanganyana na marafiki zenu tu wanaotafuta comfort ya kucheat kutoka kwennu.

Sijaona mtu anayekuja hapa na kusema kuwa aliongea na pande zote mbili (yaani mke na mme) halafu akafanya conclusion kuwa mme ndo mwenye makosa hivyo akamshauri mke kucheat!!! Hakuna, ni always one sided stories mnatoleana hadi machozi katika juhudi za kujustify cheating!!

huyu frnd wangu mwenye hawara wa permanento walishakalishwa vikao vya kutosha na wazee wa pande zote mbili but wapiii ndio kwanza hawara huko nje ana mimba ya mtoto wa pili,..huku home wapo kwa ajili ya watoto... wa2 mpaka wamefikia hivyo ni kwamba wameshasuluhishwa kwa kila namna lakini hakieleweki, hakuna cha kudanganyana bali tunaongelea mambo yalivyo kwenye hili game, hakuna anaetetea m2 ku cheat but ukweli ni kwamba huwezi kumzuia m2 mwenye akili zake alieamua kufanya hivyo, karidhika na sababu zake za kufanya hivyo ndio mana anafanya.....
 
Aksante KipimaPembe kwa kunielewesha. Sasa nimekuelewa so kama kuna ugomvi ni vema kujua chanzo chake but kama hakuna ugomvi, na sababu ya mume kutomgusa mke au mke kutomgusa mume ni nyumba ndogo/kiserengeti n.k kuwa mtu ana'choshwa' na kanogewa kiasi kwamba chakula cha nyumbani anakiona makapi?? Au napo kutakuwa na sababu iliyopelekea kama baba kuwa na nyumba ndogo??

Mwe KipimaPembe aksante kwa kuendelea kuunoa huu ubongo ulokwisha lala

kwa frnds zangu wanaotoka nje, wote sababu ni waume zao.....achia mbali wanawake waotoka coz ya matatizo madogo madogo (maradhi, haicmami etc)
 
Kipima pembe ndugu yangu kipindi cha uchumba mtu alikuwa anakunywa sana pombe ila akija kwako atajitahidi ni msafi hata miharufu ya pombe huisikii kihivyo na mnaoingia kwny game unasuguliwa mpaka mwenyewe unaomba likizo ya muda , tatizo ni pale unapokubali vile viapo vyetu vya shida na raha, shida zinakuwa nyingi kuliko raha!

Swali la uzushi kipima pembe weye umeoa au umeolewa? ni swali tu bandugu nothing personal!
 
huyu frnd wangu mwenye hawara wa permanento walishakalishwa vikao vya kutosha na wazee wa pande zote mbili but wapiii ndio kwanza hawara huko nje ana mimba ya mtoto wa pili,..huku home wapo kwa ajili ya watoto... wa2 mpaka wamefikia hivyo ni kwamba wameshasuluhishwa kwa kila namna lakini hakieleweki, hakuna cha kudanganyana bali tunaongelea mambo yalivyo kwenye hili game, hakuna anaetetea m2 ku cheat but ukweli ni kwamba huwezi kumzuia m2 mwenye akili zake alieamua kufanya hivyo, karidhika na sababu zake za kufanya hivyo ndio mana anafanya.....

Hiyo ndo sababu tu, vingine vyote visingizio!! Asante kwa kuiona hiyo.
 
kwa frnds zangu wanaotoka nje, wote sababu ni waume zao.....achia mbali wanawake waotoka coz ya matatizo madogo madogo (maradhi, haicmami etc)

Kama umeshaongea na pande zote ukafikia conclusion OK. However, conclusion yangu ni kuwa wanafanya sababu wanapenda kufanya. Na I'm telling you, huyo akiachika hapo akaenda kuolewa na hao wanao-cheat nao sasa, they will find another excuse ya ku-cheat tena!!!
 
Kipima pembe ndugu yangu kipindi cha uchumba mtu alikuwa anakunywa sana pombe ila akija kwako atajitahidi ni msafi hata miharufu ya pombe huisikii kihivyo na mnaoingia kwny game unasuguliwa mpaka mwenyewe unaomba likizo ya muda , tatizo ni pale unapokubali vile viapo vyetu vya shida na raha, shida zinakuwa nyingi kuliko raha!

Swali la uzushi kipima pembe weye umeoa au umeolewa? ni swali tu bandugu nothing personal!

Mhhh, basi unaona eeee! Ulivumilia ulevi wakati wa uchumba, sasa unauona kero wakati wa ndoa!!!! Hapo ndo kuhamisha magoli.

Nimeoa for 13 years, if it matters!
 
Kama umeshaongea na pande zote ukafikia conclusion OK. However, conclusion yangu ni kuwa wanafanya sababu wanapenda kufanya. Na I'm telling you, huyo akiachika hapo akaenda kuelewa na hao wanao-cheat nao sasa, they will find another excuse ya ku-cheat tena!!!
a

hivi mume wa huyu frnd wangu yeye ni sawa alichofanya?.....kwamba ana hawara na wamezaa na ana mimba ya mtoto wa pili, huyu mume unamsemeaje kwa upande wako?
 
Back
Top Bottom