Mauaji ya fumanizi Arusha

Mauaji ya fumanizi Arusha

Talking to a moron.
Kuna issue gani ya kiusalama au Kisheria hapo kwenye hili tukio ambayo inahitaji wewe uweke Picha JF! ?
Au umeshakula majani ya ule mti uliolaaniwa?

Kwa hy muuaji wa fumanizi hatashtakiwa kisheria kwa kosa alilofanya?...na zile picha za maiti za garisa zinasaidia vp kuwakamata alshabb....
 
Kwa hy muuaji hatashtakiwa kisheria kwa kosa alilofanya?...na zile picha za maiti za garisa zinasaidia vp kuwakamata alshabb....

Hakuna sehemu nimekataa suala la muuwaji kutokushtakiwa wala Hakuna sehemu nimetaja habari ya alshabab kukamatwa kwa kutumia picha!
Naona unajichanganya ovyo kijana.

Huyu alieuawa ktk tukio hili la fumanizi angekuwa dada yako au kaka yako ungependa kuweka picha zao Jukwaani namna hii?
Mbona Watu mnakuwa na Vichwa vizito namna hii?
Au mwezi mchanga?
 
Kwani wale maiti wa garissa hawana dada na kaka zao?! Ndugu zao ni miti?
 
Hii habari ni ya ukweli, na watu wanazo hadi pc za marehemu. Ila siyo poa kuziweka hapa, pia kwenye uhakika kama alikuwa anamla kama mleta mada alivyosema, sidhan kama anauhakika kama wanafanya hilo tendo kwa waka huo. Au walikutwa wanapiga story kwny gari la huyo mke wa mtu? yote kwa yote, mfumanizi kachukua sheria mikononi kwa kumshushia kipigo hadi kusababisha kifo.

kwa kuweka Picha sijaona kosa kwani nimeenda hata Google nako hakuna
km unazo niwekee hata PM
 
Back
Top Bottom