Mauno ya ROSE MUHANDO Jamani!!

Mauno ya ROSE MUHANDO Jamani!!

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,817
Reaction score
5,403
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
 
Hata mimi nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu huo wimbo wa UTAMU WA YESU, hakika sihukumu lkn nahisi huo wimbo hauna UTUKUFU WA MUNGU, kwani ujumbe haufiki na badala yake mauno na style mbalimbali za kucheza. Sioni ajabu, kwani JINA LA YESU KRISTO hutumiwa na yeyote tu ili mradi aweze kuhalalisha shughuli yake japo yanayofanyika nyuma ya pazia MUNGU MUUMBAJI NDIYE AJUAYE.
 
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani

hata akivua nguo anaruhusiwa ila cha management awe anamchezea Mungu.
 
hata akivua nguo anaruhusiwa ila cha
management awe anamchezea Mungu.
 
Mungu hajawahi wala hana mpango kuomba msaada kwa binadamu kulinda imani duniani. Kila mtu ana uhuru kumwabudu au kutomwabudu, cha moto tu baadae kitafuata!

Yaani namaanisha, hakuna ''tetea dini ya Mungu kwa ncha ya upanga'' katika ukiristo. Mungu anatupigania sio wenzetu wanaompigania Mungu wao.

Rose ana uhuru wa kucheza awezavyo, kuimba atakavyo. Kuangalia ni uamuzi wako.
 
au sio!
 
Hii kali hapa unataka kumaanisha kama unaenda kanisani kumuomba mungu hata ukiwa uchi hamna shida sasa hii ni akili matope

hahahaha hayo ni matope kabisa.Labda huu ni UPEPO tu,utapita
 
Juma pili ijayo atakuwa KKKT Kimara, nitakujibu
 
Muziki wa Injili bongo umeingiwa na chachu! Watu wamegeuza kumsifu Mungu kwa mtindo wa muziki wa dansi. Napenda muziki wa Injili wa makanisa ya AIC, Roman Catholic na Sabato. Haya makanisa mengine yaliyochomoza kama kama maua Rose lakini miiba ni mingi kuliko maua yenyewe. Rose Muhando amelewa sifa anaanza kujisahau.
 
Nakubaliana na wewe na huo ndiyo ukweli wenyewe.

Hata Pinda kagoma kuachia ngazi, yeye na Mawaziri wenzake ni FREEMASONS.

Ile Gari ya Kikwete iliyowekewa mafuta yaliyochakachuliwa na ikagoma kutembea ilikuwa FREEMASONS.

Ndege ya ATCL ilikuwa ni FREEMASONS...... Freemasons RULE.

Huyu mama anadanganya sana. Huo utamu anaouimba ni kama ule utamu wa Adam na Eva....

Sijui haka ka mama ni kafundi kiasi gani kwenye Mauno ya kikwelikweli. Ila hawa Muhando, watu wa Tanga, mhhh!!!!!

freemason
 
Last edited by a moderator:
Muziki wa Injili bongo umeingiwa na chachu! Watu wamegeuza kumsifu Mungu kwa mtindo wa muziki wa dansi. Napenda muziki wa Injili wa makanisa ya AIC, Roman Catholic na Sabato. Haya makanisa mengine yaliyochomoza kama kama maua Rose lakini miiba ni mingi kuliko maua yenyewe. Rose Muhando amelewa sifa anaanza kujisahau.

kuna mahali nimeona anashake boobs tena mwenyewe hadi nikakoma,Ila ndo hivyo ukiongea sana kuwakosoa hawa wengi watakupinga,kuna style ambazo watu hawawezi kucheza mbele za baba au wajomba zao lakini wanamchezea Mungu ukihoji unaambiwa mbona David alicheza hadi nguo zikadondoka.Ulokole wa siku hizi ume adjustiwa ili uwe mrahisi ndo mana mambo mengi yanaacha maswali.
 
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani
Acha nyege!!
 
Kwakuwa ni nyimbo za dini na za kumtukuza Mungu si vibaya wakawa kwenye maadili ili kulinda heshma ya dini, kuimba ni njia moja wapo ya kumwomba Mungu tumpe heshma yake. Mungu hana vikao vya kutujadili tuogope kumuudhi.
 
Jamani, Mungu ameisha mpa ujira wake na nisiri yake Mungu kama anafurahia au la!

Mbona nyie hamuimbi hata hizo zinachochezwa bila kutikisika!? Majungu tu!

Big Rose! nakukubali mno! eneza Injili!
 
Whaaaaat??? Utamu wa Yesu ...? Please am in terrible dilemma ... Help...!! Ni utamu gani huo unaoendana na heading ya hii Thread!!!???Just Curious!!!
 
kuna mahali nimeona anashake boobs tena mwenyewe hadi nikakoma,Ila ndo hivyo ukiongea sana kuwakosoa hawa wengi watakupinga,kuna style ambazo watu hawawezi kucheza mbele za baba au wajomba zao lakini wanamchezea Mungu ukihoji unaambiwa mbona David alicheza hadi nguo zikadondoka.Ulokole wa siku hizi ume adjustiwa ili uwe mrahisi ndo mana mambo mengi yanaacha maswali.
I am very pleased with this observations ...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom