Maumivu ya moyo....!!!

Mfanye sana leo halafu ukimaliza mwambie wewe na yeye basi na umuonyeshe kila ulichokiona halafu umtakie maisha mema. Ile never trust Kiumbe kinachoitwa Mwanamke
Akimaliza kumfanyaa amwambie hamtakii? Akijibiwa anashkuru alikuwa hafikishwi nae ajibujee?
 
Hata mwanaume never trust anyone in dis world watu yamekuwa mapretender kama nin mmi niliona bora nimtumikie Mungu tu ndo anaweza nipuuzea moto sku ya kuna kwangu ila sio mtu mwenye miguu miwilo
Ninii hichii lakinii?
 
Huwa najiuliza kama kila mtu kwenye mahusiano yake angekuwa anadukua mawasiliano ya mtu wake nani angekutwa msafi???
Hizi ndoa za siku hizi Mungu asimame tu kwa kweli....
Pole kwa yaliyokukuta na shukuru umeyajua mapema kabla ya kile kifungo.....
Kweli hakuna ambaye angebaki salama kabisa
 
Haaahaaaa hakunaa kuded mwenyewe. Semaa jamaake unakutaa hanaa mke zaid ya makulaa nyoka tuu.
 
Dah sms tu mimi nimepagawa sasa jee huyo aliyefanya uuuwi mimi pia nimesikia wivu huyo niwakuloga afe

Pole sana mkuu
 
Muonyesh ushahid huo halafu achana nae kabisa, mwambie waendelee kukojozana na huyo mwenzake
 
It is better to hold my principles, Linda moyo wako kuliko kitu kingine chochote kile ulindacho maana ndiko zitokako chemichemi za uzima. I can't imagine the extent your heart has broken, simama mkuu songa mbele, there is no smoothy jounery no matter who is going to guide u. Muache aende usilipe kisasi, be quite.
 
Hakikisha katika maamuzi yeyote utakayochukua hautavunja sheria za nchi
 
Lkn pole ulimwamini sana uka puuzia kufuatilia nyendo zake mapema
 
Hamna adhabu ya kutoa hapo kaka. Hao wote ni watu wazima. Kila kilichofanyika walipanga pamoja. Sasa kama walikubaliana kila kitu na ni watu wazima, unadhani hiyo adhabu ukitoa ndio itabadilisha maamuzi yao? Braza hapo wewe ndio ukae kando uache watu waendelee na walichokianza. Period.
 
Pole sana mdau ila hapo naona umeacha trace kidogo. Kuna kajina ka jamaa kny shots ulizocapture
 
Pole sana mkubwa kwanza kabisa mshukuru Mungu kwa kukuonyesha njia .pili kaangalie afya yako. Tatu ukijikuta upo salama rudi nyumbani mkalishe chini mwambie kuwa huoni sababu ya kuendelea kuwa nae kwani umemvumilia sana kwa vitendo vyake vya uuaji kisha mtakie maisha mema short and creal akileta ubishi muonyeshe hizo msg kisha mwambie mpenzi/hawala hana talaka hivyo atimue zake Mungu bado anakupenda sana pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…