Mauno ya ROSE MUHANDO Jamani!!

Nakubaliana na wewe na huo ndiyo ukweli wenyewe.

Hata Pinda kagoma kuachia ngazi, yeye na Mawaziri wenzake ni FREEMASONS.

Ile Gari ya Kikwete iliyowekewa mafuta yaliyochakachuliwa na ikagoma kutembea ilikuwa FREEMASONS.

Ndege ya ATCL ilikuwa ni FREEMASONS...... Freemasons RULE.

Loh! U made my evening for sure!

Yawezekana hata JF ni Freemasons ndio maana watu hawabanduki hapa!

Loh! Blame it ALL on FREEMASONs!
 
Ni mbunifu sana huyu Dada. Anaweka vionjo vya asili katika nyimbo zake na zinakubalika. Kampuni ya Sony wameingia nae mkataba. Hii inadhihirisha jinsi anavyokubalika hata kimataifa. Big up DaRose
 
yaani huyu anavojisikia utamu ndo maana anasiliba mauno hatariiiii....huyu kabla hajaokoka anaonekana alikuwa mkali sana kwenye mambo yetu yaleeeee........ kudadadeki mambo ya super kitasa guest house..
 
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani

Wivu utakuletea vidonda vya tumbo wewe. We ulitaka asimame wima au ndo wale wale watoto wa mama mdogo nini?
 
Sasa kama anasikia 'utamu ' wa Yesu kwanini asikatikie mauno?!

Duh ! naficha macho ! jamani msimchezee NAbii Issa Bin MAriam (A.S) juu yake tunamuombea Amani , msimchezee namna hii jamani! mbona mnamdhihaki hiki? hata sisi Waislamu hatuwezi kumchekzea Yesu (Nabii Issa (A.S) , Juu yake Amani) namna hii
 
Hata mimi nilijiuliza maswali mengi sana kuhusu huo wimbo wa UTAMU WA YESU, hakika sihukumu lkn nahisi huo wimbo hauna UTUKUFU WA MUNGU, kwani ujumbe haufiki na badala yake mauno na style mbalimbali za kucheza. Sioni ajabu, kwani JINA LA YESU KRISTO hutumiwa na yeyote tu ili mradi aweze kuhalalisha shughuli yake japo yanayofanyika nyuma ya pazia MUNGU MUUMBAJI NDIYE AJUAYE.

Hakuna mwanaume kama Yesu.
 
Kwa style hii muziki injili umeingiliwa! Inatakiwa reshuffle ya nguvu kwa hali ulipofikia sasa!
 
]Kwa style hii muziki injili umeingiliwa! Inatakiwa reshuffle ya nguvu kwa hali ulipofikia sasa![/QUOTE]

Muziki wa Injili umeingiliwa na nini???? Kwa taarifa yako - Biblia inasema kule mbinguni watakatifu watasifu na kuruka ruka kama ndama. Umeshaona ndama akiruka???? Rose Mhando ni cha mtoto -

Mziki wa Injili haujaingiliwa chochote - hebu jaribu kuingia ndani ya Yesu - uone raha ya kuwa ndani ya Yesu -

amani iliyoko ndani ya Yesu - na unapoamua kumsifu Mungu - utaruka na kucheza zaidi ya Rose Mhando. [au hata waimbaji wengine wanavyocheza]

Wengi hawajui Rose katokea wapi - tafuta historia yake na utapata jibu - Mungu anabadilisha - anainua - anabariki - na anabadilisha. Mtu anapofanyiwa yote hayo............LAZIMA AIMBE NA KUCHEZA - VIUNGO VYAKE VYOTE VITAMSIFU MUNGU ................ Karibu tuimbe mziki wa Injili.:lalala:
:lalala: utamu wa ngoma ............ingia ucheze ........... badala ya kuhukumu kuwa muziki umeingiliwa.
 
Juma pili ijayo atakuwa KKKT Kimara, nitakujibu

Mimi naitwa Dr. Rev. James Kamau Naaman Gitau, Pastor na Evangelist wa Full Gospel Brooklyn, New York na niliwatembelea huko Dar Mwezi wa August na ninawapenda kwa roho yangu yote na huyo Rozzy wenu.. Nimeokolewa na kukombolewa na HUYO YESU MNAYEMSiKIA. Ninyi ndugu zangu wa Tanzania (kama ndugu zangu wa Kenya) mna shida kubwa ya kumrudishia BWANA MUNGU WETU SHUKRANI. MUWACHENI JESUS sweethert huyo Mtoto amtwange. Wacheni kiuno chake kikatike kama kweli amesema anampenda YESU kwa roho yake yote. Lakini muonyeni asithubutu kuingia Freemasonry kwa MUNGU ATAMWONDOA DUNIANI. Freemasonry ni devil worshippers na ni kama Barack Obama na huua watu bila huruma. I campaigned for Obama after he lied to us that he was a born again Christian who JESUS SHED blood for then I was shocked to learn that he is (I understand a 33 Degree Freemason). Pia mmuambie kila mwisho wa nyimbo awe akiwashuhudia watu kuwa ameokoka na yeye sio Freemason ili hiyo report mbaya isimharibie ushuda na kipawa chake cha uimbaji.

Sisi viongozi tunata ninyi Wakristo wote mgundue vipawa ambavyo Bwana amewapa na mzitumie. Hizo ni talanta kama zile Yesu alisema katika Bibilia. Zitumieni jamani. Do not burry them like the fool who burried his and was thrown in hell.

Fungueni maskio na macho yenu ninyi Watanzania. Mkicheza sisi tutakuja tumchukue Rozzy kutoka Tanzania tumlete hapa London, tuwe tukihubiri Injili na kumtukuza MUNGU wala hamtamwona Tanzania tena.

I love the sister to bits IN CHRIST JESUS. Kama hangekuwa ameolewa na kama mimi ningekuwa bachelor, sasa angekuwa hapa London maishani tukimwinua MUNGU WETU nyumbani na ulimwenguni kote.

Mpendeni kama vile yeye anampenda YESU.

Kama si YESU huyo mtoto angekufa alipokuwa mgonjwa. YESU ALIMPONYA NDIPOSA MNAONA KIUNO KINAKATIKA. HANA NJIA INGINE YA KUMRUDISHIA AHSANTE ISPOKUWA KUIMBA NA KUKATA KIUNO WACHNI KIKATIKE.

TAFADHALI MUMTUMIE MESSAGE HII NA MUMWAMBIE NINAMKARIBISHA U.S.A.ANNUAL CONVENTION YETU YA JUNE, BROOKLYN, NEW YORK. ACCOMMODATION, FOOD AND TRANSPORT TO AND FROM J.F. KENNEDY WILL BE ON US.

NYINYI PIA MNAKARIBISHWA. SHE IS SUCH A SWEETHEART.

PLEASE PROTECT THE BABY FOR MY SAKE.

GOD BLESS YOU.

REPLY SOONEST TO:

DR. REV. JAMES K.N. GITAU
38 TONBRIDGE HOUSE
50 PENGE ROAD
SOUTH NORWOOD
LONDON SE25 4EU
PHONE: 00 (0) 7711 936 139
E-MAIL: gitaujimmie@yahoo.co.uk
 
Nimebahatika kuipitia pitia video zilizopo katka album ya UTAMU WA YESU ya kwake rose muhando hasa hii ya utamu wa yesu,Duh humo nimekutana na mauno na michezo ya hatari mpaka nikajiuliza rose amewahi kupitia acudo nini! Yaani humo kuna kiduku,kwaito,mauno mauno n.K
hivi inaruhusiwa style kama hizo katika imani za kidini?? nauliza tu jamani

Hairuhusiwi, lakini imesaidia wapenda muziki wasiopenda mahubiri kusikia neno la Bwana, imagine walevi wana okoka wakiwa baa kwa kuguswa na ujumbe. Na uenda ndio sababu ya wanamuziki wengi kuokoka.
 
huyu ni msanii wa nyimbo za injili na dhamira yake kuu ni kutengeneza hela.
 
Mimi naitwa Dr. Rev. James Kamau Naaman Gitau, Pastor na Evangelist wa Full Gospel Brooklyn, New York na niliwatembelea huko Dar Mwezi wa August na ninawapenda kwa roho yangu yote na huyo Rozzy wenu.. Nimeokolewa na kukombolewa na HUYO YESU MNAYEMSiKIA. Ninyi ndugu zangu wa Tanzania (kama ndugu zangu wa Kenya) mna shida kubwa ya kumrudishia BWANA MUNGU WETU SHUKRANI. MUWACHENI JESUS sweethert huyo Mtoto amtwange. Wacheni kiuno chake kikatike kama kweli amesema anampenda YESU kwa roho yake yote. Lakini muonyeni asithubutu kuingia Freemasonry kwa MUNGU ATAMWONDOA DUNIANI. Freemasonry ni devil worshippers na ni kama Barack Obama na huua watu bila huruma. I campaigned for Obama after he lied to us that he was a born again Christian who JESUS SHED blood for then I was shocked to learn that he is (I understand a 33 Degree Freemason). Pia mmuambie kila mwisho wa nyimbo awe akiwashuhudia watu kuwa ameokoka na yeye sio Freemason ili hiyo report mbaya isimharibie ushuda na kipawa chake cha uimbaji.

Sisi viongozi tunata ninyi Wakristo wote mgundue vipawa ambavyo Bwana amewapa na mzitumie. Hizo ni talanta kama zile Yesu alisema katika Bibilia. Zitumieni jamani. Do not burry them like the fool who burried his and was thrown in hell.

Fungueni maskio na macho yenu ninyi Watanzania. Mkicheza sisi tutakuja tumchukue Rozzy kutoka Tanzania tumlete hapa London, tuwe tukihubiri Injili na kumtukuza MUNGU wala hamtamwona Tanzania tena.

I love the sister to bits IN CHRIST JESUS. Kama hangekuwa ameolewa na kama mimi ningekuwa bachelor, sasa angekuwa hapa London maishani tukimwinua MUNGU WETU nyumbani na ulimwenguni kote.

Mpendeni kama vile yeye anampenda YESU.

Kama si YESU huyo mtoto angekufa alipokuwa mgonjwa. YESU ALIMPONYA NDIPOSA MNAONA KIUNO KINAKATIKA. HANA NJIA INGINE YA KUMRUDISHIA AHSANTE ISPOKUWA KUIMBA NA KUKATA KIUNO WACHNI KIKATIKE.

TAFADHALI MUMTUMIE MESSAGE HII NA MUMWAMBIE NINAMKARIBISHA U.S.A.ANNUAL CONVENTION YETU YA JUNE, BROOKLYN, NEW YORK. ACCOMMODATION, FOOD AND TRANSPORT TO AND FROM J.F. KENNEDY WILL BE ON US.

NYINYI PIA MNAKARIBISHWA. SHE IS SUCH A SWEETHEART.

PLEASE PROTECT THE BABY FOR MY SAKE.

GOD BLESS YOU.

REPLY SOONEST TO:

DR. REV. JAMES K.N. GITAU
38 TONBRIDGE HOUSE
50 PENGE ROAD
SOUTH NORWOOD
LONDON SE25 4EU
PHONE: 00 (0) 7711 936 139
E-MAIL: gitaujimmie@yahoo.co.uk

surprised-black-guy-meme-generator-who-dafuq-are-you-3286d4.jpg
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom