Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
Nasali hiyo familia isiwe ya Kichaga tena ya KIMACHAME,maana watu wataibuka na "MADONGO" humu.
Watu wengine hamnazo unajiua kisa mapenzi!
Nimepita, ngoja nikapate updates za Kapuya.
Spirit ya kiarabu hii " IF YOU KILL ME, I KILL YOU AND I KILL MYSELF"
Hamna hata sababu?
hii imetokea saa moja na nusu hivi kutoka sasa ni maeneo ya ilala Boma, lilikuwa gari dogo ambalo lilismama ili kusubiri kufungiuliwa geti kisha ikaja pick up akashuka mkaka akamfyatua risasi ya ubongo dereva, wa hiyo gari ndogo kisha akamfyatua mwanamama alokuwa kushoto kisha akawa pasi abiria wawili walokuwa wamekaa kiti cha nyuma.
kisha ajifyatua yeyey mwenyewe toka kidevuni hadi utosini.
sikutaka kushuhudia zaid manake nisije nikajikuta napatapao ya shavu nikasepa mdogo mdogo.

mmmmmmmmmmh