Maumivu ya moyo....!!!

Kaka polee saana..ila ulifanya kosa kumuamini rafiki yako hadi kwa manzi wako..

[HASHTAG]#kaeni[/HASHTAG] chini muongee na mjue wapi mlikosea..!!
ametomb.w.a mnaongea nini sasa hapo mkuu?? aanze kusimulia jamaa anayompiga mpini au?? binafsi moyo huo sina!!
 
Inauma sana...
Mungu atakupa nguvu na ujasiri...

Ili ajue unajua anachokifanya... Tell her alafu stay positive...


Cc: mahondaw
 
Jamaa bado analewa au.. Au Bidada yeye ndiyo Financer nini... Jamaa kakubali kuwa mpole
 
Mwanangu pole sana, ila temana naye mungu atakupa mwanamke mwingine atakaye kupenda kwa dhati .
 
Achana nae!! Hacra hasara, sajili mchezaji mwengine mechi iendelee
 
Kisasi uh!!!!
Not good.
 
Ingekuwa imekuuma usingeweza kupost humu jf. Saivi ungekuwa central unashikiliwa kwa moja au zaidi ya makosa yafuatayo:
1. Shambulio la kudhuru mwili
2. Kupiga mtu kichwani kwa kitu kizito/ncha kali
3. Attempted murder
4. Murder
5. ALL THE ABOVE

Wanaume wengine mnauaibisha uumbaji wa Mungu.
 
Mkuu kula like ya nguvu
 
Brother hizo issue za kawaida sana shukuru Mungu kuwa umeona kabla hujamuoa maana Mungu amekuonyesha mapema kuwa huyu sio wako...no need ya kujistress sababu kuna watu kwenye maisha yetu wanakuja kwa ajili ya kutufunza jambo ili lifuatalo tujirekebishe..funzo lako hapa ni usimuamini rafiki au mtu yeyote kwa 100% na pia mwanamke hasa ambaye hujamuoa bado yawezekana usiwe peke yako kwenye mahusiano sababu naye anachagua bado. Nakushauri achana na huyo mdada sababu kacheat na mshkaji wako kabisa which is very bad...muache na mueleze sababu bila kumwambia umeona msg ila mshkaji usimuambia kula bati atajadiliana na demu wake sababu wanaume huwa hatugombanii wanawake hasa madem wasio wake zetu.
 
Mimi kilichonichosha hapa ni rafiki na mtu uliyekuwa unamchukulia as a good friend /broher.

Jamani wasichana /wadada acheni kufanya hivi.
I am not supporting immorality behaviours but, its better if she would have done with a guy who is not a friend of her boyfriend.

Its pathetic.
 
Pole sana mkuu lazima eid uione chungu usikague simu ya mwenzio ungemaliza tu kilichokupeleka mengine ungeachana nayo angalia sasa hapo unaweza kufwa ujue
 
Hapo wa kulaumiwa ni mdada. Ningelikuwa mimi hayo mahusiano yangeishia hapo na huyo jamaa alotembea nae nisingemwambia chochote wala kumfanya lolote. Shukuru mungu kwa kila jambo umeepushwa na mengi.
 

Mkuu wewe ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…