Nipo kibenten Sina kazi Wala mtoto nina mapenzi mazu
Nipo kibenten Sina kazi Wala mtoto nina mapenzi
requirements zinapunguza wingi wa maombiIm looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga
Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
Ewaa wamekumbukwaTaratibu tu wazee tunafikiwa, kama upo 40-45 halafu hujaoa...hakika hii ni miujiza kwako, Mercy katangaza miujiza kwa wazee "expert senior bachelors"!
Thanksrequirements zinapunguza wingi wa maombi
itasaidia kwenye mchujo(hautachukua muda mrefu)
kila la heri......
Ukipata wawili naomba mmoja mpendwaa🤣Ndo dawq yao
Sema jingineUkipata wawili naomba mmoja mpendwaa🤣
Mi mpole haya mambo siyawezi
All the best
Sina huo mudaNjoo pm
Upo tayari kumpa kipapa kabla ya kuapa? Maana kina mzabzab na Mzee wa kupambania watataka kuteleza kabla ya kukuweka ndani.Ewaa wamekumbukwa
Wewe badala ya kufanya kazi uko live jf saa hii .jitathminiKwa gubu hili, huambiliki ndio maana unarandaranda mitandaoni. Baki na gubu lako hadi utakapotaka anaepumua tu. We ungekuwa born again si ungepata huko kanisani kwako ila gubu dada ndio maana unakimbiwa.
Elewa neno ndoa takatifuUpo tayari kumpa kipapa kabla ya kuapa? Maana kina mzabzab na Mzee wa kupambania watataka kuteleza kabla ya kukuweka ndani.
Mercy zingatia maoni na punguza ujuaji wanaume hatupendi ujuajiVigezo na masharti kuzingatiwa .mm ndo najua nataka nini so kaa kwa kutulia
Wewe sio muoajiM
Mercy zingatia maoni na punguza ujuaji wanaume hatupendi ujuaji
Kwamba "waliojuana" kabla ya kula viapo ndoa zao sio takatifu? Jibu swali ewe binti!Elewa neno ndoa takatifu