Matukio ya kutengenezwa ya kujiteka

Lazima watengeneze matukio ya kutekwa hakuna kiki
Atakaa mafichoni mwisho atarudi uraini
Mashekhe zanzibar walijiteka watatu wamerudi uraiani kimya kimya,ajabu waliokua wanapaza sauti wamenywea
 
Ben na Azory bado wapo kwa wajomba zao!!!??...
 
Hadithi hii kakufundisha nani vile?
 
Kuna tetesi kuwa Nondo hakupotea bali amejipoteza mwenyewe maksudi.

Sijui ukweli hapa upo wapi kwa sababu hapo nyuma watu walipotea kikweli.

Ninachotaka kukielezea hapa chini ni dhana ya kuwa watu wanafanya maigizo au MIKAKATI ili ulimwengu uione serikali ya Magufuli kwa mtizamo m-baya.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Kinachofuatia ni dhana ambayo inawezekana haina ukweli wowote. Work with me here:

FEBRUARY 16, 2018
Katika hitimisho la kampeni ya ile chaguzi ndogo ya Kinondoni:

HALIMA MDEE alisema (paraphrase):
[emoji830]Tufanye vurugu kama Libya, Syria au Iraq.
This is significant, nifuatilie.

FREEMAN MBOWE alisema (paraphrase)
[emoji830]Tunahitaji kuikabili serikali mpaka wauwawe watu 100 au 200.
This is also significant.

ANALYSIS
- Kama utakumbuka katika nchi alizozitaja MDEE, watu walikufa kwa mikono ya serikali.

Wakati "mataifa makubwa" walipotaka kuing'oa serikali walisema: He is out of control and HE KILLS HIS OWN PEOPLE.

Huu usemi kuwa "ANAUA WATU WAKE" ndiyo uliokua unasemwa kabla ya uvamizi na kupinduliwa kwa serikali husika na mataifa makubwa.

Alichokisema MBOWE haikua kuteleza kwa ulimi. Nadhani huu ndio mkakati mzima wa upinzani, hasa CDM, kuleta vurugu na kuwashambulia polisi mpaka polisi wawaue watu wengi.

Nadhani "handlers" wao waliwaambia kuwa kama watu 100 au 200 wakiuawa na polisi basi itayafanya mataifa makubwa watoe tamko kuwa:

Magufuli hafai, ANAWAUA WATU WAKE.
He is out of control, he is KILLING HIS OWN PEOPLE.

DHAMIRA
Kwa shinikizo hili la kuwa Magufuli ni kiongozi mbaya na sasa ANAUA RAIA WAKE MWENYEWE itakuwa rahisi kwa Security Council ya Umoja wa mataifa kuingilia kati.

Sote tunajua, kama UN Security Council italeta majeshi ya kuuingilia kati utawala wa Magufuli, ni nani hasa atakaeletwa.

NONDO
Je ni kweli kuwa, kama huu utekaji wa NONDO ni fekero, basi huu ni muendelezo tu wa haka kamchezo kachafu kanakochezwa na upinzani?
 
Lolote lawezekana aisee.

Na kusema ukweli Magufuli ana maadui kila kona.

Hata ndani ya CCM wapo. CHADEMA ndo wamejaa hadi pomoni.

Hivyo sitashangaa kabisa kama kuna mipango ya hujuma dhidi yake na wahusika wakawa ni kutoka CHADEMA na CCM wakifanya kazi kwa ushirikiano.
 
Hv kwa hali ilivyo sasa no ajira uchumi mbovu Maisha magumu watu wafukuzwa kazi watu wanauawa hovyo maiti zinaokotwa watu wanapigwa risasi bila hatia hv mtu unaanzaje kumshabikia magufuri au mtoa uzi unaishi magogoni..
 
Dhana fikirishi mbunge bashe alisema tuwauwe wapinzani wa ccm,vilevile mbunge mchaguliwa wa kinondoni mtulia alisema kwasasa ana simu ya rais na hatauwawa na polisi. Hata dola kubaguwa watu kufanya siasa kwasababu tunaona mzee polepole kuchwa kutwa anafanya maandamano na mikutano ya hadhara bila bugudha ya polisi wala msajili wa vyama mm kwaupande wangu naona mkulu anataka watu wakose raha ktk nchi yao iliawauwe hakika
 
Uchaguzi ulifanyika 2015. CCM walishinda. DEAL WITH IT.

Subirini mpaka 2020 mumng'oe Magufuli kupitia boksi la kura.

Kwa sasa mnajidhalilisha kwa kutumia hizi figisu figisu zenu. Tunajua mnachojarjbu kukifanya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…