Mawalla Advocates yaijibu Jamii Forums

Nimesoma na Nyaga pale Ilboru na nilikaa nae Dom moja kwa zaidi ya mwaka mmoja, ni mchapakazi sana, mwaminifu na smart asiyependa majungu. Kuhusu software ya 1 billion, serikali ndio ya kuulizwa. Tuliambiwa Rada imenunuliwa kwa Billions ngapi? Ndege ya Rais ilinunuliwa kwa kiasi gani? Safari za JK nje zinagharimu mabillion mangapi? Do you trust CCM government?

Katika kila dili chafu ya serikali kuna the other parties, hivyo kama rada ilivyohusisha muhindi aliyetoroka, na bilioni ya brela inaweza kuwa imemuhusisha nyaga katika mchezo mchafu, hapa si mahala pa unazi
 
Unajua TIMING wewe ni kichekesho sana. Unaniita dogo, halafu unasema kuna siku nitakuamkia. Sasa kama mimi ni dogo kwako kukuamkia kunakuwa na tatizo gani?

Kama kukuamkia ndio adhabu unayotaka kunipa wala usipate shida kaka yangu nakuamkia sasa hivi SHIKAMOO kaka ili ugomvi uishe kama alivyosema Amoeba tuko msibani, si busara kuleta malumbano yasiyo na msingi. Kama nilivyosema awali, kama una private problem na mimi unaweza kuja PM kujitambulisha na tukaendelea na mjadala mwingine nje ya page hii ya msiba.
mh..........
 
TZ hoi kwa mambo mengi. Kagoda, richmond, Mawala, JK, Ridhiwani, Membe, Magufuri, Membe, Mwakyembe, Lowasa, che Nkapa, Meremeta, Barrick gold, TISS, Ighondu, michuzi, Chenge, Rostam, Mutembei wa Saint Methew Sec ya kongowe (polisi wa zamani), wabunge wanafiki, Pinda na wengine, nyie ndo mnatuharibia TZ yetu. Msekwa na vitalu vyetu why? makinda unatumika waziwazi. Hufanyi kiti kinavyokutaka ufanya.

Mwema kamanda nilikuwa nakuamini lakini kwa sasa huaminiki na hustahili kuaminika na yeyote. Mwema tuna mambo mengi sana yashikia breki kwako, mfano Ighondu wa Ulimboka kimyaaaaa, Yule mkenya naye kimyaaaa kama vile ulimboka hakuteswa, Kombe Imrani eti mlimfananisha na jambazi. Wa Kubenea hamjawakamata, wa Kibanda ndo mnahangaikaika lakini nasfini kwako unajuwa kila kitu.

KUNA SIKU ATACHUKUWA NCHI MTU WA KULIPIZA WEWE NA WENINE MTAJUTIA KUWAHI KUWA KWENYE NAFASI HIZO...
 
Mawala Nyaga ni mtu wa kupenda kujitanua na kujitunisha saaana, namfahamu nilikuwa naye wakat i tuf=kifanye LLB pale UDSM (1995-1998) ana akili lakini pia ni lobist mbaya mno, mwenye kupenda totoes saana, ni mwizi -usishangae -nalazimika kukubali kuwa anaweza kutenda lolote kwa maslahi yake dhidi ya umma pale anapopata mwanya kupitia maofisa wa serikali wenye maslahi binafsi.

hii kampuni kwa totoz ni kiboko! LEMMY mbona ukamtosa Aquilina Mwaria?
 
hii kampuni kwa totoz ni kiboko! LEMMY mbona ukamtosa Aquilina Mwaria?

MMMh Lemmy tena kaacha demu mwingine??maana Judith misokia wa tume ya vyuo vikuu kamzalisha baby boy..tatzo pesa inawapa viburi mwishowe unakufa hata familia huachi ambayo ni official!!sasa hapa kwa mawala wadada wa mujini waliozalishwa watajipanga folen kudai mirathi
 
Jb alijadiliwa humu, akavuta,huyu nae kajadiliwa, kavuta,tycoon gani mwingine mnataka kumjadili humu nikamwambie ajiandae kiroho?naanza kuiogopa Jf!
 
Katika kila dili chafu ya serikali kuna the other parties, hivyo kama rada ilivyohusisha muhindi aliyetoroka, na bilioni ya brela inaweza kuwa imemuhusisha nyaga katika mchezo mchafu, hapa si mahala pa unazi[/QU
Najua second part, Lakini ndani ya serikali kuna editing errors per JK, hizo ndizo zinatuumiza wabongo. hakuna unazi wala UCCM
 
Aisee huyu jamaa sitaki kumsikia, mara ya mwisho nimeonana naye mwaka jana alikuja pale Natta kusaini mkataba wa kuuziwa plot maeneo ya MOTUKERI. Pia aliwatapeli WMA chini wa mwenyekiti wake wakapata ufadhidili wa mabilioni ya pesa kutoka nje. Zilivyowekwa kwenye a/c yake hakuonekana.

ishu ya WMA inawezekana ina ukweli,,, ila ninasikia kuna maeneo fulani ya vijiji vya NATTA na MOTUKERI watu wengine wamelia mpaka kuzimia kwa ajili ya jamaa.. wanadai amewasaidia sana na walikuwa wakipata misaada mingi hadi kusomeshewa watoto wao na Mawalla
 
Ukisoma comments hizi hapa juu utaona kuwa ujamaa umetuathiri watanzania na mtu akiendelea kiuchumi tunakuwa TOO suspicious na maendeleo yake kwa sababu fundamentally hatuamini kuwa inawezekana kuendelea kihalali.
Hii hali inafanya watu badala ya kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa, wanajiweka mbali na kuogopa maendeleo...

R.I.P Advocate Mawalla...

Bila shaka na wewe ni mmoja wao!

Ni mjinga sana
 
Back
Top Bottom