Mawakili Mwanza njaa kali

Mawakili Mwanza njaa kali

sio LINCHI, it is a common law practice, Matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....

Common practice wapi? Toka lini matangazo yakawa na madhara kama yanafuata taratibu? Mbona huko kwenye nchi zilizoendelea na tuliko iga wanaruhusu kutangaza huduma? Wao ni wajinga?

Nijibu hili swali; bila kuwa na uhuru wa kutangaza huduma zao, watu watajuaje kama huduma wanazozitaka zinatolewa na mtu fulani?

Halafu, baada ya kunijibu hilo swali, naomba unipe maoni yako kuhusu hii about-turn kwenye hii habari iliyochapishwa tarehe 28 June, 2014 ambayo inasema kwamba mawakili sasa ni rukhsa kutangaza huduma wanazozitoa.

Tanzanian lawyers can now advertise their services, after a review of their rules - a move likely to increase competition in the country's legal sector.

Tanzanian lawyers can now advertise their services, after a review of their rules - a move likely to increase competition in the country's legal sector.

"An advocate may advertise legal services to the general public, subject to the regulations and rules of the Society on such matters," says rule 128.

Source
 
acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care

Ulienda unapita kila ofisi unaulizia wamepata kazi ngapi kwa mwezi huu? Kama sikosei wewe utakuwa Mjita! Mmekalia umbea tu kukaa mnachunguza maisha ya wenzenu! Acha hizo kenge wewe! Ulishawasikia wanapita barabarani wanalia njaa?
 
sasa kama hawatafuti wateja wao wanangoja kufuatwa maofisini watapata wapi hela,wakati mwananchi wa kawaida hata hajuh kama huwa kuna huduma za kisheria?

unashauri wafanyeje? wawashe loudspeaker wapite mitaani wakijitangaza?
 
dahhh bora umekuja kuniokoa manake hawa jamaa walikuja kwa jazba kunishambulia wakati mimi nimetoa angalizo kwa kitu nilichokiona baada ya kuwa na ishu zangu hapo mwanza most of the offices ni one man show i mean just an advocate one room one secretary

huyo niliyemtaja ofisi yake ni kiuchochoro tu yaani ni ofisi ya chama cha wazoa taka sijui pale karibu na fire ..kaweka meza na viti viwili yaani humo ndani ni giza kama uko kwenye shimo ....
 
sio linchi, it is a common law practice, matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....

njaa ni njaa tu haina cha sheria wala jinai bora nifungwe kwa kusema kitu sahihi sasa mbona mmejaa business card tele na mlinipa ninazo mkikomaa sana nazipiga picha naziweka hapa kwa hiyo sheria imekuwa biashara kama ya uchawi ifanywe sirini mtu akifanya vizuri inampa big up
 
huyo niliyemtaja ofisi yake ni kiuchochoro tu yaani ni ofisi ya chama cha wazoa taka sijui pale karibu na fire ..kaweka meza na viti viwili yaani humo ndani ni giza kama uko kwenye shimo ....

kuna siku ataondoka na nge ofisini na akiwa anatoa hoja kwa jaji mdudu anamgoga kwenye paipu hapo sijui atalia kwamba kapata taarifa ya msiba au vp
 
Hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.

mtoa mada anadai mawakil wana njaa lakini wakitoza kubwa (kwa tasfri yake) ili kupunguza hiyo NJAA anaanza kulialia,yeye alitaka wafanyaje? hebu arudi a-edit mada yake ili tumuelewe-inawezekana ana hoja ila hajaifafanua!
 
taarifa mh spika au ulitaka nikae kimya wakati noble proffession wanashindwa kununua hata samani nzuri za ofisi achilia mbali vitendea kazi na suti

watanunuaje wakati ukidaiwa 1k unakuja kulialia hapa? acha kujitoa akili wewe kijana.
 
watanunuaje wakati ukidaiwa 1k unakuja kulialia hapa? Acha kujitoa akili wewe kijana.

huwezi kuwa na confidence ya kuomba fee ya mamilioni wakati kiatu kina vumbi na unapanda pikipiki au daladala na ofisi iko full vumbi kiyoyozi hakuna ni kujipepea magazeti huna sehemu ya wateja kukaa kabla ya kukuona huku anasoma magazine sio gazeti la kiu
 
hakuna mtu anayejali tena inapokuja swala la mkosa heshima kama wewe, taaluma za wenzio ziheshimu, naanza kupata wasiwasi na hali yako ya afya ya akili kwa ujumla, kuja humu kutuambia mambo ambayo hayana nafasi katika kuongeza exposures zetu za mambo mbalimbali katika jamii, post yako ni mojawapo ya zile zinazofaa kuwa trashed au mods wakikupendelea sana ikapelekwa jukwaa la kustorisha ama chit chat maana hakuna jukwaa linalokufaa wewe lile la umbea au jukwaa la watoto

hii ipelekwe jukwaa la JOKES au CHIT CHAT.
 
huwezi kuwa na confidence ya kuomba fee ya mamilioni wakati kiatu kina vumbi na unapanda pikipiki au daladala na ofisi iko full vumbi kiyoyozi hakuna ni kujipepea magazeti huna sehemu ya wateja kukaa kabla ya kukuona huku anasoma magazine sio gazeti la kiu

wewe una matatizo. kwani kinachomwaga issues mahakamani ni kichwa (mtu) au ofisi? mbona walimu wa tuition husomeshea chini ya miembe lakini wanafunzi wao hugonga divisheni wani za kumwaga? kinacho matter ni material anayomwaga mahakamani, sio office. halafu hii post yako iko too general--umejumlisha na kuwatukana mawakili wote jijini Mwanza badala ya kuwalenga tu hao wabaya wako. Afu kwa jinsi usivyojua kujenga hoja umewa-exclude akina Mutalemwa wakati na wao wako huko huko Mwanza. Umebugi meeeeeeeen!!
 
Naomba uniwekee hapa hiyo sheria inayojinaisha wakili kutangaza huduma zake, tafadhali.

Ulielewa nilichomaanisha kwa huyu bwana??? unafahamu nini maana ya Touting????? ukijua hiyo maana hata kwa kugoogle na nikusaidie, nenda kagoogle the Advocates Act, utajua nilimaanisha nini kwa huyu bwana kuwaita mawakili wengine njaa na kuwapa wengine sifa alikuwa anafanya kitendo gani,

soma section 47 na 48 of the Advocates Act,CAP 341,

47. Acting as tout prohibited

Any person who, on behalf of any advocate, or for his own account, acts as a tout shall be liable to a fine not exceeding one thousand shillings and to imprisonment for a term not exceeding six months.

48. Offence of, and penalty for, inducing clients to abandon their advocates

Any person who induces or attempts to induce any client or prospective client of any advocate to cease to be the client of such advocate in order to become the client of the advocate whom such person serves as secretary, clerk or messenger or in any other capacity, shall be liable to a fine not exceeding one thousand shillings and to imprisonment for a term not exceeding six months.

Uliyoquote wewe ni ammendment ya The Tanganyika Law Society Advocates ( Proffessional conduct and Etiquette) rules zilizokua zina strict rules kwenye Advertisements, lakini hata hiyo amendment bado haijawa more relaxed to the extent ya kuj akupost utumbo humu kuwakashifu mawakili wengine kwa kutangaza wengine...kama alikosa fees that is another issue ambayo swala la fees ni baina ya mteja na mtoa huduma ingawa kuna some guidelines on the advocates remunerations and fees.
 
hakuna mtu anayejali tena inapokuja swala la mkosa heshima kama wewe, taaluma za wenzio ziheshimu, naanza kupata wasiwasi na hali yako ya afya ya akili kwa ujumla, kuja humu kutuambia mambo ambayo hayana nafasi katika kuongeza exposures zetu za mambo mbalimbali katika jamii, post yako ni mojawapo ya zile zinazofaa kuwa trashed au mods wakikupendelea sana ikapelekwa jukwaa la kustorisha ama chit chat maana hakuna jukwaa linalokufaa wewe lile la umbea au jukwaa la watoto

mkuu stroke nahisi utakuwa ni wewe naona una hasira na bado ngoja niwatafute watu wanaowajua vizuri mawakili wa mwanza kiundani you must change mnafanya kazi kienyeji ki mami mami ntawapa connection na watu wanaouza office technology
 
mkuu stroke nahisi utakuwa ni wewe naona una hasira na bado ngoja niwatafute watu wanaowajua vizuri mawakili wa mwanza kiundani you must change mnafanya kazi kienyeji ki mami mami ntawapa connection na watu wanaouza office technology

I regret having contributing to your thread......empty head!!!
 
Ulielewa nilichomaanisha kwa huyu bwana??? unafahamu nini maana ya Touting????? ukijua hiyo maana hata kwa kugoogle na nikusaidie, nenda kagoogle the Advocates Act, utajua nilimaanisha nini kwa huyu bwana kuwaita mawakili wengine njaa na kuwapa wengine sifa alikuwa anafanya kitendo gani,

Mwanzisha mada hajatenda kosa lolote. Katoa maoni yake. Kosa liko wapi hapo? Na hiyo sheria ya touting haiwezi kuwa applicable kwenye madudu yanayowekwa kwenye hizi message boards na watu watumiao noms de plume.

Uliyoquote wewe ni ammendment ya The Tanganyika Law Society Advocates ( Proffessional conduct and Etiquette) rules zilizokua zina strict rules kwenye Advertisements,

Vyovyote vile, sasa hivi wanaruhusiwa kutangaza huduma wanazotoa, kinyume na ilivyokuwa awali. Kwa nini wameanza kuruhusu kama si kuona ilikuwa ni ujinga?

Kwa nini wameruhusiwa kutangaza huduma zao sasa?

lakini hata hiyo amendment bado haijawa more relaxed to the extent ya kuj akupost utumbo humu kuwakashifu mawakili wengine kwa kutangaza wengine...

Humu anything goes. Hata mimi naweza kutoa maoni ambayo mawakili wanaweza wasiyapende na hawawezi kunifanya chochote. Huwezi ukadhibiti maoni ya watu.

Ni wapi imeandikwa kwamba ni marufuku kwa watu kutoa maoni hasi dhidi ya mawakili? Wao ni kina nani hadi watu wasiweze kuwa na maoni hasi dhidi yao?

kama alikosa fees that is another issue ambayo swala la fees ni baina ya mteja na mtoa huduma ingawa kuna some guidelines on the advocates remunerations and fees.

Hata mimi nakubaliana naye kuwa wapo mawakili njaa wala vumbi bongo. Na hilo jambo la kweli kabisa na si njozi.
 
Sasa mkuu stroke nani atashindwa kulipa faini ya buku nishakwambia wewe na wenzako mmekariri isipokuwa hao watatu galati mutalemwa na imma hebu niambie kwa nini law firm zinafungua website na mnagawa business card
 
ulienda unapita kila ofisi unaulizia wamepata kazi ngapi kwa mwezi huu? Kama sikosei wewe utakuwa mjita! Mmekalia umbea tu kukaa mnachunguza maisha ya wenzenu! Acha hizo kenge wewe! Ulishawasikia wanapita barabarani wanalia njaa?

wewe utakuwa mkara ukweli unasemwa tu kama ulivyo ni dawa japo chungu
 
wewe una matatizo. Kwani kinachomwaga issues mahakamani ni kichwa (mtu) au ofisi? Mbona walimu wa tuition husomeshea chini ya miembe lakini wanafunzi wao hugonga divisheni wani za kumwaga? Kinacho matter ni material anayomwaga mahakamani, sio office. Halafu hii post yako iko too general--umejumlisha na kuwatukana mawakili wote jijini mwanza badala ya kuwalenga tu hao wabaya wako. Afu kwa jinsi usivyojua kujenga hoja umewa-exclude akina mutalemwa wakati na wao wako huko huko mwanza. Umebugi meeeeeeeen!!

naona na wewe muda si mrefu utaenda kwenye ofisi za mashimoni kama sasa umeanza kuwaza ofisi za chini ya miti dahhh nakumbuka hata vinyozi hawatumii miembe kama ofisi
 
Back
Top Bottom