KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 696
ok DC kwa uelewa wangu mdogo nahisi wanawake wengi wanapushiwa na waume zao, ni ngumu sana mwanamke kuamua kuwa na mwanamme nje bila kuwa na sababu nzito sana,,, mwanaume inaweza kuwa tu tamaa na hiyo baioloji yao ila mwanamke aisee huwa ni ngumu sana ukiona ujue maji ya shingo na once mume akijirudi huwa hata hatamani hata kumwona huyo mtuwe na hukimbia bila kugeuka nyuma.......japo wapo wenye hiyo hulka lakini sio wengi
Hiyo ni excuse ya wanawake KARIBIA WOTE, ila ni uongo!