Mkuu kunaa kitu nilikuwa sijakigunduwa, kumbe huyu jamaa hapo kiunoni ana bastora? swali wakati Mwangosi amedhitiwa na maaskari wote wenye silaha je yeye bastora yake alikuwa ameitowa juu ili kufanayaje? je kunabastora za kutowa machozi?
Haya ni mauwaji ya kupangwa na nawaonya Chadema kuwa macho kwenye mikutano yao, nilidhani Mnyika anaongea propaganda kwamba kwenye mikutano yao kuna watu wabaya huwa wanakuja na silaha na wengine wanavaa kombati za Chadema ili kuleta image mbaya kwa chama.
Hili tukio haliitaji tume wala kamati, huyo askari kanzu alikuwepo hapo kwa ajili ya mauwaji tu,sasa ndio nimeelewa ni kwa Frasis Godwin ametoweka Iringa. hii ni zaidi ya hatari.