Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Ukifatilia hivi status utamfahamu mtu alivyo na tabia zake... Kila siku mtu anawwka status kumuhusu. Akitendwa yumo, akiiba mme wa mtu anachange, akiachwa anachange, akihongwa anachange, akiwa bored anachange lol...

Utumwa wa kifikra...
 
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!
Hii ni hatari mimi nimeona mpaka nimesisimka mbona tunaelekea kubaya sana Mungu anusuru watoto wetu
 
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!

Futa delete kabisa. Sio kila kitu cha kufungua na kutizama. Jamii hii tunakoelekea siko.. hii namba nimeiona fb na inasambaa balaa, watu tunavyopenda mambo machafu anaepost anasema kabisa yaliyomo humu ni mapicha mabaya..but tunavyopenda lazima na wewe ukashuhudie.

Halafu tukitoka hapo tunaanza kulalamika maadili yameporomoka. Hebu tubadilike jamani.
 
status ya nanilii wangu baada ya kuzinguana "umevimba?, lamba mgongo wako"
 
Ni kweli mtoa mada naona maneno ya kwenye kanga ndio yameamia WhatsApp
Ila nadhani wengi wao ni watoto
Ukute Kibibi kama mie life imenichanganyia watoto wanadai ada ,extended family zinasubiri kutumiwa fedha utaweka status kama hizi kweli
Ni Sheeeda
 
Kuna vibibi pia wanayoyafanya huamini
 
Tamthilia ya kujichoresha...na Unaweza achana na mtu akajifanya hajaumia..hadi uingie watsap ndo unagundua kuwa kumbe maumivu yalikuwa makubwa sana...ni status kila baada ya saa moja...

na wewe unatafuta nini kwenye account yake? kama umemtema unatema jumla una-delete mpaka number ya simu kama bado unamcheck check something is not yet right....! just thinking loud here baby:A S 11: The Boss
 
Last edited by a moderator:

Kuna kuachana bila chuki...kasema anahitaji mtu mwingine unamwambia poa.Halafu nikim delete nikose 'entertainment ya bure'?...namtazama ni enjoy.........miss you babe
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mtoa mada naona maneno ya kwenye kanga ndio yameamia WhatsApp
Ila nadhani wengi wao ni watoto
Ukute Kibibi kama mie life imenichanganyia watoto wanadai ada ,extended family zinasubiri kutumiwa fedha utaweka status kama hizi kweli
Ni Sheeeda

Eheee naona hii ya status za whatsapp haina umri ni kama condom isiyo na size. Labda tofauti aliye busy na asiye busy. Tofauti ipo kwenye kuchelewesha kubadili tu ingawa kubadili ni lazima.
 
Mambo ya whtsp hayo

Kuna jamaa nilikuta anasutwa na demua wake, demu analalama eti kwa nini hawekwi kwenye profile pic.

Jamaa akamjibu kuwa anaogopa washkaji watamwonea wivu ana demu mkali.

Digital acha tu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom