Matured Christian Man for Marriage

Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
Wewe unaamini huyu Ni wakike anatafuta mume kweli?
Akili yake na malezi yake vipo sawa vyote?
Don't take it serious mkuu sio Uzi wangu huu....anyway muhusika ndo huyo umemuona?
Mi nachangamsha genge tu mwaya ila kiukweli huyu dada anakoseaa,nsiwe mnafki!
Majibu yake yanaweza kuwarudisha nyuma wenye Nia njema akaambulia wahuni huko pm
 
Unajua Uzi wa mtafuta mme unaweza kukutanisha tukawa good friends au zaidi,how old are you?au tuchat pm if hutojali
Mkuu taratibu..ila kama unataka urafiki karibu..
Kuhusu mapenzi hapana,nshayakatia tamaa.labda miaka michache ijayo
 
Vyema kabisa...humu sisi ni mafukara choka mbaya kabisa hatuna vision kabisa wahuni wahuni tu jobless na hatuko financially stable ...hatuko matured ...sio born again 😂😂😂😂
Stop being negative..badala yake hoji kwanini?
Nina story behind this
 
Kupata anaweza kupata msimkatishe tamaa
Mwanamke akishafikisha 25 hana mtu wa kumuoa, akazane kusoma. Apige masters na akaazanae na Phd angalau akifika 30s awe nayo. Kuna binti nilisoma naye Bachelors alimaliza akiwa 23 akapata kazi l. Alipofika 25 hana mtu yupo yupo kaka zake wakamtafutia masters Marekani hauwezi amini yule binti amepata Phd yupo 32. Hadi mimi mwenyewe nilitaka kuchumbia aisee sema class mate wangu yupo ofisi ya CAG akachukua jiko.
 
Vigezo vingi mno hata ajira portal hawakufiki , vyako ni vikwazo.

Punguza vigezo, wew ni muolewaji Wala sio muoaji.
 
Umri huo tayari washaoa, punguza umri na hilo la born again; as long as ni mkristo inatosha.
Ukristo ndio nini, umri huo bado unabagua, dini yenyewe imekuja na meli leo mnaitukia kubaguana? Mtu mweusi ht akili yake ni nyeusi.
 
Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga

Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .


Sijaona sifa ya bikira hapa, ipo Kweli?😁
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom