kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,271
- 1,810
Takutafuta ijumaaumeona eh my dear natumia vyote na kila ijumaa lazima ni mix na al ud kidogo ndo najihis kuchangamka wallah mm n mlevi wa haya mambo napenda kunukia mno
Takutafuta ijumaaumeona eh my dear natumia vyote na kila ijumaa lazima ni mix na al ud kidogo ndo najihis kuchangamka wallah mm n mlevi wa haya mambo napenda kunukia mno
umeona eh my dear natumia vyote na kila ijumaa lazima ni mix na al ud kidogo ndo najihis kuchangamka wallah mm n mlevi wa haya mambo napenda kunukia mno
Maelezo yako tu ni nakuona kama upo mbelyanguWewe umejuaje
Ahahaha thanks dear
Mmbu ushakua ON!chezea udi weye!Hahah tupendane Madam
Mmbu ushakua ON!chezea udi weye!
Nayajua vizuri hayo maradhi,kuna mtu alifuatilia baibui toka sokoni hadi fire ananusa tuNimedata mkuu nakumbuka mbali sana
Nilishawahi kuuza udi wa mawardiyaani huo ndo wanajifukiza nao????? loh mashaka ule mbona hauna harufu nzuri kuna nyudi nzur za kujifukiza bana
Yote ni jamii moja na hitumika kwa njia tofautiNaona mnachachanya Kati ya Udi ma Ubani
Hahahahaha kama namuona vileNayajua vizuri hayo maradhi,kuna mtu alifuatilia baibui toka sokoni hadi fire ananusa tu
hapanaHahah tupendane Madam
hahahahaha uongo huuMaelezo yako tu ni nakuona kama upo mbelyangu
Nayajua vizuri hayo maradhi,kuna mtu alifuatilia baibui toka sokoni hadi fire ananusa tu
Nikimuona tu mtu najua huyu fundi au lena,sijui nimeumbwajehahahahaha uongo huu
lol hongeraNikimuona tu mtu najua huyu fundi au lena,sijui nimeumbwaje
Huku uswazi magetoni UDI unachomwa masaa 24 siku 7 za wiki,sio mambo ya imani??hapana ni kupotezea harufu ya MAJANI
Ukikatiza mitaa ya wahaya,mwanayamala,uwanja Wa fisi katika biashara zisizo na kodi zile pia wanapenda kichoma udi ili angalau ukiingia usisikie harufu ya bao la njemba iliyotoka kugegeda kabla yako wewe.
Sjaolewa unataka kunioa??Umeolewa binti?? Maana baada ya kusoma hapa nishachanganyikiwa!!
Looh!! Nitumie picha nifanye maamuzi faster. Nenda PM wana JF wapate kuwa kwenye kamatiSjaolewa unataka kunioa??
Ahahhahahaha jf never boring wallahLooh!! Nitumie picha nifanye maamuzi faster. Nenda PM wana JF wapate kuwa kwenye kamati