Maumivu ya moyo....!!!

Duuh hapa hamna maongez kaka acha nibwage manyanga. Kenny rogers aliimba you dont have to fight to be a man, bwege ni mimi let me live with it
Bro nimekuelew vizur San
Nilichokitambua ni kwamba una akil kubwa San na una uwezo mkubwa sema huamin kam una uo uwezo.
Kuna jamaa kakupa ushaur wa ukwel San umu ndan na kwa kuwa akil ako ndo serikal ako bhc ushamlz kila kitu na endlea kula maisha tu .
NB ili ucumie bhc ucmchukie wala uctfte kisas over.
 
Nampenda mwanamke nikiwa juu yake nikishuka tuu achukue time yake.
 
Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Unapataje nyege sasa?? Watu wengine hamna kinyaa sijui kwanini??? Unaona kabisa jitu kimetoka kugongwa tena namtu unamjua .
 
Wanaume mje huku mumshauri mwenzenu maana kila siku humu mnajisifia na michepukobyenu eti ndio uanaumw sio vibaya tunaumiaga hivyo atii.

Kaka mwanamke unayelala naye akaenda kugongwa akarudi na hamjaoana ni changamoto cheating inauma sana. Ila subiri hasira ziishe ndipo uamue maana hasira hasara. Halafu nikuulize swali je ukipata mwingine naye akafanya hivyo utafanyaje? Je haujawahi kucheat??
 
Pole sana mdau. Ila jifunze kitu hapo. Mali si kitu katika mapenzi naimani ulikua humkojoleshi vya kutosha mdio mana akatafuta pa kukojoleshwa. My take utakapopata shem mpya simamia ukucha kwene yale mambo kua weird usiwaonee huruma hawa viumbe wapindepinde na wakunjekunje wakojoleshe mpaka wakaukiwe akitoka hapo hana mpango tena wa kuanza kufikiria mwanaume mwingine.
 
achana nae kicheche huyo..
tena mpige chini ghafla bila kumwambia chochote...jifanye umemchoka tuuu.....unaangalia ustarabu mwingine...amili impate moto kwanza....
yaani KE ndio wanaivuruga hii dunia...yaani kwa vile wametuzaa tuu basi.. ndio la muhimu...heahima kwao hapo tuu..!!
 

mkuu ina uma sana najua iyo hali tena inauuma kwa mtu unaemfahamu akala mzinga wko wa asali yaan raha unazopewa wewe na yeye anazipata tuburudike kidogo na Bruno
 
Mmmmmhhhhh "NGUMU KUMEZA" ila fanya hili mwambie unajua kila kitu alafu potezea ishi naye kama hakuna lolote lililotokea baina yake na wewe TRUST ME itamuumiza zaidi ya wewe kulumbana na an that wat "MEN DO" atajihukumu na moyo wake wakati ww unasonga mbele na maisha yako.
 
mimi yalinikuta nilileta hapa miez miwili imepita..nilikuta uchafu mwingi sana kwenye whtsp ilikua usiku..nikakaa kimya ila nilikua na hasira sana..demu akawa anajistukia...asubuhi nikamtia vya kutosha nikajaribu na tigo kidogo zen sikusemaga kitu chochote na alikua geto kwangu..baada ya wiki alivosepa na mm nikapoteza mawasiliano taratibu hadi nikafanikiwa kumpotezea japo hadi kesho ananisumbua na mm sina hisia nae tena..saiz naishi kwa amani zaid na najipanga kifedha na kila kitu ili nianze hit and run na sina hisia za kupenda hawa wadudu kwa sasa..nakushauri usitumie hasira tumia busara kufanya maamuzi utaona matunda yake..zen usije ukawaamini tena hawa watu...karibu katika hr mkuu
 
I guess i can tell how much you feel,but trust me imba tuu mapambio ya nyimbo za dini utakuwa poa.
 
Mimi siamini katika maneno yako huyo demu ni Malaya tu, mwanzo.alijuaje kama huko anakoenda atapata hicho anachotaka. Mwanamke mwelevu huongea na mwenza wake kama bado hajakojozwa.
 
Dah. God forbid. Lazima ikuume sana. Lakini time heals yatapita.
 
Ulimla tigo ?????
 
Eti mtu kakomaa bora usingegusa simu khaa, we live in denial jamani khaa, . So its ok mtu kukufanyia ushenzi wote huo as long as haujui? Mungu ndo kaamua kumuexpose huyo mdada through simu yake, mtu anabaki "usishikage simu", mmh ngoja tuendelee kudumu kwenye mahusiano huku moyoni tunateketea
 
Mkuu mwanamke ni mtu mzuri sana endapo anaadabu pia ni mtu mbaya sanaaa.kwasababu anaonesha tabia hizo mapema piga chini mapema iwezekanavyo usipo fanya hivyo mkuu Wangu ,jiandae kulea mtoto wa huyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…