Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Are u serious huyu amewekewa au ameweka mwenye....khaaaaa dunia yangu mbuna unazunguka na kuwafanya wengine wapate kizunguzungu! TCRA kwa hili wameshindwa kutekeleza majujumu yao.

I am 100% sure. ..

Baada ya kama masaa mawili akaitoa ila kesho yake akairudishia. ..
TCRA bado wamelala usingizi
 
Last edited by a moderator:
Yangu "Thank you for visiting my profile, its a part of domestic tourism. You are always welcomed"
 
Habari za usiku Wanajamvi.

Jamani hizi status za whatsapp zinaniacha hoi naona kama ladies wameona ndo sehemu za kupigana vijembe, majigambo na kutukana ingawa kuna nyingine zinafurahisha na kufundisha pia.

Hata hivyo kuna nyingine zinahuzunisha na nyingine zipozipo tu.

jamani this is social nwtworks tustaarabike haya mambo ya hovyo hovyo na yanayohusu individual yawe treated individually pia.

Mfano hebu check hizi:
1."Asipokuwepo kwako yupo kwangu"

2."Humpi vikamtosha ndo maana anakuja vinakomchosha"

3."Sura mbaya, tabia mbaya, umbo bayaaaa labda sokwe ndo akutake"

3."Huna utamu una utelezi"

4."Unaolewa au unasindikiza?"

5."Toroka uje"

6."Yupo kwangu"

7."Mbona hujamkata kiu"

Karibuni kwa mjadala.

wenibne walikua hawajui, we ndo umewafanya wazisave na kuprint.
 
Now nimeona how cruel you are, kumbe uliniacha ili niumie eeh?
Halafu nikiumia ndio ujue wewe ni wa thamani kwangu??????
Thamani yangu kwako sikuiona.hujunionesha...hukunieleza...nakuacha nikiamini hunihitaji tena...until naingia watsap ndo najiuliza kumbe was I that relevant to you?why ubadili status badala ya kunionesha while nipo na wewe?
 
Nakubaliana na wewe kabisa....ila wanaofanya hivyo hawagundui kuwa wanayafanya maisha yao tamthilia,kila kinachoendelea katika maisha yake watu wanakuwa wanajua..
Kukosa uvumilivu na mahali pakukimbilia tu ,mtu anajikuta ameshajivua nguo mwenyewe.
 
Kuna moja hapa......
Lady ameweka picha ya boyfiend wake afu status ina sema "Tuko wangapi?"
Jamani hz status acheni tu!
 
ha.ha haha, huyo ni mtalaka mtarajiwa.

Ila kuna dada niliwahi mshangaa, aliporomosha matusi ya nguoni kwenye status yake, nikabaki what?

Kuna moja hapa......
Lady ameweka picha ya boyfiend wake afu status ina sema "Tuko wangapi?"
Jamani hz status acheni tu!
 
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!

EEEEEEEE, ni Tangazo la biashara hilo, lakini katika mila za kikwetu huu ni uchuro, mtu akifanyia hivyo, ni taboo !!! Na kama ni mzazi wako umekwisha kabisa. Kwa kuwa kaweka namba ya tigo, jaribu kumtumia pesa italeta jina lake kamili.
 
EEEEEEEE, ni Tangazo la biasha hilo, lakini katika mila za kikwetu huu ni uchoro, mtu akifanyia hivyo, ni taboo !!! Na kama ni mzazi wako umekwisha kabisa.

Ni laana aisee si kawaida!
 
Back
Top Bottom