Mawakili Mwanza njaa kali

Mawakili Mwanza njaa kali

sio LINCHI, it is a common law practice, Matangazo kwa mawakili hayaruhusiwi, nadhani umeona madhara ya matangazo kama hili la huyu aliyekosa busara, kwamba kuna mawakili afadhali na wenye njaa, na kawataja wenye afadhali...ni kosa kisheria kupigia chapuo wakili ili upate chochote, tena nila kijinai....

sheria imepitishwa sasa hivi ruksa kutangaza
 
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

hivi yule muhaya mwenye dharau kabisa wakati mwingine ni mc vp yy hali yake
 
mkuu mwanza nilipita tu nikahitaji huduma ya kisheria tumezoea ofisi za mawakili zenye kiwango na good brains ambazo zinatatua issues kwa uhakika
mbona hukwenda ulizozitaja ni za wenye kujiweza mkuu (Galati, Imma), kwanini uwafate hao mawakili "njaa"??

#NaulizaTu #
 
mbona hukwenda ulizozitaja ni za wenye kujiweza mkuu (galati, imma), kwanini uwafate hao mawakili "njaa"??

#naulizatu #

kuku mgeni hakosi kamba mwenyeji wangu alinipeleka ofisi mbalimbali lakini kwa transaction niliyokuwa naifanya i needed a serious office ambayo i will be sure to find it existing nikihitaji huduma yao in case mkataba ungeleta tatizo sio ofisi inafanana kama mtu anajiandaa kuhama
 
Na kwa hali hiyo bila shaka wanakwenda against na Ethical principles of lawyers:
Rule agaist undercating!
Rule agaist advertisement!
 
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

mkuu ni kweli kabisa mawakili wa mwanza wana njaa sana hili nalishuhudia kwani kesi yetu iliyokuwa inasimamiwa na

advocate bantulaki wa kule mwanza baada ya kuhongwa akapindisha utetezi ikaonekana hatuna haki

na hakimu aliyekuwa anaendesha mashtaka hakimu restuta wa mahakama ya mwanzo naye akafukuzwa kazi baada ya takukuru kujiridhisha kuwepo rushwa katika kesi hiyo
 
Maisha ya shida umeyapimaje? Kuwa na ofisi ndogo au kucharge instruction fee laki moja? Sasa uliwezaje kwenda kwenye ofisi hizo wakati kuna kubwa ulizifahamu.
 
acha jazba ni ukweli mtupu na nimeuona kwa macho yangu ulie ucheke i dont care

Nyie watoto mliosoma Lake na kukaa Isamilo na Capripoint mna dharau sana, kisa bado mnakula kwa mama zenu na baba zenu na wajomba zenu, acheni kuponda fani za watu.
 
ungeenda za wenye uwezo hakuna vitu vya bure shoga ww

unahamu ya kuchora saba utubinulie mas bur i yako kenge wewe kum kum kum kum mam mam mam mak dah nina kigugumizi
 
mbona unaandika kama umebanwa mkojo na mlango umegoma kufunguka wote mmejazana hapo ccm mkoa hakuna wakili mwenye good service na marafiki zangu wote walinishauri niende kwa galati mutalemwa au imma maana vimeo kila muda sim

kumbe ulishauriwa halafu nawe ndio unakuja kutoa povu hapa?
 
I regret having contributing to your thread......empty head!!!
watu hawa helewi na wabishi sana. kwenye the east african la juni 28 wanaonyesha karibu nchi zote wamelegeza na sio kufuta sheria hiyo mwaka huu. ni mambo ya kiimaadili haya ili kuepuka kubrand huduma, kizuri kijiuze.duniani kote kama unabiashara ya pharmacy au hospitali hutakiwi kutangaza.
 
...nafikiri huu ujasiri kaupata kwa sababu haujulikani, ila naamini bado unahitaji msaada Sana kwa hao unowadhalilisha humu Leo, ila IPO siku utawaheshimu.
 
Hawa wataalamu wa sheria mwanza wana njaa kali ya kupitiliza kutokana na soko kuwa gumu na hii inafanya mawakili hawa kuwa na maisha ya shida na anaweza kupokea instruction fee ya laki moja hapa ondoa wachache kama galati imma na mutalemwa na hali inakuwa mbaya kwa young advocates lastly ni vigumu kukuta wana ofisi za ukubwa wa kutosha its very sad indeed

mwanzo mgumu.....lazima wanaoanza wengi wao ofisi zisiwe kubwa hiyo ni kwa fani zote ....lazima watengeneze majina kwanza .....kwa hiyo hata ada zao lazima ziwe ndogo ili wazoeleke na watu na huku wakiboresha huduma zao....mawakili wengi waliaanza hivyohivyo....
halafu wote hawawezi kutoa huduma sawa lazima watofautiane hii ni kwa huduma zote .....mteja utaenda kwa mtoa huduma kulingana na mfuko wako unavyoruhusu.....huko ulikoenda ilikuwa ndo saizi yako....ndo maana hata wagojwa kuna wanaotibiwa aga khan,muhimbili, india n.k.....kuna wanaosafiri kwa boda boda, taksi, n.k ....kuna wanaomiliki vitz, rav 4, benz, range, ndege n.k kulingana na vipato vyao.....
 
Back
Top Bottom