Mauaji ya fumanizi Arusha

Mauaji ya fumanizi Arusha

Hakuna ushahidi walikuwa wanafanya mapenzi ndani ya gari. Hebu angalieni jamaa alivyofunga vizuri mkanda wa kaptura

Lazima ujiulize Mapenzi kwenye gari watu huvua nguo zote?? Pili alilengwa na sniper akiwa kwenye tendo kwani?? Mtu kuvaa haimaanishi nakuwa kwenye tendo
 
Lazima ujiulize Mapenzi kwenye gari watu huvua nguo zote?? Pili alilengwa na sniper akiwa kwenye tendo kwani?? Mtu kuvaa haimaanishi nakuwa kwenye tendo

Sio lazma awe amevua nguo maybe ndo walikua wako kwenye romance...ma-kiss ma-touch manini then simba dume mwenye territory ndo akatokeza akaona ni kumlamba shaba tu.!
 
Kama taarifa za kweli, wamesema mume alitega mtego. So alikuwa na intention ya kuua. Amepata muda wa kufikiria. Si kwamba kawafumania bila kutegemea. Alitegemea kuwaona, na alipanga kuua. Hapo hatopata huruma.

Hatapatikana MTU Wa kutoa ushahidi kwamba ulikuwa mtego! Unacheza na akina Kibatala, Marando, Tundu and the like nini?! Hapo sheria itazungushwa mpaka jamaa litaonekana liliua bila kukusudia! Sawa ndani litakaa muda lakini litatoka!
 
Hatapatikana MTU Wa kutoa ushahidi kwamba ulikuwa mtego! Unacheza na akina Kibatala, Marando, Tundu and the like nini?! Hapo sheria itazungushwa mpaka jamaa litaonekana liliua bila kukusudia! Sawa ndani litakaa muda lakini litatoka!

Ndo maana siamini katika sheria!!
 
Acha wauawe mabinti wote hawa unaenda kugegeda mke wa mtu.
 
Picha hizi haziruhusiwi ni too graphic, zinaumiza!, next time kabla hujapost jiulize suppose mhusika ni ndugu au jamaa yako, ungepost?!.

Pasco.
Kwa hiyo picha za watu akiwa wamekufa kwenye ajali huku wengine wamekatika mikono ndo zinaruhusiwa,vp kams hii stori isingekuwa na picha ungedai ushaidi wa aina gani?
 
Tafadhali fanya editing na toa hizo picha, si sawa hivi.

Wee mama tulia, mbona maiti za garissa zilipowekwa hapa hukusema toa,badala yake ukawa unashabikia
 
Mkuu huyo hawezi kufungwa mana amefumania hapo hapo na kaua papo hapo. Ngoja wataalamu wa sheria waje watufafanulie zaidi ila ameua bila kukusudia. Inauma sana kuliwa mke tena mtu mzima analiwa na dogo kwenye mkoko uliomnunulia wewe. Hawa watu wamama watu wazima ni watamu lakini bora uvizie wajane au walioachika utakuwa huru kula papuchi zao mpaka useme sitaki tena watu wazima. Mke wa mtu ni noma

Nani kakudanganya kuwa kosa la kuua bila kukusudia haina adhabu???
 
Majuto ni mjukuu, kesi za mauaji zinachapwa kwa type writer baada ya kuchukua maelezo kwa kalamu uamishiwa kwa mchapaji hayo maandishi uchukua miaka kufutika, hakuna cha kibatala wala tundu lisu wa kumchomoa hapo.ni ujinga kwenda jela kwa ajili ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom