Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Matumizi ya status kwenye Whatsapp

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,781
Reaction score
16,931
Habari za usiku Wanajamvi.

Jamani hizi status za whatsapp zinaniacha hoi naona kama ladies wameona ndo sehemu za kupigana vijembe, majigambo na kutukana ingawa kuna nyingine zinafurahisha na kufundisha pia.

Hata hivyo kuna nyingine zinahuzunisha na nyingine zipozipo tu.

Jamani this is social networks tustaarabike haya mambo ya hovyo hovyo na yanayohusu individual yawe treated individually pia.

Mfano hebu check hizi:

1."Asipokuwepo kwako yupo kwangu"

2."Humpi vikamtosha ndo maana anakuja vinakomchosha"

3."Sura mbaya, tabia mbaya, umbo bayaaaa labda sokwe ndo akutake"

3."Huna utamu una utelezi"

4."Unaolewa au unasindikiza?"

5."Toroka uje"

6."Yupo kwangu"

7."Mbona hujamkata kiu"

Karibuni kwa mjadala.
 
yangu mimi inasomeka hivi
"wewe kuendelea kunenepa wakati unajua nakudai ni ishara ya dharau.
 
Last edited by a moderator:
... watu wamepunguza uvaaji wa khanga, hivyo misemo imevamia udijitali kwenye Whatsapp!
 
Wadada ndo sehemu ya kusengenyana hapo.

... kweli kabisa, maana watu hawavai tena khanga. Kutembeleana kumepungua, kukutana kwenye shughuli za kijamii kumepungua pia, yaani hata kuomboleza siku hizi watu wanafanyia instagram na facebook. Nguo ndivyo hivyo tena... vimini hadi mashambani, sasa misemo tuliyoizoea kwenye khanga itatosha kwenye pindo la mini skirt?!! Whatsapp ndo' jibu ati.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli iniboa hata mie. Kuna dada yangu mmoja yeye ni mlokole lkn nikisoma status uwa nachoka. Hadi uwa nawauliza home hv dada..... Ananwekea nani hivi. Inayoniboaga kabisa ni hii japo zipo nying.

Ukiona kashebeduka kavionea ukubwa.
 
Habari za usiku Wanajamvi.

Jamani hizi status za whatsapp zinaniacha hoi naona kama ladies wameona ndo sehemu za kupigana vijembe, majigambo na kutukana ingawa kuna nyingine zinafurahisha na kufundisha pia.

Hata hivyo kuna nyingine zinahuzunisha na nyingine zipozipo tu.

jamani this is social nwtworks tustaarabike haya mambo ya hovyo hovyo na yanayohusu individual yawe treated individually pia.

Mfano hebu check hizi:
1."Asipokuwepo kwako yupo kwangu"

2."Humpi vikamtosha ndo maana anakuja vinakomchosha"

3."Sura mbaya, tabia mbaya, umbo bayaaaa labda sokwe ndo akutake"

3."Huna utamu una utelezi"

4."Unaolewa au unasindikiza?"

5."Toroka uje"

6."Yupo kwangu"

7."Mbona hujamkata kiu"

Karibuni kwa mjadala.

Wamechukua maneno ya kipashkuna kwenye Khanga na daladala na wengi wao wamesoma ila hawajaelimika
 
Kuna rafiki yangu wa kike siku moja niliona status yake ikabid nihoj.....jibu likawa namkomesha bwana aliyeniacha,basi kumbe tuvijembe huwa tunawahusika.
 
Status za watsap zina onesha real side of people....that ugly side.. kuna Wengine heshima yote inapotea kwa status za watsap..
 
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!
 
status na picha nyingine ni hatari hebu sevuni hiyo namba halafu muanmuangalie 0754559095
muone sodoma na gomola yaja jamani!

Niliona hii namba,mshkaji mmoja akapiga hiyo simu kidume kikapokea. Akaulizwa kwanini umeweka hilo lipicha?Akajibu Samahani ya kejeli. ..Mshkaji akamsema sana akamwambia aitoe,Jamaa likasema litumiwe hela ya kununua bundle ndio litatoa. ...

Kweli walimwengu wana tabu. ....
 
Hyo nimeshaona ni Shoga jamani mie mwenyewe rafiki yng alinitumia nikaangalia
 
Back
Top Bottom