Mauzauza chumbani...!

.... unagundua umevaa kufuli tu na si kawaida na jana yake unakumbuka ulilala pekee yako,....Kwa haraka unageuka na unakumbana na mtu kumchunguza vizuri ni mwanamke/mwanaume .....naye pia anakufuli tu

aah, kumbe wote mmevaa makufuli yenu, sasa shida iko wapi hapa? ingekuwa kizungumkuti kama mngejikuta mko uchi halafu mambo yako mwake...
 
aah, kumbe wote mmevaa makufuli yenu, sasa shida iko wapi hapa? ingekuwa kizungumkuti kama mngejikuta mko uchi halafu mambo yako mwake...
kwa hyo mkuu unatamaan mauzauza hayo yakutokee enhe?
 
Back
Top Bottom