Matured Christian Man for Marriage

Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
Im looking for a serious relationship .Matured single christian Man for holly marriage .
Must be a reformed Christian [Born Again]
Aged 40 to 45 ,with no kids / not more than one kid
Awe na Afya njema
Awe mwenye na nia ya dhati ya kuoa
Awe amemaliza ujana wake na anahitaji kusettle na kutengeneza familia
Awe mkweli na mcha Mungu
Awe dsm ,dodoma,morogoro,tanga

Naitwa mercy ,30s by age
Naishi pwani kibaha,mkristo nimeokoka
Mwajiriwa ,najitegemea ,
Only serious please .
HIli jina la Mercy halafu upo Kibaha limenifanya leo nifunge safari ya kuja kibaha kukagua viwanja vyangu.
 
Hadi walokole mnatafutia wenza mitandaoni???

NB:Ni kifo pekee ndiyo kinatenganisha wanaume na ujana!!!
 
Wewe ndo uko late ,ndo maana mwanaume mzima baada ya kufanya kazi unajikomentisha .
Unatafuta mume then unaonyesha ujeuri kwenye kadamnasi? Kuwa humble, utakosa mume Kisha uanze kusema umerogwa kumbe jeuri zako zinakuponza....nimeshajua why upo 30 na hujaolewa.
 
Uzi mmoja wa kibabe sana..halafu mtoa mada nae hajakaa kinyonge yanii🤣
Ukileta fuoko unakula za usoo🤣
Mafeminist uchwara kwenye kutafuta mwenza hakuna ubabe Wala kujiona mwamba wala kula za uso, tabia yako inaweza kujionesha wazi tu hata kwa unachoondika...kupandishiana vifua na wanaume ...endeleeni kuoana wenyewe kwa wenyewe si mmerhusiwa?
 
Sir mabaso ule ushauri wako wa November 1 2024,unatimia hata comment za mleta mada zinareflect.
 
Unatafuta mume then unaonyesha ujeuri kwenye kadamnasi? Kuwa humble, utakosa mume Kisha uanze kusema umerogwa kumbe jeuri zako zinakuponza....nimeshajua why upo 30 na hujaolewa.
Sikujibu
 
Sema jingine
Halafu uwachallenge na mambo ya kiroho kiasi kuwapima..maana humu wahuni kibao watakuja huko wakidai wameokoka ila hawajui hata agano la kale linaishia na kitabu gani🤣🤣🤣
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom