Ukija usisahau kujipulizia udiwacha weh mazishi wapi nimemisi wali wa shughuli hua mtamu kweli
Ukija usisahau kujipulizia udiwacha weh mazishi wapi nimemisi wali wa shughuli hua mtamu kweli
yaani huko msibani nije nimejifukiza ha ha ha ha hahahahaha makubwaUkija usisahau kujipulizia udi
yaani huko msibani nije nimejifukiza ha ha ha ha hahahahaha makubwa[/QUO
Tena usikose Nina Zawadi yako ya le supa udiz kutoka le supa muscat mbebez
Napata wapi ya aina hii?Madame S, miye natumia ile wa kuweka kwenye maji, maji yananukia nikitoka hapo sina haja ya unyunyu
Napata wapi ya aina hii?
Ok nipo Mwanza ngoja nipite madukaniKwenye maduka ya vipodozi, Moro pale kulikuwa na duka linauza.Yaani unaweka kwenye maji ya kuoga tuu.
Hivi mwanaume nae anaweza kujifukiza akanukia udi?
Sent using Samsung S6 Edge