Mauno ya Rose Muhando

kende

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
3,527
1,664
Nilikuwa sijawahi kuuzingatia huu wimbo. Now nauangalia nimegundua Rose Muhando ana kiuno bila mfupa, mauno ya hatari kabisa yaani akiamua kujiachia kama wanaoimba nyimbo za 'kidunia' wakina Snura na Shilole itabidi warudi kwenye muvi tu.

Nawewe ufaidi angalia hapa

 
Last edited by a moderator:
Anavyokung'guta laana na mikosi lazima na mwili u shake na ku vibrate laana na mikosi lazima zitoke
 
Safi sana. Video haina ubaya kabisa. Kipi bora kumkatia Mungu mauno au kukatia wachepukaji? Go go Rose. Uliteseka sana katika maisha na Mungu akakuona. Walaaniwe wanaume wanaotelekeza wake zao na watoto bila msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom