Mauaji ya fumanizi Arusha

Mauaji ya fumanizi Arusha

habari hii hujaitendea haki...

kama umeweza kutaja jina la mhanga, the umtaje muuaji

protect victims not abuser
 
Okey, iko ivi hata kama stori ni ya kutunga bado ni muhimu kwako wewe mzinzi .Naona unataka ushahidi ili kujua kama mwenzio adhabu yake ilikuwa poa.Kuna siku yako utawekwa govi kavu kavu we endelea tu
 
Bora Sheria za Mitandao ziwekwe maana kwa wanaotoa habari za UONGO tena na picha sijui ni adhabu gani inastahili

Bora iwe hvyo mana hiyo stori ilianza juzi saa2 ucku plus picha ila mpka leo hakuna ushahidi wowote wala jina la muuaji
 
Machangudoa wote hapo Arusha hujawaona mpaka unatembea na mke wa milionea? Kalale panapokustahili. Mangi ananunua VOXY wewe unaifanya gesti bubu. Ingekua mimi ningekuua mara mbili.
 
Arusha ilikuwepo kabla ya Lema sio Lema kabla ya Arusha!

Alafu kuna kapost kingine nlikaona mkuu..eti lema kaifundisha arusha hasira???lema mtoto wa jana ara...chuga ndo imemfundisha anayowafanyiaga bungeni..kama huna cha kuchangia kwa mada vungaaa
 
Hatapatikana MTU Wa kutoa ushahidi kwamba ulikuwa mtego! Unacheza na akina Kibatala, Marando, Tundu and the like nini?! Hapo sheria itazungushwa mpaka jamaa litaonekana liliua bila kukusudia! Sawa ndani litakaa muda lakini litatoka!

Labda jamaa kama hana ndugu mi ukimuua ndugu yang kwa njia yyte na wewe utaondoka tu wala sisubiri mahakama.
 
Kijana mmoja kwa jina ADAM MANONDO mkazi wa Sakina auwawa kikatili huko Arusha jana jioni baada ya kufumaniwa akimla mke wa mtu kwenye gari.

Mama huyo ni mke wa mmiliki wa baa moja maarufu jijini Arusha (jina kapuni kwa sasa) na gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY ni la mama huyo.

Walikuwa wamepaki kwenye chocho moja huko maeneo ya kwa Iddi, Sakina na inasemekana walikuwa wamewekewa mtego na mwenye mke. (Samahani kwa picha)
Hii message imesambaa kwenye whatsapp tangu juzi, huyu jamaa naye ameikopi kama ilivyo akawaletea great thinkers hapa. Eti samahani kwa picha.
 
Bora Sheria za Mitandao ziwekwe maana kwa wanaotoa habari za UONGO tena na picha sijui ni adhabu gani inastahili

Hii habari ni ya ukweli, na watu wanazo hadi pc za marehemu. Ila siyo poa kuziweka hapa, pia kwenye uhakika kama alikuwa anamla kama mleta mada alivyosema, sidhan kama anauhakika kama wanafanya hilo tendo kwa waka huo. Au walikutwa wanapiga story kwny gari la huyo mke wa mtu? yote kwa yote, mfumanizi kachukua sheria mikononi kwa kumshushia kipigo hadi kusababisha kifo.
 
Kijana mmoja kwa jina ADAM MANONDO mkazi wa Sakina auwawa kikatili huko Arusha jana jioni baada ya kufumaniwa akimla mke wa mtu kwenye gari.

Mama huyo ni mke wa mmiliki wa baa moja maarufu jijini Arusha (jina kapuni kwa sasa) na gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY ni la mama huyo.

Walikuwa wamepaki kwenye chocho moja huko maeneo ya kwa Iddi, Sakina na inasemekana walikuwa wamewekewa mtego na mwenye mke. (Samahani kwa picha)

Ujumbe uwafikie Gwajima Na Dr Slaa.

Hii hatari Hii jamani.
 
Mapenzi hayashikiliwi kwa plasta. Hivi sasa, umeshaua mtu kwa ajili ya mimi kukucheat. Baada ya hapo na mikiki ya kesi, hivi naendelea kukupenda na kuhangaika na kesi yako? Au tuseme haujajulikana na sheria, ndo tutalala pamoja na maisha yaendelee?

Ujinga mtupu. No one is worth to be loved to the extent of even lifting a finger for. No one is worth going to jail for. There is billions of other people worth your love and attention!

Hio ndio adhabu stahiki kwa wazinifu wa wake za watu.

Wauwawe tu huenda wengine wakakoma.
Wewe pia ukifumaniwa ni kibano tu.

Eshimuni ndoa zenu mtabaki salama. Haya mambo ya western stupidity yatachomoa nafsi nyingi tu.
 
Hii message imesambaa kwenye whatsapp tangu juzi, huyu jamaa naye ameikopi kama ilivyo akawaletea great thinkers hapa. Eti samahani kwa picha.

Kwa hiyo ulitaka niwepo kwenye eneo la tukio, unaelewa maana ya social network ww ...au unataka kila mtu ajitafutie habari yke mwenyewe?!
 
Wee mama tulia, mbona maiti za garissa zilipowekwa hapa hukusema toa,badala yake ukawa unashabikia

Kwani wale wa garisa walikufa kwa ngono?
Mimacho mikubwa ka chura kabanwa mlango.
Ovyoooo.
 
Kwani wale wa garisa walikufa kwa ngono?
Mimacho mikubwa ka chura kabanwa mlango.
Ovyoooo.

Kwa hy picha za watu waliokufa kwa kufumaniwa na wake za watu ndo hazitakiwi kuwepo mtandaoni?!!!....ila maiti za wale walikufa bila hatia ndo zinatakiwa zidharrishwe kw kuanikwa mitandaoni.....bangi....
 
Kwa hy picha za watu waliokufa kwa kufumaniwa na wake za watu ndo hazitakiwi kuwepo mtandaoni?!!!....ila maiti za wale walikufa bila hatia ndo zinatakiwa zianikwe hadharani.....bangi....

Kijana Kuropoka hakubadili ukweli.
Picha za matukio km hilo la Garisa ni lzm Ulimwengu Uone yale yaliotokea kwa sababu moja au nyingine za kisheria au ki usalama.

Picha za mtu aliyeuawa kwa kufumaniwa NANI ANATAKA KUONA?
We kumbe macho makubwaa lkn ubongo km Kokwa la zambarawe.
 
Wewe hata kama umesoma uwezo wako wa kufikiri upo chini,kwa hy mtu aliyekufa kwa kufumaniwa sio ishu ya kisheria na kiusalama,na ulifungua vipi hii thread au ww hauishi ulimwenguni?
 
Wewe hata kama umesoma uwezo wako wa kufikiri upo chini,kwa hy mtu aliyekufa kwa kufumaniwa sio ishu ya kisheria na kiusalama,na ulifungua vipi hii thread au ww hauishi ulimwenguni?

Talking to a moron.
Kuna issue gani ya kiusalama au Kisheria hapo kwenye hili tukio ambayo inahitaji wewe uweke Picha JF! ?
Au umeshakula majani ya ule mti uliolaaniwa?
 
Back
Top Bottom