Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

Dah wenzangu mnajua kweli kupima hata mkipewa picha ya kichwa tu.. sasa huyu wa picha ya pili ana urefu gani? au watu wenye kichwa mviringo na pua pana mara nyingi huwa sii warefu?.. ahaha ahaha!! ama kweli Wabongo kiboko..nimechoka.
Ha ha ha!mkuu umeniacha hoi!ni mikono,yule wa kwanza ana mikono ambayo unaweza hata kuona "blood vessels",where as ya pili ana maumbile ya tofauti,yani ana more fat na wala si impact ya picha kuwa karibu,hopefully umenielewa.
 
Sidhani kama niliijibu posti "uliyotoa ushahidi wa kisayansi",go and revisit.

Kama unazungumzia "blood splatters",basi ni kweli inabidi ucreate mazingira kama hayo ya exposion halafu ndo utajuwa how is it possible that he had those blood spaltters on those areas.Siwezi kusema for sure proximity yake na marehemu wakati wa tukio,however ni wazi alikuwa in a close range.Na kwasababu ni bomu,pengine damu ziliendelea kuchuruzika kwa hali ya juu right baada ya mlipuko,kwasababu marehemu alichanwa chanwa,ni tofauti na impact ya let's say a knife or even a point blank gunshot.Kuna wanaosema kwamba alipigwa risasi kabla ya bomu ili kuficha ukweli huo.Angekuwa karibu sana,kwa mlipuko wa bomu lilomsambaratisha marehemu,basi angekuwa na damu zaidi ya hiyo.

Yeye mjinga aendelee kusimama kusubiri bomu linapolipuka.

Bomu lililotumika hapa lina milipuko miwili. (1) linapotoka kwenye bunduki (2)linapo hit target(projectile) ndani ina kitu kinaitwa INERTIAL RING uwa kama jina linavyoenesha kimetulia mpaka projectile ihit target ndo kinaact kwenye firing pin ambayo inatrigger detonator

Kama huyo mwenye helmet ya damu ilikuwa ni kwenye tukio la Iringa basi yeye ndo muuaji. Baada ya kufire bomu linapingia tumboni impact ya bomu ilirusha matone ya damu

Ni vizuri pia uzingatie ni aina gani ya bomu. Kuna ripoti iliwekwa hapa halafu ghafla kuondolewa inasema ni bomu la 40mm yaani ni rifle grenade yenye umbo kama ya risasi

Damu inayochirizika haionekani kihivyo rejea physics(gravity)
 
Nilimaanisha "damu inayoruka",asante kwa kunipa neno sahihi la kutumia.However tuko pamoja.Sina insight kubwa kuhusiana na hizo types of detonations.However nakubalina na analysis yako.Huyu sidhani kama ndo yule aliyekuwepo kwenye tukio.Kwasababu kama angekuwepo kwenye tukio,basi ni wazi yeye ndo angekuwa muuwaji.However picha ya kwanza ya tukio,yule mwenye kuelekeza bunduki ya bomu la machozi si huyu aliyepo kwenye picha ya pili.At least going by physical appearance.
 
Jamaa ni Jembe Kweli Kweli, nakumbuka wakati nipo Shule tulikuwa tukimuita "President" Kwani alikuwa na uwezo mkubwa sana wa Kujenga hoja na Kuisimamia.........Benson Singo Kigailla!!!​

Nilikutana kwa mara ya kwanza na Kigailla mwaka 1990,832KJ Ruvu. Mzalendo wa kweli,mtulivu,mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na jasiri hasiye ogopa mtu! Wakati huo vijana wenzake aliokua ametoka nao Tosamaganga High School wakimwita President! Ni jembe la kweli!
 
attachment.php

Hapa ndio wana-smile, hawajakasirika. wakikasirka inakuwaje?
 
Nilimaanisha "damu inayoruka",asante kwa kunipa neno sahihi la kutumia.However tuko pamoja.Sina insight kubwa kuhusiana na hizo types of detonations.However nakubalina na analysis yako.Huyu sidhani kama ndo yule aliyekuwepo kwenye tukio.Kwasababu kama angekuwepo kwenye tukio,basi ni wazi yeye ndo angekuwa muuwaji.However picha ya kwanza ya tukio,yule mwenye kuelekeza bunduki ya bomu la machozi si huyu aliyepo kwenye picha ya pili.At least going by physical appearance.

Pamoja, mkuu! Halafu kuna mtu nafuatilia posts zake humu sitamchana kwa sasa mpaka nitakapogather enough evidence kwamba is an inside person
 
Nilikutana kwa mara ya kwanza na Kigailla mwaka 1990,832KJ Ruvu. Mzalendo wa kweli,mtulivu,mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na jasiri hasiye ogopa mtu! Wakati huo vijana wenzake aliokua ametoka nao Tosamaganga High School wakimwita President! Ni jembe la kweli!

Sijakutana naye lakini namkubali kwa sanaa!ni hazina ya Taifa.
 
Pamoja, mkuu! Halafu kuna mtu nafuatilia posts zake humu sitamchana kwa sasa mpaka nitakapogather enough evidence kwamba is an inside person
I can't wait mkuu...
 
Hivi wakati haya yanatokea kina Slaa walikuwa wapi? Mbona hakuna picha hata moja wanayoonekana kina Slaa?

Si nasikia ndiye aliyepiga baadhi ya hizi picha? Si ajabu ndiye aliyetuletea hizi picha za matukio.
 
Inawezekana siyo huyu;

1. Hiyo miwani ya goggles, yule mlipuaji hakuwa nayo
2. Huyu ni mdogo zaidi ya yule wa pichani
3. Mikono ya huyu dogo ni tofauti na ile ya yule aliyefyatuwa bomu

Katika watu wale wote walio mzunguuka marehemu ni mmoja tu ndo mwenye kofia kama ya huyu bwana,I bet huyu ndiye
 
attachment.php

hii picha aliyeileta humu kapotosha watu..baada ya kutafuta ukweli wa mambo na habari kumbe hii picha imechukuliwa mbeya kwenye vurugu zingine za polisi...na kichwa chake cha habari kina sema.....Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya...
Kwa habari zaidi nimezikuta kwenye http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/03/wananchi-wawafanyia-vurugu-polisi.html

Nyingine kama hizi...hapa chini...

Asante msanii. Inaonyesha hakukuwa na fujo yoyote ile. Ni polisi tu waliamua kuua.
 
Pamoja, mkuu! Halafu kuna mtu nafuatilia posts zake humu sitamchana kwa sasa mpaka nitakapogather enough evidence kwamba is an inside person
Kama ni Zomba wala usipate tabu huyo wala siyo insider bali ni wale watu wanaoishi kwa kutegemea posho za pale Lumumba na mawakala wa CCM kuwadanganya Waislamu wenzao wakati wa chaguzi. hana lolote.
 
Jamaa ni Jembe Kweli Kweli, nakumbuka wakati nipo Shule tulikuwa tukimuita "President" Kwani alikuwa na uwezo mkubwa sana wa Kujenga hoja na Kuisimamia.........Benson Singo Kigailla!!!​

Shule wapi mkuu ongezea nyama.
 
attachment.php

hii picha aliyeileta humu kapotosha watu..baada ya kutafuta ukweli wa mambo na habari kumbe hii picha imechukuliwa mbeya kwenye vurugu zingine za polisi...na kichwa chake cha habari kina sema.....Moja wa maaskari wa kutuliza fujo akiwa amejeruhiwa kwa kupigwa mawe na wananchi hao wa chunya...
Kwa habari zaidi nimezikuta kwenye http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/03/wananchi-wawafanyia-vurugu-polisi.html

Dah! wameumbuka wapika chuki.
 
mbona sasa kama idadi ya watu ilikuwa ndogo kiasi hicho kulikuwa na sababu gani za msingi polisi kutumia nguvu kubwa kiasi hicho,,, sina hakika kama hawa polisi walikuwa na akili nzuri... binafsi sioni kama hayo yalikuwa maandamano ama mkusanyiko mkubwa uliohitaji polisi kutoka morogoro, dodoma na mbeya...

sio kwamba huna uhakika, akili za polis zinatofauti ndogo sn na za m.b.w.a ye akiambiwa piga hafikiri hata kidogo anapiga akiambiwa ua ye anaua mi huwa nawaita mbwa watu au v..i .chaa
 
Azitowe wapi? labda mumfundishe kutumia picha duka!

Zomba a.k.a zombie(a walking corpse),

Wewe na hao vihiyo wenzako policcm ndiyo mnaofikiri kutumia makalio! Katika ulimwengu huu wa Teknohama jueni kuwa smartphones na hata mobile za kawaida tu zinaweza ku-record tukio zima mwanzo mwisho!

Kwa mawazo yenu finyu ya kipolisi mlifikiri kuwa mkishamlipua huyo Mwangosi basi mtakuwa mmepoteza ushahidi wote!Kwa kawaida ya mapolisi ninavyowajua ni watu wazito wa kufikiri na kuelewa. Nina hakika bado SIFA KUU YA KUAJIRIWA POLISI NI KUWA LAZIMA AWE ALIYE FAIL(SHINDWA) KWA VIWANGO VYA DIVISION 4 NA 0) KWA MITIHANI YA KIDATO CHA 4 NA 6!
Kulingana na sifa hiyo basi Jeshi la Polisi karibu limejaa watu wajinga na pengine ndiyo maana wanakuwa ni wagumu wa kuelewa/kuhoji na kutekeleza maelekezo wanayopewa na wakubwa zao ambao nao ni vihiyo vilevile! Akishaambiwa piga ua, anachojua ni kutekeleza amri hawezi kufikiri na kujiuliza kwanini na kwasababu gani nifanye jambo hilo.

Kuna watu na asasi wameshauri Jeshi la Polisi lote LIFUMULIWE NA LIUNDWE UPYA! Hilo hata mimi nakubaliana nalo kwa 100%. Hatuwezi kuendelea kuwa na jeshi la polisi lililojaa majuha ambao kazi yao ni kuua watu pasi na sababu za msingi. Tunataka Jeshi la Polisi lenye wasomi wanaoweza kusoma na kuelewa SHERIA NA KATIBA YA NCHI YETU!
 
Back
Top Bottom