Kijana naona umeingia kwenye ligi na Mimi ya kumuania huyu mremboLooh!! Nitumie picha nifanye maamuzi faster. Nenda PM wana JF wapate kuwa kwenye kamati
Teh teh teh! Mwaga sera na mie nimwage zangu afanye machaguo!! Hatuna haja ya kumwaniaKijana naona umeingia kwenye ligi na Mimi ya kumuania huyu mrembo
Eish..... Tafteni mahali mhemeTeh teh teh! Mwaga sera na mie nimwage zangu afanye machaguo!! Hatuna haja ya kumwania
Aiseeee hahahhahahhahhahhaha naangalia mtanangeKijana naona umeingia kwenye ligi na Mimi ya kumuania huyu mrembo
Asalaam Aleykum Madame S? Nijulie hali yako binti ili mchana wangu uende vyema tafadhaliEish..... Tafteni mahali mheme
Wewe ruka ruka tu Mimi nipo kivitendo zaidi Madam S si tuta kutana tena pale kinondoni kwetu nisikie tena harufu ya all udi mashaallahAsalaam Aleykum Madame S? Nijulie hali yako binti ili mchana wangu uende vyema tafadhali
Nimekumiss MadamAiseeee hahahhahahhahhahhaha naangalia mtanange
Mi pia, huwa nahisi majini ndo yanatumika kuwaita wateja.Yaani nikienda duka nikakuta wamepulizia huo udi sijui ubani ndio inakuwa mwisho wa mimi kwenda duka hilo. Siipendi kabisa
Waaleyqum salaaam me alhamdulillah mzima buheri WA afyaAsalaam Aleykum Madame S? Nijulie hali yako binti ili mchana wangu uende vyema tafadhali
Na huo ndio ukweliMi pia, huwa nahisi majini ndo yanatumika kuwaita wateja.
Sina kumbukumbu kama niliwah kukuambiaa nakaa huko sipend kushuhudia uongoWewe ruka ruka tu Mimi nipo kivitendo zaidi Madam S si tuta kutana tena pale kinondoni kwetu nisikie tena harufu ya all udi mashaallah
Ukwel n kwamba hayo n mawazo yako na Kila mtu hutumia udi apendavyoMi pia, huwa nahisi majini ndo yanatumika kuwaita wateja.
Naam! Mchana wangu sasa utakwenda vyema, Allah akubariki sana binti kwa moyo huo wa pekee!!Waaleyqum salaaam me alhamdulillah mzima buheri WA afya
ImefanyajeBila kusahau papuchi.
Mti wa Chumaexactly....... ila niliwahi kuona kwa macho yangu hii ya kuchoma kuomba dua nilimsindikiza ndugu yangu kufanyiwa kisomo akaambiwa wakat anachoma udi asiombe udi aombe Mungu huku udi ukiendelea kutoa moshi wake na aushikilie mpaka kisomo kiishe asante kwa kujazia nyama mkuu
dooh thanks kwa information mkuuMti wa Chuma
Asante kwa maelezo ya Udi
Udi Ulikuwa unatumika zamani wakati wa visomo au mkusanyiko mwingi wa watu.madhunyni yake yalikuwa ni kutoa harafu za vikwapa na majasho makali.
Sasa watu hawasomi Hitma bila ya kuchoma udi na ubani.Huu ni uzushi ktk dini.
wacha weh mazishi wapi nimemisi wali wa shughuli hua mtamu kweliNijifie nisipokuona