mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,191
hii imetokea saa moja na nusu hivi kutoka sasa ni maeneo ya ilala Boma, lilikuwa gari dogo ambalo lilismama ili kusubiri kufungiuliwa geti kisha ikaja pick up akashuka mkaka akamfyatua risasi ya ubongo dereva, wa hiyo gari ndogo kisha akamfyatua mwanamama alokuwa kushoto kisha akawa pasi abiria wawili walokuwa wamekaa kiti cha nyuma.
kisha ajifyatua yeyey mwenyewe toka kidevuni hadi utosini.
sikutaka kushuhudia zaid manake nisije nikajikuta napatapao ya shavu nikasepa mdogo mdogo.
wamekufa watu watatu jumla na majeruhi 2.
mwali ilala boma nilipaona ni westgate ghafla sina hamu jamani
nilitraman nishuke nibebe kamkweche kichwan nikimbie.
lakin pia nilichoshangaa eti kuna watu walikuwa wanakimbilia kwenda kuangalia nikasema hivi wamesahau yale ya west gate??
ukupiga hata tupicha tuwili tutatu na sisi tujionee jamani