Dingi mchafu
Member
- Oct 17, 2012
- 85
- 13
Utter nonsense
watu hawa helewi na wabishi sana. kwenye the east african la juni 28 wanaonyesha karibu nchi zote wamelegeza na sio kufuta sheria hiyo mwaka huu. ni mambo ya kiimaadili haya ili kuepuka kubrand huduma, kizuri kijiuze.duniani kote kama unabiashara ya pharmacy au hospitali hutakiwi kutangaza.
...nafikiri huu ujasiri kaupata kwa sababu haujulikani, ila naamini bado unahitaji msaada sana kwa hao unowadhalilisha humu leo, ila ipo siku utawaheshimu.
mwanzo mgumu.....lazima wanaoanza wengi wao ofisi zisiwe kubwa hiyo ni kwa fani zote ....lazima watengeneze majina kwanza .....kwa hiyo hata ada zao lazima ziwe ndogo ili wazoeleke na watu na huku wakiboresha huduma zao....mawakili wengi waliaanza hivyohivyo....
Halafu wote hawawezi kutoa huduma sawa lazima watofautiane hii ni kwa huduma zote .....mteja utaenda kwa mtoa huduma kulingana na mfuko wako unavyoruhusu.....huko ulikoenda ilikuwa ndo saizi yako....ndo maana hata wagojwa kuna wanaotibiwa aga khan,muhimbili, india n.k.....kuna wanaosafiri kwa boda boda, taksi, n.k ....kuna wanaomiliki vitz, rav 4, benz, range, ndege n.k kulingana na vipato vyao.....
marekani, nchi iliyopevuka sana kisheria mawakili hutangaza huduma zao kupitia matangazo kama haya.
hata hospitali nazo hutangaza huduma zao kwenye matangazo ya biashara....
sasa inakuwaje kwenye nchi kubwa, yenye uchumi mkubwa zaidi duniani, yenye kuongozwa na sheria, ikaruhusu mawakili na mahospitali kutangaza huduma zao kwenye matangazo ya biashara?
Halafu ku-brand huduma ndo nini? Na kuna ubaya, hususan kama watu wanalipia hiyo huduma kwa pesa zao?
Na unasema kizuri kijiuze...well, kitajiuzaje kama hakitangazwi?
kwenye huo mji kuna mawakili wana more than five or ten years lakini still ni one man show yaani one advocate one room na mimi ofisi ya hivyo siwezi kuiamini what if nampa aniandikie mkataba ukaleta tatizo na huyo lawyer my potential witness akahama wakiwa wawili trust ipo
to wash away your worries,ni kuwa law is a profession,being it a profession it have the regulating body(tls).
Also advocates names are enrolled,every advocate u know is in that roll.
Their conducts are regulated and they can not just disappear as u simply think,bz that will means the end of their carrier.
So ukiwa kwa wakili feel free,secured,ni kama una deal na government.
Ondoa mashaka kuwa atapotea,sijui atahama ofisi,hiyo haipo kwa mawakili.
Au kama ipo tupatie mfano hai.
Pia ufahamu kuwa wakili sio witness ni notary public/commissioner for oaths(mshuhudiaji)
kiongozi hebu yape shule yamekaa kienyeji sana hayataki kujifunza yanafikiri sheria is equal to ubishi
atoe shule gani hapo...?
Can a lay person teach a lawyer laws..?
We have been there for years,then unadhani mtu aliyesoma magazeti na kupitia wavuti anaweza kuwa yupo sahihi zaid ya lawyer..?
Ngoja nijaribu na hii pia,usipoelewa basi una matatizo. Ni kwamba different countries have different legal system, sisi ya kwetu ni common law system.
Ni kweli kuwa tuliichukua system hii toka kwa waingereza lakin mpaka sasa si kila feature iluyopo kwenye system ya uingereza ipo sawa na iliyopo hapa.
Huwezi komalia feature iliyopo uingereza iwe applicable hapa kwetu in the same way,kumbuka kuwa wao ndio chimbuko la system yetu.
Position yao inakuwa merely persuasive.
Kama uingereza ambao ndio chimbuko la mfumo wetu wa sheria ni persuasive unaweza ona kwa kiasi gan hao wengine(kama u.s unayoisema) hawawezi kuwa authority kwetu wala sahihi kuliko sisi.
Kuna rafiki yangu kanitumia sms kwamba baadhi yenu hamna kompyuta printer wala photocopy machine mnatembea na makaratasi kila stationery sasa usiri wa kazi uko wapi mtafanya majambazi watuvamie kama tunataka kununua vitu vya thamani na tuna cash coz the contract will be seen out there
ndugu yangu mambo ya muhimu yote nimeshakuambia.
Kama unataka uendelee kujaza uzi wako its well and fine.
It seems like you are busy body. Kufatilia na kuuliza uliza wanafanya nini, wanakula nini. Ngoja nikuongezee ili usiendelee kupata tabu ya kukusanya habari, ni kuwa wengine wanakaa nyumba za kupanga,wanakula kwa mama ntilie,wanaenda mahakaman kwa lifti,na walisoma kwa mkopo.
Haya endelea kusherehekea kuwa wana njaa maana naona ndio lengo lako.
Wanasheria wameenda shule kwa miaka mitatu,minne,mitano na kuendelea wakijifunza vitu mbalimbali,na vya muhimu zaidi ni maadili,ni profession chache sana zenye hizi features,wanaongozwa na vitu vinaitwa code of conduct na kuna chombo kinachosimamia.
Moja ya maadili muhimu kabisa anayofundishwa mwanasheria ni duty of confidentiality.
Na siamini na najua hata wewe pia huamini ila umeandika kwa ushabiki kuwa akienda kutoa copy stationery anakuwa anavujisha mkataba wako.
Labda amsomee huyo mtoa copy ama kumwachia akausome.
prof majimarefu ni darasa la saba bungeni hajasoma lakini ndiye anakutungia sheria anyway thats history bt we can have our system
nimekuelewa
Mkuu Bwanchu2, umeuliza swali la msingi sana, na sio Lawyers tuu wasioruhusiwa kujitangaza, bali hata madaktari, wahadhiri, maprofesa, hospitali, huduma za tiba, "madawa ya moto", mfano matangazo yote ya madawa utakayoyaona ni matangazo ya madawa baridi ambayo yanaweza kuuzwa duko lolote hata kwa Mangi au dukawala na sio medicine!.Hivi kwa nini watu hawaruhusiwi kutangaza huduma wanazotoa?
Rationale ni nini hasa?
Yaani hili linchi linaendesheshwa kijinga sana. Mtu kama unatoa huduma fulani watu watajuaje sasa kama huruhusiwi kuzitangaza?
Ila kwa bahati nzuri hilo katazo litaondolewa kama bado halijaondolewa tayari.