Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Inamfanya anakua na maconfidence ya hatarii halafu awe twahara mwili Kuna jinsi flani unakua mwepesiKwa kweli mwanamke akijifushia UDI inapendeza sana napenda mwanamke anajifusha al ud huwa swadakta