mtafitimakini
Senior Member
- Apr 9, 2014
- 160
- 28
Kweli ni njaa sana hao tena wana tabia ya kupokea hata rushwa
Dah! Huu uzi umenichekesha na kunisikitisha! Mbona ana fani nzuri si angetulia,hayo mapipa ya komoni hayaendani na hadhi yake
Kweli ni njaa sana hao tena wana tabia ya kupokea hata rushwa
Hujajenga hoja,hujaeleweka unachotaka kusema,umekurupuka kupost,take your time to edit son,labda utaeleweka. We ukisoma unajielewa kweli..?
Ulitaka kumaanisha hiyo laki moja ni kubwa ama? Get exposure dude, njoo hata hapa mjini ukaulize wanaocharge interms of dollars af useme wana njaa kama hata mwehu atakuelewa.
Na wana njaa kivip..? Soko gani...wanauza nini..?
Lawyers do provide service my friend which is the spirit of the profession kama ulikuwa hujui. Ulichokiandika hakieleweki,labda umejielewa mwenyewe tu, ujumbe wako haubebi content ya kusapoti tittle yako. Uandishi mbovu, hata majina ya watu na mahali pia yanakushinda kuandika..?
jitahidi kuimprove.
Also remember,before u bring allegations,especially against lawyers make sure u can prove them.