cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,939
Hapanaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hayajakukuta, huu moyo ukiamua kupenda unaweza jishangaa hata wewe [emoji38][emoji38]
Hapanaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Hayajakukuta, huu moyo ukiamua kupenda unaweza jishangaa hata wewe [emoji38][emoji38]
Polee sana gran bah. [emoji23][emoji23][emoji23]Hatimaye tuliachanishwa.. Hatukuweza kuachana.. Tulikuwa hatuna hiyo nguvu[emoji41]
Kabisa! Na mod anashindwa kukutia hatiani.Yanaitwa matusi ya rejareja😂
Mapenzi yakiisha ukagoma kuachika, hakuna rangi utaacha kuona 😄😄😄Kuachwa mtu inakuaje unaachwa na unakubali😀
Kma mbwai mbwai tu yan lazima turudiane alafu mm ndo nikuache😂😂😂Mapenzi yakiisha ukagoma kuachika, hakuna rangi utaacha kuona 😄😄😄
Waganga wote hawa kutoka kigoma mabango kutoka mbezi had morogoro😀😀😀Haiwezekani
Ooh revenge sasa… utakufa vibaya ww🤣🤣🤣🤣Kma mbwai mbwai tu yan lazima turudiane alafu mm ndo nikuache😂😂😂
Hahha watu kama sisi ndo tunaliaga na kwikwi 😂😂Ooh revenge sasa… utakufa vibaya ww🤣🤣🤣🤣
Mapenz hayana fundi kunamtu alinambia kashauriwa amloge mumewake ili atulie nikamwambia kamuulizemganga ana ndoa ngap 😀😀😀Waganga njaa hao.. Kuna siku nilimkuta mmoja naye anatafuta mganga wa mapenzi😂
Seran wee njoo ujibu swali hukuMlijaribu kurudiana? Mliweza?