Majuto ni mjukuu, kesi za mauaji zinachapwa kwa type writer baada ya kuchukua maelezo kwa kalamu uamishiwa kwa mchapaji hayo maandishi uchukua miaka kufutika, hakuna cha kibatala wala tundu lisu wa kumchomoa hapo.ni ujinga kwenda jela kwa ajili ya mwanamke.
Hii stori ya kutunga toka jana hamna ushahidi kua mtu kauwawa istoshe arusha ni padogo tukio likitokea wa2 wanajua kila ki2 ila hili hamna mtu anajua,wa2 kibao wanakaa kwaidd ila hawajui mhusika au marehemu
Hongera kwa kuzunguka arusha nzima kutafuta ushahidi wa jambo lisilokuhusu
Mkuu...usicheze na Fani ya Sheria wapi ZOMBE na kampani yake
Kuna mwingine jana alifumaniwa hukohuko arusha,na alifanywa kama unavyo suggest. samahani kwa picha lakiniKumpa mgoni adhabu ya kifo sio kumkomoa, kuna adhabu zake ambazo angejutia maisha yake yote. Haya na sheria ichukue mkondo wake.
yawezekana ni ihi kitu ,,,,,:laser:Huyo inawezekana alipigwa na kitu chenye ncha kali
Kuna mwingine jana alifumaniwa hukohuko arusha,na alifanywa kama unavyo suggest. samahani kwa picha lakini
Unaleta stori z kutunga lete ushahidi wa jina la mtuhumiwa c unaleta porojo 2
Kwa hy ww unaushaidi kuwa hii story ni ya kutunga...nitunge ili iweje kwanza,kwa faida gani?..unafkili mimi sina kazi ya kufanyA kama ww unaezunguka arusha nzima ns kumaliza vocha kufatilia umbeya..mtoto wa kiume ww utafirrrrw