Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).
Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.
Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?
Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.
Just remember this my brother. Dont let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.
Wewe ndio walewale makada, kwa hiyo na yale matusi anayotukana unamwambia "Keep it up!!!!!!!".
Kuna wakati ubishi hauna maana kama hukusikia kaa kimya au toa maoni yako kimtazamo wako na si kubisha tuuuu,
Ni sawa sawa na wanaokataa hali halisi ya nchi hii imesababishwa na viongozi wabovu!
Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).
Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.
Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?
Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.
Just remember this my brother. Don?t let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.
ninavyojua mimi kibonde ni shoga na wewe ni basha wake. Kibonde limk......, lako kubwa kama pi. Lione linaaibisha nchi yetu.
tulisikia hakutukana, JF isiwe kama gazeti la udaku ambalo hutasfiri mambo kwa mtazamo wa mtu binafsi au kwa chuki.Kuna wakati ubishi hauna maana kama hukusikia kaa kimya au toa maoni yako kimtazamo wako na si kubisha tuuuu,
Ni sawa sawa na wanaokataa hali halisi ya nchi hii imesababishwa na viongozi wabovu!
mie nilisikia "ufanye kazi miaka thelathini yote kwa mamaako wewe?"
Kibonde hakutukana, whether unampenda au humpendi. Sitaki kusema mtoa mada amemsingizia labda tu alisikia vibaya. Alisema "...kafanye kazi kwa mamako.."Namkubali Kibonde lakini kutukana kwenye public kama ni kweli TCRA watachukua hatua sitahiki. Lakini kwa ujumla Kibonde anapendwa sana kwenye kipindi chake na ndiyo maana hata wale akina dada au akina mama wamepewa kazi nyingine na kipindi kikawa chini ya wanaume tupu.
Sina uhakika na hayo matusi na hayo mambo huwa anaongea huyo Kibonde kwa kuwa mie sio msikilizaji wa hizo Redio,lakn Watanzania wengi wanapenda kusikikliza vitu vya umbea na stori za mitaani.Na ndio maana ukifanya risechi leo ni gazeti gani linaongoza kusomwa utakuta ni uwazi,ijumaa sijui alasiri na sio hayo ya mwananchi na mzalendo ambayo yanaongelea uchumi na siasa.Hiyo ndo hali halisi ya Bongo na sitashangaa kama hicho kipindi kitaongoza kupendwa.Mpende msipende, mkubali msikubali Kibonde yuko juu. Nina uhakika kabisa kama Tanzania tungekuwa na mfumo mzuri wa listener ratings basi kipindi cha Jahazi kingekuwa kiko juu sana katika muda wake kinapokuwa hewani (saa kumi mpaka saa moja jioni).
Kama kweli Kibonde angekuwa mbovu kama ambavyo wachache wenu mnavyotaka watu waamini basi nina uhakika kabisa wasikilizaji wa kipindi hicho wangekuwa wameshapungua tokea zamani.
Lakini inavyoelekea ni kinyume chake. Ili mtu uweze kujua na kumkasirikia kuwa leo kasema nini ni lazima u tune in kwenye kipindi cha Jahazi. Bila kumsikiliza utajuaje na (kujifanya) kukasirikia kile alichosema?
Kibonde kaza buti mwana. Uko juu. Simamia kile unachokiamini na usichoke wala kutishika kutoa maoni yako kwani wewe siyo reporter wala news anchor. Wewe ni commentator. Fani ya utangazaji kama commentator inakupa uhuru wa kutoa maoni yako kinyume na ilivyo wasomaji na waandishi wa habari ambao wanatakiwa kuandika na ku report facts.
Just remember this my brother. Dont let the haters faze you. Make your haters your motivators by becoming the number one hater aggravator in the whole wide world. I got your back son. Keep up the good work.
Sina uhakika na hayo matusi na hayo mambo huwa anaongea huyo Kibonde kwa kuwa mie sio msikilizaji wa hizo Redio,lakn Watanzania wengi wanapenda kusikikliza vitu vya umbea na stori za mitaani.Na ndio maana ukifanya risechi leo ni gazeti gani linaongoza kusomwa utakuta ni uwazi,ijumaa sijui alasiri na sio hayo ya mwananchi na mzalendo ambayo yanaongelea uchumi na siasa.Hiyo ndo hali halisi ya Bongo na sitashangaa kama hicho kipindi kitaongoza kupendwa.
Ukweli ni kuwa hicho kipindi kinaongelea mambo mengi, ya burudani, siasa na uchumi, siasa za kimataifa. Na kimsingi ni mambo yanayotokea duniani na hususan nchini. Kibonde ana matatizo yake ikiwemo lile la kuona kuwa mtazamo wake ndo hali halisi. Kwa hyo ukitaka taarifa utazipata humo ila si kipindi bora sana kwa uchambuzi. kilichotokea hapa ni upotoshaji kama ambao watu wanajaribu kuukemea. Huwezi kukemea upotoshaji kwa wewe mwenyewe kupotosha ukweliSina uhakika na hayo matusi na hayo mambo huwa anaongea huyo Kibonde kwa kuwa mie sio msikilizaji wa hizo Redio,lakn Watanzania wengi wanapenda kusikikliza vitu vya umbea na stori za mitaani.Na ndio maana ukifanya risechi leo ni gazeti gani linaongoza kusomwa utakuta ni uwazi,ijumaa sijui alasiri na sio hayo ya mwananchi na mzalendo ambayo yanaongelea uchumi na siasa.Hiyo ndo hali halisi ya Bongo na sitashangaa kama hicho kipindi kitaongoza kupendwa.