DEVINE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 536
- 87
- Thread starter
- #21
ok, mambo iko ivii.Hii imeshatokea huku kisarawe ,ilimtokea jirani yangu Tom.Alichofanya ni kutoka nduki na kuja kutushtua sisi jirani zake,ile tunakwenda kumchek huyo mwanamke tulikuta kanga tu,mwanamke hatukujua amekimbilia wapi.Sisi pia hatukuamini,ila jamaa alisisitiza sana.Mchana tulivyokutana na yule mwanamke tulimbana ila alikataa kata kata kulala kwa mshkaji.Mimi na dhani jamaa alilala na jini,ila iweje jini huyu aache kanga? mnh huku pwani kunamamboKweli tunahitaji Mod afanye kazi yake!
Hizi story za kina Shigongo zina bore sana!
Is this even close to reality? What were you thinking to put such a **** here?