Mauaji ya fumanizi Arusha

Mauaji ya fumanizi Arusha

Andika source Whatsapp!!! Maana picha zimezunguka Whatsapp masaa 10 kabla wewe hujaposti na hujaedit chochote.
 
Arusha wana roho ya kuua sana, kila fumanizi ni kuua sasa faida yake nini? mume atasekwa selo na mama ataendeleza ufuska
 
Tafadhali fanya editing na toa hizo picha, si sawa hivi.
 
Mkuu huyo hawezi kufungwa mana amefumania hapo hapo na kaua papo hapo. Ngoja wataalamu wa sheria waje watufafanulie zaidi ila ameua bila kukusudia. Inauma sana kuliwa mke tena mtu mzima analiwa na dogo kwenye mkoko uliomnunulia wewe. Hawa watu wamama watu wazima ni watamu lakini bora uvizie wajane au walioachika utakuwa huru kula papuchi zao mpaka useme sitaki tena watu wazima. Mke wa mtu ni noma
Kama alifumaniwa akifanya mapenzi aliwezaje kuvaa hizo nguo huku akiwa anapigwa?
Busara lazima zitumike unapokutana na mkasa kama hii. Tusikubali kutawaliwa na hasira maana hatimaye ni majuto.
 
Mapenzi hayashikiliwi kwa plasta. Hivi sasa, umeshaua mtu kwa ajili ya mimi kukucheat. Baada ya hapo na mikiki ya kesi, hivi naendelea kukupenda na kuhangaika na kesi yako? Au tuseme haujajulikana na sheria, ndo tutalala pamoja na maisha yaendelee?

Ujinga mtupu. No one is worth to be loved to the extent of even lifting a finger for. No one is worth going to jail for. There is billions of other people worth your love and attention!
 
Jamaa naona amekosea.kijana hana tatizo mwenye shida ni mwanamke wake.mimi ningedeal na wife tu.
 
Funzo kwa vijana wanaopenda mahusiano yenye mlengo wa kulelewa.
 
Ile nyimbo ya mke was mtu no sumu ameimba Nani vile wakuu?
 
Back
Top Bottom