Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,015
Khaaa... Ngoja tuone..Vigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua
Maana yake wewe ndio unataka kuoa sasa...Inaelekea wewe ni mkorofi sana..nataka nini so kaa kwa kutulia
Khaaa... Ngoja tuone..Vigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua
Maana yake wewe ndio unataka kuoa sasa...Inaelekea wewe ni mkorofi sana..nataka nini so kaa kwa kutulia
Wanawake sijui mnaotaga ndoto gani. Yaani una miaka 30 halafu unaweka vigezo utadhani una early twenties. Haya ukimpata na akakuchumbia njoo inbox nitakuchangia milioni mbili kwenye harusi. Kiufupi ukipata mwanaume kwa huo umri wako mwenye vigezo ulivyotaja nipo pale niite 🐕 kokoIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Namtakia Kila la heri.ila Kwa mwanaume mpenda amani,hapa lazima awe na hofuAna Uzi wake wa 2024 ..
Karudi tena 2025. ..
Si unajua wanajukwaa sisi tunafukua makaburi tu ..tunakuambia tu rejelea uzi wako huu...halafu tunakaa pembeni
![]()
Hii ilikua mwaka 2024...mara financially stable ...
Endelea kuchambua tu....
Atampata wale wanaosimamia ukucha Hadi Kona ya kitanda unakabiwa hapo ni kiuno tu kinazunguka kinaenda mbele na nyuma .. halafu anabwagwa kama gunia la mchele...kuoa mchezo kipindi hiki. ...?!Huyu akijichanganya vijana chapeni piten hvi
No mercy
Don't take it serious mkuu sio Uzi wangu huu....anyway muhusika ndo huyo umemuona?
Mi nachangamsha genge tu mwaya ila kiukweli huyu dada anakoseaa,nsiwe mnafki!
Majibu yake yanaweza kuwarudisha nyuma wenye Nia njema akaambulia wahuni huko pm
Pengine ni mwanamke mwenye UUME...tutajuaje...Dunia hii shekhe...mana si kwa mitusi inayomtokaKhaaa... Ngoja tuone..
Maana yake wewe ndio unataka kuoa sasa...Inaelekea wewe ni mkorofi sana..
Chukua chuma Hiko mkuu hata Mimi nimeona...Dada kama hujaolewa bora nikupe wewe kuliko mtoa mada.
Unajielewa sana
Asante kakaDada kama hujaolewa bora nikupe wewe kuliko mtoa mada.
Unajielewa sana
una chura?Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Serious mkuu,yuko poa sana.Chukua chuma Hiko mkuu hata Mimi nimeona...
All the bestIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Asante kaka
Kama upo serious kweli ondoa haya masharti mawili then nitakuja inboxIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
30s maana yake ni miaka kati ya 30-39.Wanawake sijui mnaotaga ndoto gani. Yaani una miaka 30 halafu unaweka vigezo utadhani una early twenties. Haya ukimpata na akakuchumbia njoo inbox nitakuchangia milioni mbili kwenye harusi. Kiufupi ukipata mwanaume kwa huo umri wako mwenye vigezo ulivyotaja nipo pale niite 🐕 koko