Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

walishatuzoea wanajua tu kuwa sisi wote ni vilaza na mavuvuzela..hawajui kuwa kuna watu walio smart sana ila hawana tu sehemu za kujionyesha kama wao
The problem for these criminals, they think Tanzanians are stupid like them.
 
Kuna circumstancial evidences kadha wa kadha zinazoweza kumtia hatiani huyu kijana, au kujenga hisia za dhana ya ufisadi juu yake, hasa kwa tuhuma hizi zinazoongelewa!
Kwa jinsi alivyobadili mfumo wa maisha abruptly in couple of days ago, inatisha sana...
Chalii amenunua ndege aina ya MT-7(MAULE), , NA KWA SASA anawachungulia wabaya wake kwa chini wakipita kama nyenyere!
BSOsph3ajyyJAAAAAElFTkSuQmCC
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

Mbona hujatabanaisha pia kuwa ni mzinzi wa kutupwa?
 
Brela nao wakanushe halafu mtoa mada amwage vithibitisho , nyaga anapenda kujitangaza siku hizi mpk ameamua kumuopoa mwandishi wa chanel ten jamila hata hapa alikuwa naye .
Kwani Nyaga keshaachana na Rehema Kitambi wa BRELA? Make jamaa huwa ni strategic sana. Alimchomeka Rehema BRELA ili issue zake zipete. Labda ndie pia alimuunganishia hiyo dili ya software. Yetu macho.
 
1 Bil for software sio nyingi kama baadhi ya watu wanavyofikiri, na nadhani kama 70% ya software project sinafeli duniani, so kutofanya kazi msikimbilie ufisadi haraka hivyo.
Anyway wameshasema kuwa hawajafanya biashara hiyo, kuna usahhidi kuwa walifanya?
 
This is incredible

Hivi ni kweli CEO wa BRELA hajui English au kasingiziwa?

I dont want to believe kuwa yeye ndio aliandika ile statement
 
Mkur%252520Nyaga%252520Mawalla%252520akiongea%252520na%252520wanahabari%2528kulia%2529%252520shoto%252520Bertholomeo%255B1%255D.JPG

Wakili kutoka Kampuni ya Mawalla Advocates kutoka Arusha Nyaga Mawalla (kulia) akionyesha kielelezo na kivuli cha gazeti moja kilichoandika habari kuhusu Kampuni ya Mawala kufanya biashara ya kununua software kwa thamani ya shlingi bilioni moja. Kampuni hiyo imekanusha mbele ya waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam kwamba haijawahi kufanya biashara hiyo. Pichani (shoto) ni wakili Lemmy Bartholomew wa Kampuni ya Mawalla Advocates. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Kama mnakumbuka yapata mwezi mmoja nilianzisha thread hapa kwenye Siasa lakini ilihamishiwa Business. Ila ilikuwa ni critical not only kwa BRELA kama institution na public body bali ili question not only utendaji wa mkuregenzi wa BRELA bwana MAHINGILA, ile thread ili question mpaka uwezo wa kishule na uwezo mdogo wa kujieleza aliouonyesha kwenye website ya BRELA.

thread yenyewe hii hapa:

https://www.jamiiforums.com/busines...597-mahingila-of-brela-another-dodgy-ceo.html

Apparently a local newspaper (sijui gazeti gani) bila ku-quote au kuipa JF credit kwa kugundua uozo ule wa BRELA na CEO wake kutumia 1 billion kuiuzia BRELA software ambayo haikufanya kazi.

Sasa kwa kuonyesha kuwa ile thread ilikuwa muhimu na imewagusa watu MAWALLA ADVOCATES wameitisha press conference na kukanusha kuwa hawaijauzia BRELA fake software.

Cha ajabu ni kuwa kule BRELA kwenyewe hawajataka kujibu hizi tuhuma za ubadhirifu wa pesa za umma infact wamekaa kimya as if hii issue sio muhimu kwao.

Sasa mnasema ngoma ilale au?

.. just wondering what I am supposed to be missing in here... is the firm an IT Company?
 
Mimi namjua Nyaga vizuri kutoka wakati wa Ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa Kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

Tunashukuru kwa kutujulisha....sasa vipi kuhusu firm yenyewe ya Mawalla & Co...je ni wasafi pia?
 
Kwa nini watu wanapenda kusema uongo? We Nyaga si uliasema haya?

Source the The East African:  - Business |You can now register your firm in 3 days

Mawalla Group chairman Nyanga Mawalla said the software is a product of seven years of painstaking experiments, hard work and considerable private funding.Having spent Tsh800 million ($543,850) on the CDP and PDP programmes, Mr Mawalla intends to enter into public private partnership with the Brela.The proposed PPP will provide business names registration, incorporate companies, statutory corporate management and governance facilities throughout Tanzania at no additional cost to the government.The PPP will also expedite the implementation of the Business Activities Registration Act No. 14 of 2007.

Mawalla Group proposes to establish countrywide business registration, corporate services and property legalisation.All business registration and management data posted on the systems from each centre will be immediately accessible to every other registration centre, so that business owners and entrepreneurs wanting to incorporate companies or register business names can be properly advised.This service will be available both in Kiswahili and English.Mawalla will charge standard fees that will be kept affordable for applicants from all walks of life.
A total of 80,066 companies have been registered in Tanzania since 1930s, but few pay taxes because there is no official record of their existence.

According to Brela chief executive Estariano Mahingila, the figure is not a guarantee that all registered firms are effectively performing.

Mr Mahingila said that with the CDP and PDP software, these businesses can effectively be brought into the tax net."The software can boost Tanzania's tax base and revenue significantly and additional funds will become available for building infrastructure and taking Tanzanians from a dire poverty to the promised land of prosperity," he said.

The software will also have an online search system, which is a simplified format to make it easier for people to carry out their enquiries.

The CDP and PDP will provide access for any company information searching, cross-referencing and updating records or information by authorized personnel.More significantly, the software can also be used by banks as credit reference bureau for accurate information on the financial ability of prospective borrowers and their credit history.
 
mimi namjua nyaga vizuri kutoka wakati wa ilboru na si fisadi. Ni kweli kwamba ni mtu ambaye si wa bei nafuu na kama akifanya kitu ata toa bill kubwa kwa kazi yake lakini kazi yake ni nzuri na haina usirisiri hata kidogo. Ni business lawyer mzuri na nilivyoongea na wafnaya biashara na mikataba ya biashara ni mtu wa uwazi. Nyaga ni mfano mzuri kwa vijana wa kitanzania ni jinsi gani unaweza kufanya kazi kwa maadili mema.

mkuu mbona unamtetea?huyu jamaa ni mjanja sana! Tena acha kabisa..wewe jiulize tangu lini mtu ni mwanasheria,anafanya biashara ya software?hapo huoni kuna kaufisadi? Huyu bwana huwa anafanya biashara kwa kushirikiana na watu wa nje ya nchi,hasa south,kwa hiyo ana upeo wa kuona mbali na anautumia kuwadanganya wabongo.

Just imagine,arusha amepima viwanja na akawauzia halmashauri.....ardhi ni ya serikali,bado anaiuza kwa srikari,na hapa alijiita land use and planning consultant!huu si wizi kweli....
 
Kwa wale tunaomjua Mawalla; subirini siku si nyingi mtakuwa shocked na ufisadi wake wa hali ya juu; by then nadhani atakuwa South Africa akwenye ofisi yake wakati sisi tukiwa Tahrir Square. Just wait and see. Mtu anaemtetea amuogope Mungu
 
Msando I can see you reading!!! hope you are going to comment.
 
Kwa nini watu wanapenda kusema uongo? We Nyaga si uliasema haya?

Source the The East African: *- Business*|You can now register your firm in 3 days

Mawalla Group chairman Nyanga Mawalla said the software is a product of seven years of painstaking experiments, hard work and considerable private funding.Having spent Tsh800 million ($543,850) on the CDP and PDP programmes, Mr Mawalla intends to enter into public private partnership with the Brela.The proposed PPP will provide business names registration, incorporate companies, statutory corporate management and governance facilities throughout Tanzania at no additional cost to the government.The PPP will also expedite the implementation of the Business Activities Registration Act No. 14 of 2007.

Mawalla Group proposes to establish countrywide business registration, corporate services and property legalisation.All business registration and management data posted on the systems from each centre will be immediately accessible to every other registration centre, so that business owners and entrepreneurs wanting to incorporate companies or register business names can be properly advised.This service will be available both in Kiswahili and English.Mawalla will charge standard fees that will be kept affordable for applicants from all walks of life.
A total of 80,066 companies have been registered in Tanzania since 1930s, but few pay taxes because there is no official record of their existence.

According to Brela chief executive Estariano Mahingila, the figure is not a guarantee that all registered firms are effectively performing.

Mr Mahingila said that with the CDP and PDP software, these businesses can effectively be brought into the tax net.“The software can boost Tanzania’s tax base and revenue significantly and additional funds will become available for building infrastructure and taking Tanzanians from a dire poverty to the promised land of prosperity,” he said.

The software will also have an online search system, which is a simplified format to make it easier for people to carry out their enquiries.

The CDP and PDP will provide access for any company information searching, cross-referencing and updating records or information by authorized personnel.More significantly, the software can also be used by banks as credit reference bureau for accurate information on the financial ability of prospective borrowers and their credit history.

.... gotcha! Thanx. Wondering still - suppose I have a Traffic Management Solution which could be deployed in Dar es Salaam to tackle the chronic traffic jams in Dar. All I neeed is to seek a joint venture with the relevant organs, sell my idea, demonstrate how it fits in and actually solves the problems. Right? PPRA? Would anyone come up and ask, who the hell asked you that we need such a solution in the first place? I am still missing the link.
 
Back
Top Bottom