Matumizi ya udi na faida zake

Matumizi ya udi na faida zake

Kuna aina kuu ngapi za udi waungwana
zipo nyingi nafaham ule wa magome, chenga, maji na ule wa kijiti hizo nilizotaja ni za kujifukiza nguoni au mwilini huu wa kijiti ni special kwa ajii ya jambo Fulani
 
zipo nyingi nafaham ule wa magome, chenga, maji na ule wa kijiti hizo nilizotaja ni za kujifukiza nguoni au mwilini huu wa kijiti ni special kwa ajii ya jambo Fulani
Usisahau na ule udi mnyegesho. Unatumiwa na wanandoa huo. Unawekwa kwenye maji ya kuogea. Unapokutana na mkeo kwa ajili ya tendo la ndoa yaani mnakuwa hamchoki.

Full mechi hadi mseme sasa basii
 
Usisahau na ule udi mnyegesho. Unatumiwa na wanandoa huo. Unawekwa kwenye maji ya kuogea. Unapokutana na mkeo kwa ajili ya tendo la ndoa yaani mnakuwa hamchoki.

Full mechi hadi mseme sasa basii
Nimesema upo udi WA maji
 
Udi una matumizi mengi na kila mtu anatumia kwa sababu zake. Binafsi napenda sana ule wa vijiti wa kuchoma, chumba kinanukia vizuriii siku nzima, jioni ukirudi unakaribishwa na harufu nzuri.
 
Ha ha ha ha naona dalili ya JF ya zamani kuanz kurudi tena maana ilikuwa JF ya nondo
za nguvu na comment za kuondoa stress kabla ya virus vya siasa kuingia na matusi n.k
GOLI LAKAWAIDA HALINUKI, LABDA MAVI
 
hahaha nicheke hivi iulishawahi fukiza udi?? inafanya kunakua na ile harufu nzur nzur ila uhakikishe umefunga madirisha na mapazia umeshusa kuzuia moshi kusambaa ikibidi limwagie maji kidogo ili moshi wake ukajikusanye pale pakikauka harufu yake sasa

Mi napendaga mwanamke akijifukiza UDI, inatia mzuka ht wakunyonya papuchi
 
Usisahau na ule udi mnyegesho. Unatumiwa na wanandoa huo. Unawekwa kwenye maji ya kuogea. Unapokutana na mkeo kwa ajili ya tendo la ndoa yaani mnakuwa hamchoki.

Full mechi hadi mseme sasa basii

Yap,kiukweli UDI unaleta hisia ktk sexual, mwanamke akinukia manukato inazidisha hamu ya sexual int
 
umeona eh my dear natumia vyote na kila ijumaa lazima ni mix na al ud kidogo ndo najihis kuchangamka wallah mm n mlevi wa haya mambo napenda kunukia mno
Nataka kujifunza. Twaweza kutana pm?
 
Sisi tunatumia ubani katika madhabau kama ishara ya maombi yetu kumfikia Mungu kama sadaka ya Abeli...!
 
Usisahau na ule udi mnyegesho. Unatumiwa na wanandoa huo. Unawekwa kwenye maji ya kuogea. Unapokutana na mkeo kwa ajili ya tendo la ndoa yaani mnakuwa hamchoki.

Full mechi hadi mseme sasa basii
Huu ndio unanifaa aiseeee...[emoji12]
 
Kwa kweli mwanamke akijifushia UDI inapendeza sana napenda mwanamke anajifusha al ud huwa swadakta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom