Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,908
- 27,387
.. me ndio maana nimeacha kwenda Chapel... Mambo ya magumashi ni mengi mno.



full of illusion and confusion
.. me ndio maana nimeacha kwenda Chapel... Mambo ya magumashi ni mengi mno.



full of illusion and confusionHii naikumbukaKisa cha tisa
Mauaji ya Ilala! Chanzo dhuluma
Jamaa waliuziana gari, mnunuzi akalipa pesa ya kianzio lakini akashindwa kumaliza
Mwenye gari kila akikumbushia pesa yake jamaa anampiga kalenda
Siku ya siku mdaiwa akamuita mdai wake afike nyumbani kwake Ilala ampatie pesa yake
Jamaa akafika home kwa anayemdai, akakaribishwa vema lakini kufika ndani kumbe mwenzake alikuwa na lake moyoni! Akamuua na kumzika karibu na mashimo ya vyoo kisha akasakafia vema kabisa
Mauaji yalikuja kujulikana miaka takriban mitatu baadae
nimekusoma ambiere![]()
Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye...www.jamiiforums.com
Ukishindwa kusamehe lipa kisasi
Shukrani mkuu! Itabidi sasa ukafanye editing kule juu!Kama kweli nimesema hivyo basi nilikosea kwakuwa nilimaanisha Kaini na si Abel
Huna nguvu za kiume sababu ya stress za kumuwaza mwenda zake lazima mdogo wake mshana akuchapie tuImagine unamwachia wife hela ili wanao wapate lishe safi. Lakini kila siku wanafakamia wali maharage.... Kumbe hela anampelekea mdogo wake Mshana Jr ili amchakate papuchi vizuri....
Mauaji mengine sio dhambi kabisa
Nimeangalia sijakoseaShukrani mkuu! Itabidi sasa ukafanye editing kule juu!
Basi nilisoma vibaya!Nimeangalia sijakosea
Dhambi ya tatu ni mauaji, ambayo asili yake ni choyo na wivu, pale Kaini alipofanya uchoyo wa kutoa sadaka iliyonona na matokeo yake ikakataliwa.. Ya mdogo wake Abel ilipokelewa na ndipo roho ya chuki ilipomuingia Kaini na kuamua kumuua mdogo wake kwa mama. Adam hakuwa babayake wa damu.
Vipi nguvu zako kwenye kinyeo bado ziko imara?Huna nguvu za kiume sababu ya stress za kumuwaza mwenda zake lazima mdogo wake mshana akuchapie tu
Ni ngumu mno kuficha kifo maana damu ya mtu ina uhai na ina harufu mbayaHV mkuu mtu akiuwa au kuona mauaji je unaweza kukaha muda wote had kufa pasipo kujulikana Kama ulihusika na Jambo fln au itafika muda mtu kufa kabla ya matendo yake kuwa adharani ?
Inonesha kuwa kila tukio la mauwaji halipiti. Hvhv tu bill kujulikana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo nyoka alipiga Eva?🤔Kuchapiwa ni siri ya ndani na ilianzia pale Eden.. Wewe unadhani baada ya Eva kuongopewa na ibilisi(nyoka) na kula 'tunda' la mti wa kati alitoka salama? Adam alikula makombo tuuu...
Kaini ni uzao wa ibilisi na ndio maana hakuona umuhimu wa kutoa sadaka nzuri..
Hapana, hapa nilipo nina mshughulikia kiroho kwanza, maana alitumia hela, alitumia maneno na akatumia uchawi.. Hatokaa akaishi kwa amani hatofurahia maisha yake kwa siku alizobakiza hapa duniani.. Kuna watu wana roho mbaya sana, Yesu alimkataza Petro kutumia upanga kwa majira yale ila kuna mda wa kutumia upanga, neno linasema ukipigwa huku geuzia huku, lazima umuoneshe adui upande wako wa piliMsamehe tu ukiweza
Sina neno zaidi...Hapana, hapa nilipo nina mshughulikia kiroho kwanza, maana alitumia hela, alitumia maneno na akatumia uchawi.. Hatokaa akaishi kwa amani hatofurahia maisha yake kwa siku alizobakiza hapa duniani.. Kuna watu wana roho mbaya sana, Yesu alimkataza Petro kutumia upanga kwa majira yale ila kuna mda wa kutumia upanga, neno linasema ukipigwa huku geuzia huku, lazima umuoneshe adui upande wako wa pili

