Friji, pasi, tv , feni na radio
Friji na Pasi utapasuka mfuko sheikh ,labda utafute Friji na pasi za DC na Friji uwe unaliwasha mchana tu ikifika saa 11 jioni unalizima ,pasi kupiga mchana tu.
Kama unataka kutumia Taa ,TV na Radio kwa experience yangu ili uenjoy funga Battery RITA 400N na Pannel 600Watts.
Utapata Total Power = 12V x 400Ah = 4.8Kwh ,Consumption 80% = 3.8KWA
Vifaa unavyoweza kutumia:-
1.TV LED - 75W
2.Taa 10 ,Taa za Nje 4 za 3W na 6 za ndani za 2W = Total 24W
3.Wifi Router = 10W
4.Kuchaji Laptop 60W
5.Decoder 10W
6.Radio 40W
Unyambulisho:-
Taa zinawaka kwa 12Hrs = 12*24 = 0.288KWA
TV utatumia labda 6hrs = 75W *12 = 0.9KWA
Decoder 10W utatumia nayo kwa 6hrs =10W * 6 = 0.06KWA
Tambua kwamba Solar inatumika zaidi usiku wakati jua hakuna hivyo 3.8KWA ndiyo power unliyokuwa nayo kuanzia jua linapozama mpaka linapokucha.
Kama ni mtumiaji wa TV sana means unaweza kuangalia vizuri hadi saa nane usiku na chaji isiishe.
Mchana unatumia direct kutoka kwenye pannel na si kwenye battery.